Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 31,238
- 33,467
Yeye hakuna kitu hajasomea😂😂😂Mr Know it all. 🤣🤣
Yeye hakuna kitu hajasomea😂😂😂Mr Know it all. 🤣🤣
Post screenshot ya bank statement yako inayoonesha Total Credit Amount.Wewe maasai what do you know about Kenya? Kwanza umevaa chupi hapo ndani ya hiyo leso yako?
Wewe ndo unaongozwa ha hisia maana unalazimisha nijue wakati Azam habanwi na Sheria yoyote ya kunitamgazia mapato yake , ni yeye na tra . Kajielimishe kwanza ndugu uwe unaacha kukurupuka hizo ni fani za watuKifupi hujui Revenue ya Bakhresa unaongozwa na hisia tu. Maneno meengi ushahidi zero.
Jack of all trades master of none.🤣🤣🤣nairobae NairobiWalker Nicxie mwaiofhawaii
Huyo gay kwani amesomea kila kitu duniani?😂😂😂.
To make it worse he doesn't master any of what he claims to have studied 😂
Ngoja nichangie kidogo hapa. Kiuhalisia Azam group ni kampuni kubwa kuliko Metl. The difference ni kuwa Metl imekuwa ikiendeshwa kwa mfumo wa kisasa wa corporate na ime integrate investment yake internationally kwenye mifumo ya kidunia ila Azam inaendeshwa sana sana kama a family business with minimal interactions na international funders hence mahesabu yao hayawekwi wazi kama ya Metl.Bakhresa group ni tajiri zaidi ya Mo.
Mo Dewji anapenda umaarufu tu, ili atapeli watu.
Hata Mo Dwji ile siyo mali yake peke yake, ila ni mali ya familia, ndio maana kwenye executive familia yote ya Dewji ipo
Kaka umeshindwa kuleta mapato ya Bhakresa, Umeshindwa kuleta ameajiri watu wangapi? Umeshindwa kuleta Mchango wa Bhakresa kwenye Taifa la Tanzania. Sasa unabisha kitu gani?Acha kujidanganya na formula za kudownload
KwikwiPost screenshot ya bank statement yako inayoonesha Total Credit Amount.
Mimi nitapost ya two months wewe post ya mwaka mzima.
UmemalizaNgoja nichangie kidogo hapa. Kiuhalisia Azam group ni kampuni kubwa kuliko Metl. The difference ni kuwa Metl imekuwa ikiendeshwa kwa mfumo wa kisasa wa corporate na ime integrate investment yake internationally kwenye mifumo ya kidunia ila Azam inaendeshwa sana sana kama a family business with minimal interactions na international funders hence mahesabu yao hayawekwi wazi kama ya Metl.
Kuna siku alikua anajifanya computer hacker. 🤣🤣🤣 Google on wrong hands is very dangerous.Yeye hakuna kitu hajasomea😂😂😂
Kwa Sheria ipi ambayo napaswa kuyajua mapato yake? Wewe unaweza tuletea financial statement za Metl leo tuzione tuchambueKaka umeshindwa kuleta mapato ya Bhakresa, Umeshindwa kuleta ameajiri watu wangapi? Umeshindwa kuleta Mchango wa Bhakresa kwenye Taifa la Tanzania. Sasa unabisha kitu gani?
Nimekuambia ulete Statistical Information umeshindwa. Je, kuna maana yoyote ya kuendelea kujadiliana na wewe?
Nimekupatia taarifa hizi 👇 👇 👇 👇 Wewe hujaleta taarifa tangible
View attachment 3382320
View attachment 3382321
Tayari kisu kimeingia kwenye mfupa 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Unaanza kutukana ovyoWho told you CEO is always the owner of a company? Very foolish gay.
Ana shobo utadhani amesikia nataka shobo na magovi.Kwikwi
Kaka acha kuhamisha hamisa mada wewe leta Impact ya Bakhresa kwenye Uchumi wa Tanzania. Mbona unaleta porojo tu. MeTL is also a private Entity wameweka vitu vyao kwenye public. Bhakresa anaficha nini? KwikwikwikwikwiKwa Sheria ipi ambayo napaswa kuyajua mapato yake? Wewe unaweza tuletea financial statement za Metl leo tuzione tuchambue
Rostam ana mitaji mikubwa sana ya watu wake kutoka nje hasa Yemen.Ngoja nichangie kidogo hapa. Kiuhalisia Azam group ni kampuni kubwa kuliko Metl. The difference ni kuwa Metl imekuwa ikiendeshwa kwa mfumo wa kisasa wa corporate na ime integrate investment yake internationally kwenye mifumo ya kidunia ila Azam inaendeshwa sana sana kama a family business with minimal interactions na international funders hence mahesabu yao hayawekwi wazi kama ya Metl.
same na Rostam ana hela ndefu lakini ana kampuni gani ya ku justify utajri wake?
Rostam hana uhusiano wowote na Yemen. Mwenye uhusiano na Yemen ni ASASRostam ana mitaji mikubwa sana ya watu wake kutoka nje hasa Yemen.
Kama umesomea accounting hakuna haja ya kubishana ebu tusaidie kwa kupitia IAS 16 na IAS 13 tuachane na ubishiKaka acha kuhamisha hamisa mada wewe leta Impact ya Bakhresa kwenye Uchumi wa Tanzania. Mbona unaleta porojo tu. MeTL is also a private Entity wameweka vitu vyao kwenye public. Bhakresa anaficha nini? Kwikwikwikwikwi
Yaani tuliite kampuni la Bakhresa kuba kwa hisia tu?
Check wenzake:
Pitia IAS 3Kaka acha kuhamisha hamisa mada wewe leta Impact ya Bakhresa kwenye Uchumi wa Tanzania. Mbona unaleta porojo tu. MeTL is also a private Entity wameweka vitu vyao kwenye public. Bhakresa anaficha nini? Kwikwikwikwikwi
Yaani tuliite kampuni la Bakhresa kuba kwa hisia tu?
Check wenzake: