Chamoto
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 9,883
- 22,305
Tatizo letu Tz ni usimamizi, na hii ni kutokana na kuwa na baadhi ya viongozi vilaza wenye mamlaka.It's good you mentioned zoning. Planning is about many things, not just straight roads. Some cities do not have straight roads but are well planned..................and in that regard, Kenya has done a better job at having a Manhattan Road design than Tanzania anyway. Compare Nakuru and Arusha normal mwananchi neighborhoods.
View attachment 3377601View attachment 3377602
Ila Tz tuna watu wenye uwezo mkubwa sana wa kupanga na kuanzisha mikakati kuliko nyinyi, na hii iko reflected kwenye miradi tulioianzisha chini ya Magufuli, Kenya bado hamna uwezo huo.