Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kama umesomea accounting hakuna haja ya kubishana ebu tusaidie kwa kupitia IAS 16 na IAS 13 tuachane na ubishi
Mzee achana kuhamisha mada. Tumalize kwanza ile ya kwanza. Maana unarukia rukia kila mada.
Hapa tunaongelea MeTL vs Bakhresa.
Narudia tena tupatie takwimu zinazokubeba kueleza kuwa Bakhresa ni kampuni kubwa kuliko MeTL.
 
Post screenshot ya bank statement yako inayoonesha Total Credit Amount.
Mimi nitapost ya two months wewe post ya mwaka mzima.
Last time we did this challenge ulienda kuokota bank slip kwa muuza maandazi.
 
Mzee achana kuhamisha mada. Tumalize kwanza ile ya kwanza. Maana unarukia rukia kila mada.
Hapa tunaongelea MeTL vs Bakhresa.
Narudia tena tupatie takwimu zinazokubeba kueleza kuwa Bakhresa ni kampuni kubwa kuliko MeTL.
Umesema umesomea accounting nimekuelekeza sehemu ya kutukumbusha wengine ambao tumesahau . Wewe si unaijua accounting kuna guideline au standards za kureport taarifa ya za kihasibu .
Nakuongezea IAS 3 inasemaje kuhusu kureport taarifa za group🤣🤣🤣🤣
 
Hii dalili ya kuishiwa point. Umesaka kila kona kutafuta uwezo wa Bakhresa umekosa. Kwikwikwikwikwi.
Kaka Tanzania huijui na uwezo wako upo chini sana. Tafuta kuijua Tanzania kwanza ndio uweze kujadili mambo makubwa.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

We Baki zako kwenye political science tu kwingine kaushaga tu
 
Umesema umesomea accounting nimekuelekeza sehemu ya kutukumbusha wengine ambao tumesahau . Wewe si unaijua accounting kuna guideline au standards za kureport taarifa ya za kihasibu .
Nakuongezea IAS 3 inasemaje kuhusu kureport taarifa za group🤣🤣🤣🤣
Hiyo ya kusoma Accounting siyo topic tunayoongelea kaka. Tunaongelea Bakhresa vs MeTL. Usitafute tundu la kuchomokea.
Wana JF wote wanasubiri uwaelimishe kuhusu ukubwa wa Bakhresa.
 
Ukiambiwa ukweli ni matusi? Wewe hakuna unachajua in this world. Who told you CEO is always the owner of a company?
Unawajua Lisa Su na Jensen Huang

Hawa ni ndugu. Mmoja ni mmiliki wa AMD na mwingine ni mmiliki wa NVIDIA wao ni wachina lakini kampuni za Marekani.
 
Naona mafala wanabishana juu ya macompany za waaarabu sijui ni wahindi ndani ya nchi yao.
Enyewe Africans will be monkeys always.
Aibu 😂😂
Hata Azam anayo united petroleum
About
View attachment 3382150
With the firm belief that optimal vehicle performance begins with a clean engine, the Bakhresa Group entered the petroleum industry in 2016 by founding United Group Limited to distribute premium refined fuels. In 2017, we released a series of carefully top-of-the-line products under the trade name United Petroleum. Products which are refined to serve our clients who are based mainly in Zanzibar and Dar es Salaam.
Our product range includes, though not limited to, unleaded petrol, Kerosene innovative oils and greases as well as the 50ppm low sulphur content diesel. Our selection is based on products which guarantees optimum performance, outstanding protection, long lubricant life and system efficiency.
While our unleaded petrol is adequate for sophisticated automobiles and is available all-year long, we are compliant to 50 parts per million (PPM) low sulphur Gasoil. We also provide kerosene which fulfils Jet A1 and TBS requirements, making it appropriate for jet propulsion engines, cooking, and lighting.
To ensure the delivery of high-quality products, the Bakhresa Group has invested in cutting-edge facilities and logistics, such as our own depot, a marine charter, tanker trucks, and petrol stations. We are, in fact, the proud owner of Zanzibar’s largest depot currently under construction that will allow us to offer flawless bunkers to sensitive boat engines via serving purified Bunkers


Anazo mpaka meli za mafuta kwa ajili ya kusafirisha

TANKER CHARTER
We are currently spot chartering our marine tanker which is a Lloyds class double hull double bottom tanker. United Spirit 1 IMO no 934751 is of LOA 88.67meters, GRT 2965mt, and Summer Deadweight of 3778mt.

The total cubic capacity is 4173.5m3. It has 6 cargo pumps with separated pipelines and two pumps can run simultaneously with discharge capacity of 550m3 per hr.
 
Hiyo ya kusoma Accounting siyo topic tunayoongelea kaka. Tunaongelea Bakhresa vs MeTL. Usitafute tundu la kuchomokea.
Wana JF wote wanasubiri uwaelimishe kuhusu ukubwa wa Bakhresa.
Unapoongelea mtaji wa mtu lazima uguse taarifa zake za kihasibu .
Kwa mfano nataka kununua hisa za kampuni flani sikurupuki kwenda kununua kwa kuangalia yaliyoandikwa magazetin.
Unavuta taarifa zake za kihasibu unaangalia Kila kitu mpaka madeni yanapatikan, mpaka thamani ya sset ni majina yake yatasomeka, kama kuna magari yatatajwa kwenye taarifa husika .
Sasa wewe kwa sababu ni mkurupukaji unadhani taarifa ya kampuni inapatikana mtandaoni.
Ingekuwa Azam na Metl wote wametoa taarifa zao za kihasibu sawa tungeweza kubaliana nao, lakini kwa sasa tutaangalia Ile value ya asset au machinery alizowekeza na hapa ni gues work tu
 
Mzee mimi nimesoma

1. ICT
2. Cosmology
3. Political Science
4. International Relations
5. Philosophy
6. Anthropology
7. Mathematics
8. Physics
9. Meditation
10. History
11. Witchcraft
12. National Interest

Sasa mzee wewe kajamba nani uweze kunikaribia? Naona tu hata namna unavyoandika ni upuuzi tu
Hii siku naona ulisahau kusema umesoma accounting pia😂😂😂. Ama huwa unazisoma overnight?
 
Back
Top Bottom