Kwanza inabid ujifunze kuna utofauti mkubwa wa investment na mauzo .
Unaweza ukawa na mauzo makubwa sana lakini faida ikawa kiduchu sana .
Napozungumzia uwekezaji ndo unadetermine thamani ya mali zako , mauzo hayawez kudetermine total asset zako.
Na tukisema Azam ni mkubwa tunaangalia Ile thamani ya mali alizonazo na sio mauzo . Kinachoingia kwenye mtaji ni Ile netprofit kwa ajili ya uwekezaji .
Sasa wewe unapolazimisha tuangalie turnover kama hata baada ya mauzo yote anabaki na hasara ila Azam letsay mwenye mauzo machache akawa na faida?
Hata kama Azam atapata faida ya tsh 200 ila akiiwekeza itaongeza thaman ya mali zake.
Turnover haidetermine utajiri wa mtu.
Kwahiyo wewe tulipaswa kuleta evidence letsay Metl kajenga bohari la lenye cost ya 10usd mil then ndo tungeenda sawa.
Lakini hivyo viwanda sijui vya ngano vya usd 2mil ambavyo kawekeza haviwez lingana hata robo na vile vya Azam.
Ukitaka elimu hiyo kajifunze utofauti wa turnover ( revenue ) na asset katika kudetermine thaman ya mtu.
Anzia hapa
Asset= liability+ equity( capital)
Hakuna
Asset= turnover
Brother mimi nimesoma
Accounting kwanza unatakiwa ulijue hilo.
Unaandika porojo nyingi za kufikirika. Nimekuambia ulete Revenue ya Bhakresa 2024 mpaka sasa tunaenda page ya 3 hakuna ulichokileta.
Mauzo ndiyo yanayosaidia nchi kaka, hayo mengine unayoweka ni porojo tu. Kama Revenue ya MeTL ni $19b. Tuambie kwa mchanganuo wa kihasibu hizo haziwezi kuingia kwenye Assets?
Moja.
Unapofanya Sales inaweza kuwa ni Cash or Credit.
Kama ni Cash moja kwa moja itaingia bank au Cash ya Physical
Lakini ukiuza kwa deni Itaingia kwenye orodha ya Debtors.
Tueleze CASH na DEBTOR siyo Assets.
Pili
MeTL inachangia 5% ya GDP unaelewa maana yake?
GDP=C+I+G+(XโM)
C = Matumizi binafsi (consumption) โ matumizi ya kaya (chakula, nguo, burudani, huduma nk.)
I = Uwekezaji (investment) โ uwekezaji wa biashara (mashine, viwanda, majengo nk.)
G = Matumizi ya serikali (government spending) โ barabara, shule, hospitali, mishahara ya watumishi
X = Mauzo ya nje (exports)
M = Uagizaji wa bidhaa kutoka nje (imports)
(XโM)=Netexports(mauzohalisinje)
GDP kwa upande wa mapato (Income Approach):
W = Mishahara (wages)
R = Kodi ya ardhi / mapato ya kodi (rents)
i = Riba (interest)
P = Faida za biashara (profits)
T = Kodi zisizo za moja kwa moja (indirect taxes)
S = Subsidy (punguzo la serikali kwa baadhi ya bidhaa au huduma)
Mchango wa MeTL =
Thamani ya bidhaa na huduma zinazozalishwa na MeTL kwa mwaka/Jumla ya GDP ya Tanzania kwa mwaka
SASA TULETEE KUHUSU Bakhresa