Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 31,238
- 33,471
By the way alifika wapi na hiyo adventure yake?๐๐Unakumbuka Ile siku alijiita computer guru eti anahack government of Kenya websites?๐๐๐
By the way alifika wapi na hiyo adventure yake?๐๐Unakumbuka Ile siku alijiita computer guru eti anahack government of Kenya websites?๐๐๐
Sawa tuoneshe hiyo 375ksh kwenye hiyo bank statement ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ.Wewe hakuna unachajua. Debit minus Credit unapata balance. No wonder you are a primary school dropout.
Kaka unaandika porojo tu hapa. Wewe ndiye uliyesema Bakhresa(AZAM) ni kampuni kubwa kuliko MeTL. Tumekuomba ulete ushahidi ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ eti unaniambia niende vingunguti nitaona namna AZAM ilivyo. Kaka hapa unajadiliana na msomi mwenye details nyingi. Ukija na arguments zako za vijiwe vya kahawa utagonga mwamba.Unapoongelea mtaji wa mtu lazima uguse taarifa zake za kihasibu .
Kwa mfano nataka kununua hisa za kampuni flani sikurupuki kwenda kununua kwa kuangalia yaliyoandikwa magazetin.
Unavuta taarifa zake za kihasibu unaangalia Kila kitu mpaka madeni yanapatikan, mpaka thamani ya sset ni majina yake yatasomeka, kama kuna magari yatatajwa kwenye taarifa husika .
Sasa wewe kwa sababu ni mkurupukaji unadhani taarifa ya kampuni inapatikana mtandaoni.
Ingekuwa Azam na Metl wote wametoa taarifa zao za kihasibu sawa tungeweza kubaliana nao, lakini kwa sasa tutaangalia Ile value ya asset au machinery alizowekeza na hapa ni gues work tu
Sio wewe ulipost hii? Ama huitaki tena?๐๐๐๐ ๐๐
Akiweka ndani ya 10 minutes nanyaa kariakoo kweupe , hapo mpaka akaombe sehem
Wewe ni nguruwe. Hapo juu in the white section kuna difference ya Credit and Debit na hiyo ndio balance yake. It's 7,500 Tanzanian money and 375 bob in Kenyan money.Jamaa amejikunia bila kujua๐๐Sawa tuoneshe hiyo 375ksh kwenye hiyo bank statement ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ.
Kumbe ni credit 6000 kati 35mil nakuwa na balance ya 6000 ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ. Shule ya polini kweli
iko wapi hio bond bro no where to be seen hata kiwangwala aliposema kawasiliana na bank zote tanzania hakukua na ushahidi wowote kua pesa hzo zimewekwabilioni 20 aliyoahidi si kuwapa Simba kama cash bali alikuja na plan kwamba hiyo hela ataifungia kwenye bond ya muda mrefu na mahesabu ya wakati ule ni kuwa italeta faida ya 3.5bn kila mwaka kwaajili ya kuendeshea simba na on top of that anaongezea na hela zake juu.
Wewe pia uko na 375 bob kwa account ama hata hiyo bank account ndio huna?๐๐๐Akiweka ndani ya 10 minutes nanyaa kariakoo kweupe , hapo mpaka akaombe sehem
Utopolo utawajua tu. Simba ni Club ya 5 barani Africa. Mwaka huu imecheza finali kombe la shirikisho. Sasa tueleze Simba inasua sua wapi?iko wapi hio bond bro no where to be seen hata kiwangwala aliposema kawasiliana na bank zote tanzania hakukua na ushahidi wowote kua pesa hzo zimewekwa
mo ni tapeli bro na ndio maana hata simba inasuasua sana kiundeshaji na ni kawaida ya wahindi mostly ni matapeli sana
Next atatuambia he studied Law ๐คฃ๐คฃnairobae NairobiWalker Nicxie mwaiofhawaii
Huyo gay kwani amesomea kila kitu duniani?๐๐๐.
To make it worse he doesn't master any of what he claims to have studied ๐
Hawezi weka. ๐๐๐Akiweka ndani ya 10 minutes nanyaa kariakoo kweupe , hapo mpaka akaombe sehem
Post yako tuone mbona unapost ya mwanaume.
Wewe umebase kwenye turnover tu.Kaka unaandika porojo tu hapa. Wewe ndiye uliyesema Bakhresa(AZAM) ni kampuni kubwa kuliko MeTL. Tumekuomba ulete ushahidi ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ eti unaniambia niende vingunguti nitaona namna AZAM ilivyo. Kaka hapa unajadiliana na msomi mwenye details nyingi. Ukija na arguments zako za vijiwe vya kahawa utagonga mwamba.
Mpaka sasa hivi ni zaidi ya pages 7 hujaleta uthibitisho wowote kuhusu AZAM kuwa ni kubwa.
Huyo mwanaume mwingine ako na 375 bob kwa account yake ๐๐๐.Post yako tuone mbona unapost ya mwanaume.