Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

LICHA ya kutokiri moja kwa moja juu ya taarifa zinazosambaa mitandaoni kuhusu kumkamata Askofu Zakaria Kakobe wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGFC) lililoko Mwenge jijini Dar es Salaam, Jeshi la Polisi limesema ni lazima litamhoji kiongozi huyo wa kiroho.
Kuhojiwa huko kumetokana na kauli yake dhidi ya serikali aliyoitoa wakati wa ibada ya Krismasi.
Jana, kulienea taarifa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii kueleza kwamba askofu huyo alitiwa mbaroni jana asubuhi na askari wa Jeshi la Polisi huku sababu za kukamatwa zikielezwa kuwa ni ujumbe alioutoa wakati wa mahubiri yake ya ibada ya Krismasi.
Akizungumza na Nipashe jana kuhusiana na ukweli wa taarifa za kutiwa mbaroni kwa Askofu Kakobe, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa, alisema kuwa ni kweli walishakuwa katika harakati za kumkamata.
"Ametoa maneno ya kashfa katika mahubiri yake, lakini sina taarifa kama amekamatwa," Kamanda Mambosasa alisema na kuongeza:
"Taarifa za kumkamata zipo, lazima tumkamate. Tutamhoji…tutamhoji alikuwa na maana gani.“Mtu akitenda kosa la jinai ni lazima akamatwe…kwa sasa niko msibani, sijapokea taarifa kama amekamatwa au kuhojiwa. Nitawaarifu kama kutakuwa na taarifa zaidi.”
Hata hivyo, hadi Nipashe ikienda mitamboni hakukuwa na taarifa zozote rasmi kuhusiana na kukamatwa kwa Kakobe.
Awali, Nipashe ilimuuliza Kamanda wa Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Jumanne Muliro, ambaye pia alidai hakuwa na taarifa za kukamatwa kwa askofu huyo.
Askofu Kakobe (62), anadaiwa kuyatumia mahubiri yake siku hiyo kuzungumzia mwenendo wa serikali na masuala mbalimbali ya kisiasa nchini.
Mojawapo ya sauti inayodaiwa kuwa ya Askofu Kakobe na kusambaa kwenye mitandao ya kijamii ilidai kwamba hivi sasa Tanzania si nchi ya chama kimoja kama viongozi wanavyotaka.
Jana jioni, Nipashe ilifika katika kanisa la Kakobe, Mwenge na kukuta shughuli za kila siku kanisani hapo zikiendelea kama kawaida huku baadhi ya waumini waliokuwapo wakisema hawakuwa na taarifa za kutiwa mbaroni kwa kiongozi wao huyo.
Chanzo: Nipashe
duh!
noma sana aisei
 
Habari za asubuhi wana JF
Katika mji Mdogo wa kibiashara uitwao Makambako ulio mkoani Njombe asubuhi ya leo Askari polisi ajulikanae kwa majina ya Zakayo Dotto Kileka amemtwanga risasi na kumsababishia umauti mpenzi wake ambae ni mwanajeshi ajulikanae kwa jina la Neema.
Neema alikua akifanya kazi JWTZ Camp ya Makambako na Zakayo nae ni Polisi Makambako.
Zakayo ametoroka na juhudi za kumsaka zinaendelea. Chanzo cha ugomvi hakijajulikana bado zaidi ya kuhisiwa kua ugomvi wa mapenzi.
NB: Naomba CCP waongeze kozi ya saikolojia kwa askari wetu. Matukio kama haya yanajirudia sana kwa polisi na askari magereza.
 
labda akuoneshe renders😀😀😀😀😀😀😀
Jamaa anazingua kweli. Anatuletea hadithi nyingi za ajabu ajabu tu. Hivi tukianza kuleta majengo ambayo proposed hapa TZ si atakimbia humu asionekane
Mfano:
1.jpg

ACCamera_700x600.jpg
 
Jamaa anazingua kweli. Anatuletea hadithi nyingi za ajabu ajabu tu. Hivi tukianza kuleta majengo ambayo proposed hapa TZ si atakimbia humu asionekane
Mfano:
1.jpg

ACCamera_700x600.jpg
proposed ziko nyingi mbona Kenya, 370m, 280m,,,,
 
Anashangaa kakobe kwenda kuhojiwa maana wao kenya kule hawana mda wa kuhoji wanapiga chuma fasta wanakuzika ...wanaroho zao hawa jamaa ka majini vile
Bongo kweli inshu ya matangazo ni Changamoto, Sijui wabunifu wanakuwa tu Limited mana ata ndugu zetu kenya wametuzidi
 
Anashangaa kakobe kwenda kuhojiwa maana wao kenya kule hawana mda wa kuhoji wanapiga chuma fasta wanakuzika ...wanaroho zao hawa jamaa ka majini vile
Kuna Lingine Eti Baba Mbona Muda wote unaangalia Juu nae anajibu Eti anasubiria Mvua! Hawajui tofauti ya Tangazo na Kichekesho
Katika Hali ya kawaida hata uwe zuzu Vipi ndio usubirie Mvua kwa kushinda unatazama juu? Halafu ndo wanatangaza mambo Yao ya Malaria!
 
69008e009208412c8b0ce973a70336cf.jpg
 
Bongo kweli inshu ya matangazo ni Changamoto, Sijui wabunifu wanakuwa tu Limited mana ata ndugu zetu kenya wametuzidi
Anko naomba nijulishe historia ya ugomvi wa jaruos na kikuyus ulianzia wapi au tatzo chanzo chake nn
 
Back
Top Bottom