Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ukitaka kujua mziki wa Azam tembelea pale vingunguti na buguruni uone mziki wa mabehewa yanavyopakiliwa kwenda isaka na kigoma kwa ajili ya congo na rwanda.
Brother mimi huwa siongei ushabiki. Mimi naongea uhalisia based on facts. Huwa siongei hisia kaka.
Evidence yako ni mimi niende kutembelea vingunguti!! 🤔 🤔 🤔 🤔 Sasa unataka nikaone ukubwa wa kampuni kwa macho?

Leta Statistical Data hapa.
MeTL
Employees: Around 24,000–37,000 across Tanzania
Contributes about 3.5–5 % of Tanzania’s GDP

Bhakresa Group
Employees: 2,000+ in Tanzania
Kwenye GDP haionekani popote
 
Sound like hujui maana ya Group of Companies.
MeTL Group Limited
Also
Bakhresa Group

MeTL Group Limited Revenue: between US $1.5 billion and $9.4 billion annually
Source: https://www.datanyze.com/companies/metl-group/40650280
View attachment 3382094

Bakhresa Group Revenue: Around US $800 million
Source: Inside AZAM: one of Africa’s top brands

View attachment 3382103
Hiyo turnover ipo hivyo Toka mwaka 2015
chrome_screenshot_Jun 25, 2025 8_10_05 AM GMT+03_00.png

Kipindi hicho Azam hamkuwa na hizo kampuni
United petroleum
Bagamoyo sugar
Hotel Verde Zanzibar
Union properties
Mimi nadhan ungejikita kwa kutuletea sample ya uwekezaji wa Metl versus Azam ila kwa turnover ,hakuna mfanyabiashara anaweza kuweka wazi mauzo yake, hata hiyo Metl aliyoweka bado ni ndo sana kwa mauzo , huku mtaani watu wanamauzo zaid ya hata hayo ila ni issue za tra
 
Hiyo turnover ipo hivyo Toka mwaka 2015 View attachment 3382115

Leta Revenue ya Bhakresa ya 2024 nakusubiri. Nimekupatia ya MeTL. Tuletee sasa ya kwako tuone
 
Brother mimi huwa siongei ushabiki. Mimi naongea uhalisia based on facts. Huwa siongei hisia kaka.
Evidence yako ni mimi niende kutembelea vingunguti!! 🤔 🤔 🤔 🤔 Sasa unataka nikaone ukubwa wa kampuni kwa macho?

Leta Statistical Data hapa.
MeTL
Employees: Around 24,000–37,000 across Tanzania
Contributes about 3.5–5 % of Tanzania’s GDP

Bhakresa Group
Employees: 2,000+ in Tanzania
Kwenye GDP haionekani popote
Statistics hizo ni mitandaonj ukitaka kupata uhalisia angalia value ya uwekezaji.
Mfano hapo umeweka idadi ya waajiriwa , sasa hivi makampuni mengi yamehamia kwenye robots.
Mfano ntakupa kwenye viwanda vidogo tu vya UNGA vya mtaani .
Zaman ili kuzalisha walau tan 30 kwa siku ilihitaji uwe na si chini ya watu 15 plus wabebaji kwa siku, sasa hivi kuna mashine watu wanatengeneza tabata kwa sanga tan 60 inahitaji watu 4 plus wabebaji.

We leta dhamani ya uwekezaji wa Metl versus Azam.
Mimi nimekutolea mfano tu bagamoyo sugar ujenzi wake umegharimu usd 300mil usd je kuna kiwanda gani unachokijua Cha Metl kilichowahi jengwa kwa walau usd 109mil usd?
Hatujafika kwenye real estates
 
Hiyo turnover ipo hivyo Toka mwaka 2015 View attachment 3382115
Kipindi hicho Azam hamkuwa na hizo kampuni
United petroleum
Bagamoyo sugar
Hotel Verde Zanzibar
Union properties
Mimi nadhan ungejikita kwa kutuletea sample ya uwekezaji wa Metl versus Azam ila kwa turnover ,hakuna mfanyabiashara anaweza kuweka wazi mauzo yake, hata hiyo Metl aliyoweka bado ni ndo sana kwa mauzo , huku mtaani watu wanamauzo zaid ya hata hayo ila ni issue za tra
MeTL inachangia 5% ya GDP tupatie impact ya Bakhresa katika uchumi wa Tanzania

1750829161059.png
 
Statistics hizo ni mitandaonj ukitaka kupata uhalisia angalia value ya uwekezaji.
Mfano hapo umeweka idadi ya waajiriwa , sasa hivi makampuni mengi yamehamia kwenye robots.
Mfano ntakupa kwenye viwanda vidogo tu vya UNGA vya mtaani .
Zaman ili kuzalisha walau tan 30 kwa siku ilihitaji uwe na si chini ya watu 15 plus wabebaji kwa siku, sasa hivi kuna mashine watu wanatengeneza tabata kwa sanga tan 60 inahitaji watu 4 plus wabebaji.

We leta dhamani ya uwekezaji wa Metl versus Azam.
Mimi nimekutolea mfano tu bagamoyo sugar ujenzi wake umegharimu usd 300mil usd je kuna kiwanda gani unachokijua Cha Metl kilichowahi jengwa kwa walau usd 109mil usd?
Hatujafika kwenye real estates
Kaka unaongea kwa hisia tu. Tuambie sasa hiyo kampuni ya Bakhresa imeajiri watanzania wangapi compared to MeTL.
 
Ukitaka kujua mziki wa Azam tembelea pale vingunguti na buguruni uone mziki wa mabehewa yanavyopakiliwa kwenda isaka na kigoma kwa ajili ya congo na rwanda.
Azam hana uwekezaji wa kitoto wala wa kubahatsha.

In short, Azam anajua uwekezaji na biashara.

Mo anajua biashara za haraka haraka tu.

Anasubiri karibu na mwezi wa Ramadhan, aende Pakistan achapishe Tambi za buku buku alete.

Anataka awinde tender za serikali asambaze pikipiki.

Au anategemea aone bidhaa ipi ya Azam inafanya vizuri sokoni, akopi.

Au akipata tender tenda ya Mbaazi au korosho aende kusini akanunue afanye export.
 
Azam hana uwekezaji wa kitoto wala wa kubahatsha.

In short, Azam anajua uwekezaji na biashara.

Mo anajua biashara za haraka haraka tu.

Anasubiri karibu na mwezi wa Ramadhan, ae de Pakistan achapishe Tambi za buku buku alete.

Anataka awinde tender za serikali asambaze pikipiki.

Au anategemea aone bidhaa ipi ya Azam inafanya vizuri sokoni, akopi.
Huo ndo uhalisia, ukiambiwa tutafute kiwanda Cha kutosha Cha Metl versus Azam hupati.
Yaan linganisha Azania flour Mills versus Azam flour mills pale buguruni ni kama kagodown tu.
Ukienda kwenye viwanda vya Metl nchi kama Mozambique ,Rwanda na kadhalika ni kama vigodown tu.
 
Nami ntakuuliza Metl amelipa Kodi kiasi gani kwa serikali?
Metl kaajiri watu wengi basi kalipa kiasi gani Cha sdl kwa serikali au 🤣🤣🤣?
Kaka ngoja kwanza nikupatie kazi za MeTL kisha tuendelee na mambo mengine. Maana nimekupatia Revenue ya MeTL hujaniletea ya Bhakresa. Nimekupatia Idadi ya watu walioajiriwa na MeTL wewe hujaleta kutoka AZAM.

MeTL

MANUFACTURING
SISAL PROCESSING
TEXTILE MANUFACTURING
EDIBLE OIL REFINERY
FLOUR MILLING & PACKAGING
SOAP & DETERGENTS
DRINKS & BEVERAGES
ENERGY & PETROLEUM
 
Huo ndo uhalisia, ukiambiwa tutafute kiwanda Cha kutosha Cha Metl versus Azam hupati.
Yaan linganisha Azania flour Mills versus Azam flour mills pale buguruni ni kama kagodown tu.
Ukienda kwenye viwanda vya Metl nchi kama Mozambique ,Rwanda na kadhalika ni kama vigodown tu.
Viwanda serious vya Mo viko Kurasini, ambako anatengeneza Sabuni na mafuta ya kula.

Lakini pia anavyo vya unga na vinywaji.

Biashara nyingine za Mo ni Yard ya empty containers, na Khanga Morogoro.

Nyingine ni bishara za chap chap tu.

Ila Azam,

  • Media
  • Unga
  • Ice cream
  • Vinywaji
  • Marine tranaport
  • Real estate /Fumba town/Hotel verde
  • Technology
  • Mpira
-

Bado ukienda Kenya, Rwanda, Uganda, Mozambique, unamkuta.

Azam habahatishi hata kidogo
 
Huo ndo uhalisia, ukiambiwa tutafute kiwanda Cha kutosha Cha Metl versus Azam hupati.
Yaan linganisha Azania flour Mills versus Azam flour mills pale buguruni ni kama kagodown tu.
Ukienda kwenye viwanda vya Metl nchi kama Mozambique ,Rwanda na kadhalika ni kama vigodown tu.
Kaka leta vitu vya facts siyo hisia.

MeTL
BUSINESS SERVICES
FINANCIAL SERVICES
TRANSPORTATION & LOGISTICS SERVICES
IMPORT & EXPORT SOLUTIONS

GLOBAL TRADING
MeTL BAJAJ
ELECTRICALS & ELECTRONICS
MeTL SUNDRIES

Haya tuletee sasa Biashara za Bakhresa nakusubiri
 
Back
Top Bottom