Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,691
- 107,133
Kama Azam ni mkubwa kuliko METL basi alipe kodi stahiki!Hiyo turnover ipo hivyo Toka mwaka 2015 View attachment 3382115
Kipindi hicho Azam hamkuwa na hizo kampuni
United petroleum
Bagamoyo sugar
Hotel Verde Zanzibar
Union properties
Mimi nadhan ungejikita kwa kutuletea sample ya uwekezaji wa Metl versus Azam ila kwa turnover ,hakuna mfanyabiashara anaweza kuweka wazi mauzo yake, hata hiyo Metl aliyoweka bado ni ndo sana kwa mauzo , huku mtaani watu wanamauzo zaid ya hata hayo ila ni issue za tra