Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Safaricom International Jazz Festival
Uhuru Gardens | 2017
24439026708_dd08ddaea1_b.jpg
24439027778_b76509db3d_b.jpg
26535159959_5d79de45f8_b.jpg
38277893192_cef2be3c3d_b.jpg
38308914541_ab7cfc3f7b_b.jpg
 
Wewe pia si ni mkazi wa Kibera tena kwa muda mrefu zaidi yake?, wewe una uzoefu zaidi yake, nitajie tu idadi ya mifuko, mbona unapanic?,
Kama unakuja Kibera wewe fika haraka na usisahau kibakuli kama omba omba wenzako tukuchangie angalau usafiri na SGR usikie vile middle incom husikia.


Nyie wakenya mliopo humu jf mna bahati sana maana mnajifunza vingi ikiwemo umoja maana tumewafunza humu mmeungana na kutetea taifa lenu hongeren cjawai ona mnauliza makabila humu na hiyo inadhihirisha jf ina positive effect kwenu nawashauri muwakaribishe na wenzenu waje wajifunze ustarabu na umoja humu
Bila wakenya JF is useless.
 
dar hakuna over 35..tpa ni 35..times tower ni 38....na kwa architecture tunatumia metres wala si floors...UAP NI 163 metres na ina 33 floors times tower 38 na ni 140 metres
Majengo unayoyataja hayapo yapo kwenye makaratasi.
1. TPA 40 fl au haujui?
2. PSPF 1 35fl
3. PSPF 2 35fl
4. PPF 40fl
5. mzizima tower 35fl

Sasa mwenzangu unaleta vitu ambavyo havipo vipi?
 
Majengo unayoyataja hayapo yapo kwenye makaratasi.
1. TPA 40 fl au haujui?
2. PSPF 1 35fl
3. PSPF 2 35fl
4. PPF 40fl
5. mzizima tower 35fl

Sasa mwenzangu unaleta vitu ambavyo havipo vipi?
usisahau mzizima towers 35 fl kwa 33fl
 
Back
Top Bottom