mwaswast
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 12,781
- 6,481
Ni lini Magufuli aliwahi kupinga ufisadi hapo awali?na lugumi,escrow nk mbona hatumsikii akifatilia?ngozi ya kondoo humfaa chui kwa muda ikikauka atajulikana ni chui 😀😀😀😀😀
Ni lini Magufuli aliwahi kupinga ufisadi hapo awali?na lugumi,escrow nk mbona hatumsikii akifatilia?ngozi ya kondoo humfaa chui kwa muda ikikauka atajulikana ni chui 😀😀😀😀😀
Wanaitaman hii ardhi hawana lolote c unajua kwao ardhi wanamiliki wahun hata 20 hawafik hahahahahHao sio binadamu wa kawaida hao, eti wanalazimisha tuungane ili watuambukize ukabila na roho mbaya yao, tumewastukia hatukubali![]()
![]()
![]()
Wanaitaman hii ardhi hawana lolote c unajua kwao ardhi wanamiliki wahun hata 20 hawafik hahahahah

Bangi ya kibera hiyo ....nahic inaota kwenye mifereji michafuuuwe vp ????😀😀😀😀 umechanganya madesa
Hahahaha serikali ya magufoo haina pesa za kujenga ofisi.Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), kimekataa maombi kutoka kwa wizara mbili ya kutumia baadhi ya majengo yake kwa ajili ya ofisi pindi Serikali itakapohamishia makao makuu rasmi mjini hapa, ili kulinda hadhi na taaluma kwa wanafunzi.
Makamu Mkuu wa UDOM, Profesa Idris Kikula jana alithibitisha kupokea maombikutoka kwa wizara hizo.“Kwa kusema kweli nimetembea karibu dunia nzima, lakini kwa uzoefu wangu sijawahi kuona mahalipopote ambapo Serikali inakaa ndani ya eneo la chuokikuu,” alisema bila ya kuzitaja wizara hizo.
Profesa Kikula alisema kulingana na maadili ya kitaaluma, haiwezekani Serikali kukaa pamoja na chuo kikuu kwani hali kama hiyo itaathiri shughuli za kielimu.
Alisema hajakataa maombi yawizara hizo kwa ajili ya sababu za kisiasa, bali ameangalia zaidi umuhimu wa kulinda hadhi na heshima ya chuo hicho ambacho kimekuwa kikizalisha wataalamu makini wanaotoa mchango mkubwa katika maendeleo ya kiuchumi, kijamii na teknolojia nchini.“
Binafsi nimefurahi sana msimamo wa Rais John Magufuli wa kuhamishia Serikali Dodoma, lakini siwezi kuruhusu wizara yoyote kutumia majengo yetu japo chuo hiki ni cha Serikali pia,” alisema na kuongeza: “Kwa mfano, fikiria, ukiruhusu wizara kama ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi kukaa hapa nini unachotegemea zaidi ya migogoro ya mara kwa mara ya wanafunzi kuvamia wizara hiyo kipindi cha ucheleweshaji wa mahitaji yao?” alihoji.
Tangu Rais Magufuli atangaze rasmi msimamo wake wa kuhamishia SerikaliDodoma, wizara nyingi na idara zake zimekuwa katika hekaheka za kutafuta nafasi katika majengo mbalimbali kwa ajili ya ofisi.
Chanzo : Mwananchi
. mnanitia hasira aisee
nchi yetu imefanywa shamba la bibi kwenye kila kitu
ndio kusema sura mbaya ni sifa nzuri kwa wakenya?.Mwanaume unaongelea juu ya 'handsome men' ???

Waswahili twasema.. Ukikaa karibu na waridi utanukia.... Sasa nduguzo wakaa karibu na Wanyama pori... Si haba!Wewe lete facts, usilete udaku, mnademokrasia gani ninyi polisi wanawapiga risasi kama wanawinda wanyama kule Tsavo, report ya human right watch hiyo hapo, polisi wana rape wakenya wenzao, ninyi ni zaidi ya wanyama wa porini, uamna ubinadamu kabisaaa
usitungumbushe majonzi ya kifo cha kinyama cha afisa wa IEBC Chris msando.Wakati wangu wote niliokuwa hapa Nairobi Kenya kwa mapumziko ya sikukuu, nimekuwa mzito kumtembelea Tundu Lissu mara kwa mara. Naona soni. Soni ya kumtazama steringi wa demokrasia, siasa, na utawala wa sheria akiwa amelala kitandani. Anazungumza hadi anaumiza. Anauliza hadi analiza. Nimekwenda mara mbili tu tangu nifike tarehe 20 mwezi huu.
Amini nawaambia, Lissu ni steringi wa mambo ya siasa, demokrasia na utawala wa sheria. Amesema kwa kukosoa walipokosea. Ameonya hatari za mambo mbalimbali ya kisheria na kidemokrasia jkwa mustakabali wa nchi yetu. Amesema waziwazi hadi kuitwa mnazi. Amesema nje na ndani ya Bunge. Ametetea, ameunga mkono na kupigania anachokiamini. Who else?
Tarehe 20 Januari, 1968 alizaliwa. Akakua. Akapambana kimaisha, kimasomo, kisiasa na kadhalika. Mwaka huu, akashambuliwa. Akaanguka asijitambue. Akabebwa asijijue. Akatibiwa asigundue. Akalala kitanda cha wagonjwa hapa Nairobi kwa siku 101. Hatimaye, amesimama tena. Amesimama kuelekea kutembea. Kutembea kwenda mapambanoni tena. Stay alive!
Lissu atatikisa, atayumbisha na kugeuza mambo. Wanaoonekana kusambaratika, wataimarika. Kuanzia mapokezi yake atakaporejea (ambayo tayari yameshaanza kuratibiwa huku akiendelea kutibiwa), mambo yatanoga hadi kutia woga. Ataimarisha panapomuhitaji na kupandisha kujiamini, kusema na kujenga hoja kwa wale wanaomuamini. Steringi wa siasa za kisasa atarudi kumalizia picha yake.
Lissu ananihuzunisha, ananiimarisha na, kama mwanaCCM, ananitisha. Haachi kusoma hata kitandani. Haachi kusema mtu akiingia ndani. Haachi kufikiri na kukariri. Haachi kutafiti ili kujiweka fiti. Haachi kuponda na kupenda. Haachi kupanga na kupangua kwa kujua. Haachi kutabiri kwa umahiri. Ni wa kipekee.
Nawatakieni mwaka mpya mwema wa 2018 ambao utakuwa na Lissu tena!
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Nairobi, Kenya)

Kenya ni nchi yenye viongozi na wananchi wenye Akili kubwa na Maono mapana.. Wanajitambua kwa sehemu kubwa sana. Ndio nchi pekee katika ukanda wa Afrika Mashariki iliyopiga hatua kubwa zaidi Kiuchumi, Kidemokrasia na Kielimu.
Sikushangaa kabisa kwa Kenya kuweza kukwepa kupiga kura dhidi ya USA kuhusu mji mkuu wa Israel kuwa Yerusalemu. Wanajua athari zake, hawakutaka kufuata mkumbo tu kama Tanzania ambayo inaongozwa kwa akili za kijinga tu.
Weka babaa hapa sasa nimeamua ni kuchafuana, ukiweka naweka, ukicheka nacheka, ukilia nacheka. Twende kaziusitungumbushe majonzi ya kifo cha kinyama cha afisa wa IEBC Chris msando.
siasa zenyu zina umafia sana,kwa hilo hata tanzania mmetuzidi.hongereni.
tukiamua kuweka idadi ya watu waliouwawa nchini kenya kwa visa vya kisiasa,hii thread haitatosha.itabidi tuanzishe thread mpya.![]()
![]()
![]()
![]()
kweli leo nimethibitisha wewe ni jobless...Weka babaa hapa sasa nimeamua ni kuchafuana, ukiweka naweka, ukicheka nacheka, ukilia nacheka. Twende kazi

Waswahili twasema.. Ukikaa karibu na waridi utanukia... Imeniuma sana kwani nchi hii imekuwa ikifanywa ya majaribio na wanaoumia ni wananchi wa hali ya chini!
Fikiria Ni nani anaweza kununua ARV iwapo hali itakuwa tete?
Ni nani ataweza kulipia chanjo iwapo marekani atatia ngumu?
Ni miradi mingapi ya afya imefadhiliwa na marekani?
Tulichokiona enzi za mwl Nyerere kukosa hadi nguo,kula unga wa magunzi ya mahindi ya NMC na kunywa uji ulioungwa chumvi ninakiona kinakuja tena kwa kasi ya ajabu! /QUOTE]
Kalevi kamelewa kapotezeeekweli leo nimethibitisha wewe ni jobless...![]()
![]()
![]()
Mkuu usimshangae mtu aloiuza Zanzibar na kuikosesha UHURU
akili zao zipo kwenye matumbo yao /QUOTE]
Bado nangoja screenshots.
Achana nae mjinga huyo, huu ni uwanja wa facts, sio kuforwards posts za watu wengine, usijisumbue kumjibu, ameishiwa na facts ya kutete nchi inayosambaratika badala yake anaforwards za watu waliotoa maoni yao, usijisumbue kumjibu chizi huyokweli leo nimethibitisha wewe ni jobless...![]()
![]()
![]()