Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

aliyefanya huu utafiti ni "mtu bad" sana.
kaamua kutuweka karibu na watani zetu....tanzania namba saba,kenya namba nane.
b1ee2c094113388a92181b260dd1956a.jpg

NB:
in my opinion,kenyans are too ugly...it's a big mistake to put them in a top ten list of handsome men in africa...they should be put together in a single group with their cousins; south sudanese

it's a joke guys...don't take it serious.
 
Kwahiyo kina lewis hamjaona swal langu m nataka kujua chanzo cha ugomvi wa ruos na kikuyus mbona mnajifanya hamwon wakati meuliza kiroho safi nataka kujua
 
aliyefanya huu utafiti ni "mtu bad" sana.
kaamua kutuweka karibu na watani zetu....tanzania namba saba,kenya namba nane.
b1ee2c094113388a92181b260dd1956a.jpg

NB:
in my opinion,kenyans are too ugly...it's a big mistake to put them in a top ten list of handsome men in africa...they should put together in a single group with their cousins; south sudanese

it's a joke guys...don't take it serious.
Mwanaume unaongelea juu ya 'handsome men' ???
 
Kenya alone accounts for 30% of ongoing constructions in Afrika. Sasa wewe sijui unaongea kuhusu takataka gani hapo danganyika
Unaongea sana. Tatizo umejificha huko kenya hebu nakutaka orodhesha projects zinazofanyika Kenya ili uweze kuona zinazoendelea TZ
Ushamba unakusumbua
1. Dodoma Stadiumu more than 90,000 people

Cape_Town_Stadium.jpg

2. Msalato International Airport
393ccf232eeba2c1aca5c27106150ff3_XL.jpg

3. Salenda Bridge
salender1-jpg.454623

4. SGR (Electrified)
sgr_construction_to_start_tomorrow_h2503_e9632.jpg

5. STIEGLER'S GORGE electricity
x846sel.jpg.pagespeed.ic.TIsknle4ws.jpg
 
nice renders
 
dar hakuna over 35..tpa ni 35..times tower ni 38....na kwa architecture tunatumia metres wala si floors...UAP NI 163 metres na ina 33 floors times tower 38 na ni 140 metres
Hahahaha times tower ni 30
Em kuweni serious kidogo
Ivi uko chini ni 18flr kweli
Wazee wa kupika data
 
Anko naomba nijulishe historia ya ugomvi wa jaruos na kikuyus ulianzia wapi au tatzo chanzo chake nn
Wakati wangu wote niliokuwa hapa Nairobi Kenya kwa mapumziko ya sikukuu, nimekuwa mzito kumtembelea Tundu Lissu mara kwa mara. Naona soni. Soni ya kumtazama steringi wa demokrasia, siasa, na utawala wa sheria akiwa amelala kitandani. Anazungumza hadi anaumiza. Anauliza hadi analiza. Nimekwenda mara mbili tu tangu nifike tarehe 20 mwezi huu.
Amini nawaambia, Lissu ni steringi wa mambo ya siasa, demokrasia na utawala wa sheria. Amesema kwa kukosoa walipokosea. Ameonya hatari za mambo mbalimbali ya kisheria na kidemokrasia jkwa mustakabali wa nchi yetu. Amesema waziwazi hadi kuitwa mnazi. Amesema nje na ndani ya Bunge. Ametetea, ameunga mkono na kupigania anachokiamini. Who else?
Tarehe 20 Januari, 1968 alizaliwa. Akakua. Akapambana kimaisha, kimasomo, kisiasa na kadhalika. Mwaka huu, akashambuliwa. Akaanguka asijitambue. Akabebwa asijijue. Akatibiwa asigundue. Akalala kitanda cha wagonjwa hapa Nairobi kwa siku 101. Hatimaye, amesimama tena. Amesimama kuelekea kutembea. Kutembea kwenda mapambanoni tena. Stay alive!
Lissu atatikisa, atayumbisha na kugeuza mambo. Wanaoonekana kusambaratika, wataimarika. Kuanzia mapokezi yake atakaporejea (ambayo tayari yameshaanza kuratibiwa huku akiendelea kutibiwa), mambo yatanoga hadi kutia woga. Ataimarisha panapomuhitaji na kupandisha kujiamini, kusema na kujenga hoja kwa wale wanaomuamini. Steringi wa siasa za kisasa atarudi kumalizia picha yake.
Lissu ananihuzunisha, ananiimarisha na, kama mwanaCCM, ananitisha. Haachi kusoma hata kitandani. Haachi kusema mtu akiingia ndani. Haachi kufikiri na kukariri. Haachi kutafiti ili kujiweka fiti. Haachi kuponda na kupenda. Haachi kupanga na kupangua kwa kujua. Haachi kutabiri kwa umahiri. Ni wa kipekee.
Nawatakieni mwaka mpya mwema wa 2018 ambao utakuwa na Lissu tena!
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Nairobi, Kenya)
 
1. BRT Phase II and III

View attachment 661681

dart.jpg
Project zinazoendelea saa hizi ni bab kubwa hapa.
1. Lapsset
2. Sgr phase 2
3. Avic Towers 1, 2, 3, 4, 5, 6.
4. Cyton Towers 1, 2, 3.
5. Pinnacle Towers 1, 2
6. Montave Towers 1, 2
7. 88 Nairobi Tower
9. Akili Tower
10. Msa - Nbo express highway 6lanes 20interchanges

Etc.... Nyingi sana tena sana
 
Hahahaha times tower ni 30
Em kuweni serious kidogo
Ivi uko chini ni 18flr kweli
Wazee wa kupika data
Pindi Watanzania watakapoingiliana na kuwajua kikweli Wakenya, au Banyarwanda au hata Waganda wataona dhahiri kuwa wenzetu hawa wameendelea mno kifikra na kisiasa kuliko sisi.
Kutokana na elimu yao kubwa, hawatishwitishwi kama Watanzania. Hilo huenda likawageuza Watanzania na kuona wazi ukiukaji mkubwa wa haki zao za kibinadamu unaofanywa na Watawala na vyombo vyao...polisi na wakuu wa kisiasa, na huenda wakataka uhuru kama walionao wenzao.
Kwa mfano, wakati Tanzania mtu mmoja tu (rais) anaweza kuzuia matangazo mubashara ya Bunge, jambo kama hilo haliwezekani Kenya au Uganda. Kwa maana nyingine, taasisi (institutions) za Kenya, Uganda na hata Rwanda zimeendelea zaidi kuliko za Tanzania.
HII HASA NDIYO SABABU WAJANJA HAWA WANAKWAMISHA MUUNGANO KAMILI WA EAC.
Na ndiyo maana watawala hawa hupendelea zaidi SADCC, kwa vile shirikisho hili ni butu, halina ndani yake mechanism ya kuweza kuwabadilisha Watanzania kifikra.
 
Project zinazoendelea saa hizi ni bab kubwa hapa.
1. Lapsset
2. Sgr phase 2
3. Avic Towers 1, 2, 3, 4, 5, 6.
4. Cyton Towers 1, 2, 3.
5. Pinnacle Towers 1, 2
6. Montave Towers 1, 2
7. 88 Nairobi Tower
9. Akili Tower
10. Msa - Nbo express highway 6lanes 20interchanges

Etc.... Nyingi sana tena sana
tanazania
SGR phase one and two 3.16 billion usd
bagamoyo port 11billion usd
expansion dar port 400milliom usd
expansion mtwara port
cruder oil pipeline from hoima to tanga 4 billion usd
BRT second phase over 350million usd
LPG plant in mtwara 30billion usd
mzizima towers soon to be completed
PPF HQ soon to be completed
MNF towers soon to be completed
120km high way from dar to chalinze construction phase one umeanza from ubungo
ubungo interchange over 350m usd
JNIA terminal 3 phase one and two 560m usd
new surrender bridge 7.1 km inapita juu ya bahari

niendelee au??????
 
Pindi Watanzania watakapoingiliana na kuwajua kikweli Wakenya, au Banyarwanda au hata Waganda wataona dhahiri kuwa wenzetu hawa wameendelea mno kifikra na kisiasa kuliko sisi.
Kutokana na elimu yao kubwa, hawatishwitishwi kama Watanzania. Hilo huenda likawageuza Watanzania na kuona wazi ukiukaji mkubwa wa haki zao za kibinadamu unaofanywa na Watawala na vyombo vyao...polisi na wakuu wa kisiasa, na huenda wakataka uhuru kama walionao wenzao.
Kwa mfano, wakati Tanzania mtu mmoja tu (rais) anaweza kuzuia matangazo mubashara ya Bunge, jambo kama hilo haliwezekani Kenya au Uganda. Kwa maana nyingine, taasisi (institutions) za Kenya, Uganda na hata Rwanda zimeendelea zaidi kuliko za Tanzania.
HII HASA NDIYO SABABU WAJANJA HAWA WANAKWAMISHA MUUNGANO KAMILI WA EAC.
Na ndiyo maana watawala hawa hupendelea zaidi SADCC, kwa vile shirikisho hili ni butu, halina ndani yake mechanism ya kuweza kuwabadilisha Watanzania kifikra.
>>>
Tanzania wanafiki hadi visa ya eac hawataki
 
Kenya: Police Killed, Beat Post-Election Protesters
Wakati Tanzania inazuia bunge kurushwa live, jambo ambalo Kenya linaonekana sio demokrasia, lakini police wa Kenya wanapiga risasi na kurape wananchi bila wasiwasi, kwa wakenya hiyo ni jambo linalokubalika kwao..vichaa hawa
 
Back
Top Bottom