Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

So balance yako ni 7,500 Tanzanian money? In short you only have Ksh 375 kwa account yako? No wonder you can't afford to buy underwear. Uza hata ng'ombe ununue suruali right basi ikuwe ukivaa chini ya hiyo leso yako.
Post bank statement yako maneno mengi ya nini?
 
wanaulizana ile billion 20 alioahidi mpaka kesho hawazioni na sasa ni 7 yrs 😂😂😂

mara aliahidi kujenga uwanja, alaf baadae unaskia anatoza michango kwa wanachama kujenga ukuta wa uwanja 😂😂

tajiri analia kila wakat mitandaoni anapata hasara mara anatak kususia team huyo anajiita tajiri 😂😂😂
bilioni 20 aliyoahidi si kuwapa Simba kama cash bali alikuja na plan kwamba hiyo hela ataifungia kwenye bond ya muda mrefu na mahesabu ya wakati ule ni kuwa italeta faida ya 3.5bn kila mwaka kwaajili ya kuendeshea simba na on top of that anaongezea na hela zake juu.
 
Post bank statement yako maneno mengi ya nini?
Balance ya Ksh 375 ndio unatupigia nayo kelele? Wewe hata wale ombaomba omba kutoka Tanzania wamekushinda. They are always sure if having at least 400 bob by day's end. Wewe 375 unataka kujifanya tajiri WA kijiji😂😂
 
Maasai anapiga kelele na balance ya 300 bob kwa account 😂😂😂😂
 
We all know uko na balance ya 300 bob. Your editing has misled you😂😂👇👇👇

1000011051.jpg
 
Balance ya Ksh 375 ndio unatupigia nayo kelele? Wewe hata wale ombaomba omba kutoka Tanzania wamekushinda. They are always sure if having at least 400 bob by day's end. Wewe 375 unataka kujifanya tajiri WA kijiji😂😂
Kumbe hata kusoma bank statement hujui Toka lini bank balance ikawa kwenye eneo la transactions.
Ndo ubaya wa kuweka fedha chini uvungu
 
bilioni 20 aliyoahidi si kuwapa Simba kama cash bali alikuja na plan kwamba hiyo hela ataifungia kwenye bond ya muda mrefu na mahesabu ya wakati ule ni kuwa italeta faida ya 3.5bn kila mwaka kwaajili ya kuendeshea simba na on top of that anaongezea na hela zake juu.
Sasa 20b inafanya nini?

Analipa kiasi gani matangazo yake kwenye Jezi?

Mo ni mhuni
 
Kumbe hata kusoma bank statement hujui Toka lini bank balance ikawa kwenye eneo la transactions.
Ndo ubaya wa kuweka fedha chini uvungu
Wewe hakuna unachajua. Difference between Debits and Credit unapata balance. No wonder you are a primary school dropout.
 
Back
Top Bottom