View attachment 3382087
Haya maelezo mbona yanajieleza
- Mohammed Dewji:
He is the owner of METL (Mohammed Enterprises Tanzania Limited), a diversified conglomerate with interests in various sectors including manufacturing, agriculture, and finance. Forbes has consistently listed him as East Africa's richest person.
- Azam:
Azam is a large Tanzanian conglomerate, but the wealth is held by the Bakhresa Group, not a single individual with a specific net worth comparable to Mohammed Dewji
Bakhresa hajitangazi sana ila sisi tunaona haya sababu ya Azam media
View attachment 3382088
Metl hana Mashamba ya mahindi hata songea kule ambapo ndo ana vimashine vya tan 100/ day ananunua mahindi kwa wakulima ( nyuma sodeco)
Viwanda vya Azam ni vikubwa sana huwez linganisha na viwanda vya Metl we. Karibu hata kupita kiwanda Cha juice na Azam energy kalinganishe na kiwanda Cha Metl energy au nenda katafute kiwanda chochote Cha Azam halafu linganisha na Cha mo.
Bagamoyo sugar kimejengwa kwa zaid 300mil usd , hicho ni kiwanda kimoja tu, vipi kuhusu viwanda vya mo? Karibu kupitia kwenye website ya bakresa group nenda kafungue Kila division utaona .
Kuna kampuni nyingine hata hazitumii nembo ya Azam kama united petroleum au union properties
Azam ana viwanda vikubwa sana kuliko hata hiyo moo.
Mfano tu Metl anapatikana katika nchi 6 wakati Azam yupo katika nchi 9
View attachment 3382091
Ebu taja kiwanda hata kimoja kikubwa Cha level ya Azam juice Cha Metl au chenye ukubwa sawa na bagamoyo sugar