ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Huu ndio ukweli wa sukari zao, hata wao wanajua ila hawawezi sema.How many of them?
That is not a bridge it is an embarkmentHii makupa inakaa calvert mkuu.? 👇🏾 🤣🤣View attachment 3381989
Dunia ilishakuacha miaka 1990sMambo ya warabu na Wahindi. Hakuna cha Tanzania hapo.
Huu ndio ukweli wa sukari zao, hata wao wanajua ila hawawezi sema.
Viwanda vyao vingi vinafanya repackaging ya sukari kutoka Somalia. 😂😂😂
View: https://x.com/fgaitho237/status/1882031466583851190?s=46
View: https://x.com/georgediano/status/1881983079356768452?s=46
View: https://x.com/edgarwabwire_/status/1836510862338875832?s=46
View: https://x.com/edgarwabwire_/status/1867524191085638122?s=46

Kama ya kwenu ndio imewashinda, ya Kenya ndio mtaweza?I see an opportunity for Tanzanian companies to take over sugar business in Kenya 😁
Kampuni ya Kimarekani, kubwa duniani. Dunia ilishakutupa mkono kaka Kwikwikwikwikwi.Mambo ya warabu na Wahindi. Hakuna cha Tanzania hapo.
Ungekuwa umesomea accounting ungekuwa unajua kabisa kuwa hakuna Sheria yoyote inayomtaka Azam kutangaza mapato yake au kutangazo financial statement zake Kila mwaka.Brother mimi nimesoma Accounting kwanza unatakiwa ulijue hilo.
Unaandika porojo nyingi za kufikirika. Nimekuambia ulete Revenue ya Bhakresa 2024 mpaka sasa tunaenda page ya 3 hakuna ulichokileta.
Mauzo ndiyo yanayosaidia nchi kaka, hayo mengine unayoweka ni porojo tu. Kama Revenue ya MeTL ni $19b. Tuambie kwa mchanganuo wa kihasibu hizo haziwezi kuingia kwenye Assets?
Moja.
Unapofanya Sales inaweza kuwa ni Cash or Credit.
Kama ni Cash moja kwa moja itaingia bank au Cash ya Physical
Lakini ukiuza kwa deni Itaingia kwenye orodha ya Debtors.
Tueleze CASH na DEBTOR siyo Assets.
Pili
MeTL inachangia 5% ya GDP unaelewa maana yake?
GDP=C+I+G+(X−M)
C = Matumizi binafsi (consumption) — matumizi ya kaya (chakula, nguo, burudani, huduma nk.)
I = Uwekezaji (investment) — uwekezaji wa biashara (mashine, viwanda, majengo nk.)
G = Matumizi ya serikali (government spending) — barabara, shule, hospitali, mishahara ya watumishi
X = Mauzo ya nje (exports)
M = Uagizaji wa bidhaa kutoka nje (imports)
(X−M)=Netexports(mauzohalisinje)
GDP kwa upande wa mapato (Income Approach):
W = Mishahara (wages)
R = Kodi ya ardhi / mapato ya kodi (rents)
i = Riba (interest)
P = Faida za biashara (profits)
T = Kodi zisizo za moja kwa moja (indirect taxes)
S = Subsidy (punguzo la serikali kwa baadhi ya bidhaa au huduma)
Mchango wa MeTL = Thamani ya bidhaa na huduma zinazozalishwa na MeTL kwa mwaka/Jumla ya GDP ya Tanzania kwa mwaka
SASA TULETEE KUHUSU Bakhresa
Do you understand the meaning of Co-founder? Now look for other founders tuone kama sio Americans, ama maana ta co-founder ndio hujui?Kampuni ya Kimarekani, kubwa duniani. Dunia ilishakutupa mkono kaka Kwikwikwikwikwi.
Kampuni hii Trump anailinda kwa hali na mali dhidi ya China.
View attachment 3382317
Owner of AMD - Ushamba bado unakukaliaMambo ya warabu na Wahindi. Hakuna cha Tanzania hapo.
Acha kujidanganya na formula za kudownloadBrother mimi nimesoma Accounting kwanza unatakiwa ulijue hilo.
Unaandika porojo nyingi za kufikirika. Nimekuambia ulete Revenue ya Bhakresa 2024 mpaka sasa tunaenda page ya 3 hakuna ulichokileta.
Mauzo ndiyo yanayosaidia nchi kaka, hayo mengine unayoweka ni porojo tu. Kama Revenue ya MeTL ni $19b. Tuambie kwa mchanganuo wa kihasibu hizo haziwezi kuingia kwenye Assets?
Moja.
Unapofanya Sales inaweza kuwa ni Cash or Credit.
Kama ni Cash moja kwa moja itaingia bank au Cash ya Physical
Lakini ukiuza kwa deni Itaingia kwenye orodha ya Debtors.
Tueleze CASH na DEBTOR siyo Assets.
Pili
MeTL inachangia 5% ya GDP unaelewa maana yake?
GDP=C+I+G+(X−M)
C = Matumizi binafsi (consumption) — matumizi ya kaya (chakula, nguo, burudani, huduma nk.)
I = Uwekezaji (investment) — uwekezaji wa biashara (mashine, viwanda, majengo nk.)
G = Matumizi ya serikali (government spending) — barabara, shule, hospitali, mishahara ya watumishi
X = Mauzo ya nje (exports)
M = Uagizaji wa bidhaa kutoka nje (imports)
(X−M)=Netexports(mauzohalisinje)
GDP kwa upande wa mapato (Income Approach):
W = Mishahara (wages)
R = Kodi ya ardhi / mapato ya kodi (rents)
i = Riba (interest)
P = Faida za biashara (profits)
T = Kodi zisizo za moja kwa moja (indirect taxes)
S = Subsidy (punguzo la serikali kwa baadhi ya bidhaa au huduma)
Mchango wa MeTL = Thamani ya bidhaa na huduma zinazozalishwa na MeTL kwa mwaka/Jumla ya GDP ya Tanzania kwa mwaka
SASA TULETEE KUHUSU Bakhresa
Viwanda vyao vingi janja janja, ndio maana wanalishwa matakataka. 😂😂😂I see an opportunity for Tanzanian companies to take over sugar business in Kenya 😁
nairobae NairobiWalker Nicxie mwaiofhawaiiBrother mimi nimesoma Accounting kwanza unatakiwa ulijue hilo.
Kifupi hujui Revenue ya Bakhresa unaongozwa na hisia tu. Maneno meengi ushahidi zero.Ungekuwa umesomea accounting ungekuwa unajua kabisa kuwa hakuna Sheria yoyote inayomtaka Azam kutangaza mapato yake au kutangazo financial statement zake Kila mwaka.
Mosi lazima kingine katika pitapita zangu sijawahi sikia popote kampuni ikitakiwa iandae ripoti ili kuonesha mchango wake kwenye gdp ya nchi bali hizo taarifa huandaliwa na serikali yenyewe kupitia vyanzo mbalimbali Kam tra na kadhalika.
Unajaribu kujidanganya kwa kuweka formula kibao ili uonekane umesomea accounting
Taarifa ya mapato inapatikana kwenye statement of profit and loss ya mwaka husika na taarifa hali ya kampuni Iko kwenye balance sheet hapo ndo utakuta thaman kuu ya kampuni husika.
Thaman ya kampuni haikadiliwi kama unavyotaka .
Nimekuwekea sample ya taarifa za kihasibu za tbl ujielimishe
Jedwal na mbili ndo linalotakiwa katika kukadiria utajiri wa mtu
Who told you CEO is always the owner of a company? Very foolish gay.
Mr Know it all. 🤣🤣nairobae NairobiWalker Nicxie mwaiofhawaii
Huyo gay kwani amesomea kila kitu duniani?😂😂😂.
To make it worse he doesn't master any of what he claims to have studied 😂
CEO doesn't necessarily translate to ownership.
Cash na madeni Yale yanayoingia ni yake ambayo yanakiwa hayajakuaanywa mpaka hesabu zinapokuwa zinafungwa hizo ni current assets ni kundi moja na receivable income,income tax receivable , inventory zote hizo linaingia kama current assetBrother mimi nimesoma Accounting kwanza unatakiwa ulijue hilo.