concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,991
- 15,437
No wonder bado mnakufa njaa🤣🤣🤣🤣Nchi ya primary school dropouts, no wonder mkona only 200 pilots nchi nzima.🤣🤣
No wonder bado mnakufa njaa🤣🤣🤣🤣Nchi ya primary school dropouts, no wonder mkona only 200 pilots nchi nzima.🤣🤣
Halafu maajabu beggars mnaowazungumzia wapi Nairobi tu na sio drc,Zambia ,Uganda na kadhalika inaonesha kuwa ni mpango wenuSasa nchi ya kuexport beggars inaogopewa nini?
Nchi ya primary school dropouts ranks very low kwa Human Capital Index. 152 out of 173. Wameshindwa hata na ndugu zao Afghanistan. 🤣🤣🤣Yani zaidi ya nusu ya pilots Tanzania ni foreigners! Na vilaza wanapiga kelele hapa!🤣🤣
Wami bridge longer n taller than Makupa bridge!
More factories in Athi River
![]()
![]()
![]()
Brother wewe hapa unaongea kwa hisia tu. Tuambie investment kubwa inayomuingizia pesa nyingi AZAM ni ipi?Mo ni ownership Iko chini ya mtu mmoja, wakati Azam kagawa kwa viwanda viko chini ya watoto tofauti ambao wote wanatumia Azam kama parent company. Ila tukija kama kwa issue ya capital Azam yuko juu
Mo ni ownership Iko chini ya mtu mmoja, wakati Azam kagawa kwa viwanda viko chini ya watoto tofauti ambao wote wanatumia Azam kama parent company. Ila tukija kama kwa issue ya capital Azam yuko juu
| Company | Revenue / Turnover | Assets & Investment Highlights |
|---|---|---|
| MeTL (Mohammed Enterprises) | Grew from about US $30 million in 1999 to over US $1.5 billion by 2018 (en.wikipedia.org, villagevoicenews.com) | Diversified across manufacturing, agriculture, finance, insurance, telecom, real estate, transport & food and beverages; operations in 11 countries, employing 28,000+ |
| Azam Group (Bakhresa) | Annual turnover of around US $800 million, employing 8,000+ directly | Wide-ranging businesses from food & beverages (chocolate, ice cream, packaging), media (TV, radio, Azam TV), logistics, marine transport, fintech, real estate, hospitality, sports |
Nairobi imezingirwa na green spaces uiite pori ni sawa tu, ni sifa kwetuHalafu mnasema arusha stadium ipo porini? Naislum developed area ni very small just see all that empty vast savannah
Nairobi imezingirwa na green spaces uiite pori ni sawa tu, ni sifa kwetuHalafu mnasema arusha stadium ipo porini? Naislum developed area ni very small just see all that empty vast savannah
METLMo ni ownership Iko chini ya mtu mmoja, wakati Azam kagawa kwa viwanda viko chini ya watoto tofauti ambao wote wanatumia Azam kama parent company. Ila tukija kama kwa issue ya capital Azam yuko juu
Habari ndio hio we mzee.![]()
De Heus Animal Nutrition | Experts in the field of animal feed
We are a fully fledged nutritional supplier, producing high-quality compound feed, premixes, concentrates and feed specialties for customers worldwide.www.deheus.com
Tukusikilize wewe au tumuamini Rais wako.Uzuri maumivu yakizidi, panadol tunaitengenzea hapa hapa Nairobi.
Mjinga ni yule pale Namanga anaona lori kumi za vitunguu kutoka bongolala, na moja ya pharmaceutical kutoka Nairobi, akadhani bongo yafanya biashara zaidi 😂 😂
I have been frequenting mwanzi market since it opened, its nice and chill when you want to work having some coffee or just have a chill evening by yourself
Amezungumzia story ya JPM!Tatizo lako wewe ni flip flopper na mnafiki, sasa hapo uongo uko wapi kwenye Ile video ya Tanroads niliyo quote?
Hizo nchi zote ulizotaja Azam yupo na ana viwanda vikubwa sana kuliko hata MetlMETL
Tanzania’s largest home-grown company, with a presence in 11 countries in Africa, such as Uganda, Ethiopia Kenya, Rwanda, Burundi, Zambia, Mozambique, Malawi, DR Congo and Tanzania.