Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

TRIBALISM IN THE KENYAN WORKPLACE
JamiiForums.com, 80% ya discussions is on this topic.
"Mtawala, ama Rais ama Waziri akifanya dhambi lazima ajulishwe kwamba wewe hapa umepotoka, wewe hapa umekengeuka".
"Nimewaambia waandishi wa habari kwamba, kazi niliyopewa mimi ni kuwajulisha watu dhambi zao. Mtawala akikengeuka, Kakobe anamwambia hapa umekengeuka".
"Mimi sihitaji Chai ya Ikulu kwa sababu majani ya chai ya Ikulu ni yaleyale ya Mufindi, hayana dhahabu ndani yake".
"Mimi sihitaji hela, nina hela kuliko Serikali, nimewaambia waandishi wa habari hakuna wa kunihonga mimi, wala hakuna wa kunipa hela yoyote, hata Waziri akiwa hana hela aje nitamkopesha".
"Mtawala akifanya dhambi atajulishwa dhambi zake, hapa umekengeuka, hapa sio njia ikupasayo kuiendea, njia ikupasayo kuiendea ni hii".
"Na kwa sababu hiyo, nilitangazwa rasmi kufutwa mara mbili, lakini Mungu anasema, tazama nitatenda kazi naye ni nani awezaye kuizuia".
 
Sijaelewa hii comment inahusianaje na mada
Anyway alielewa ani tag
 
Ulevii wa asubuhi asubuhi
Au ndio vyuma vimefanya yake
bce9c29f9e952d8c3f4dd8d10ff6c8b8.jpg
 
Hii nmeuliza kiroho safi nataka kujua tuu tatzo lilianzia wapi...hope watanijibu meuliza sio kwa ubaya ni kutaka kujua tuu ...
Kamwe hawatojibu, kwasababu wakifanya hivyo ni sawa na kujivua nguo wao wenyewe, zaidi ya ujinga na ubaguzi walionao wakenya, hakuna sababu ya maana iliyosababisha ugomvi na kufikia kuchukiana kiasi hicho.
 
Kutakua na sababu maana mbona makabila mengne fresh tuu hawa wawili tatzo lilianzia wapi ????
 
Sijaelewa hii comment inahusianaje na mada
Anyway alielewa ani tag
Sokoine University ni chuo tegemezi kwa taifa katika kozi za kilimo na ndio chuo kikuu pekee kindachotambulika kimataifa kutoka Tanzania katika masuala ya kilimo! Kinyume chake ni pale utapotenbelea mazingura ya chuo kuna miundominu duni sana hasa majengo!! Ukifika SUA utadhani upo Shule ya msingi au secondary yaan haifananii Kabisa na chuo Kikuu.kuna nn hasa hadi serekali kukitelekeza chuo hiki kikongwe?!
NB': kwa ubora sina shaka maana elimu yake ipo vizuri sana na product yake inafanya vizuri sokoni.
ARU: Hiki chuo tegemezi kwa kutoa wataalam wa ardhi usanifu majengo na wataalam mbali mbali amabao ubora wao hauna shaka. pia ni CHUO kinacoiwakilisha nchi kimataifa kwenye kozi za ardhi na ujenzi!
Kinyume chake ni kati ya vyuo vyenye miundombinu mibovu na chakavu kuanzia madarasa hostel na facilities nyingine.
 
Kutakua na sababu maana mbona makabila mengne fresh tuu hawa wawili tatzo lilianzia wapi ????
Hakuna cha ufresh wowote, hao unawasikia kwa sababu wanawania nafasi ya Urais, lakini huko maofisini ndiko ukabila ulikotamalaki, soma hiyo article niliyoiweka kutoka JamiiForums.com uone kila kabila linavyoteseka..
 
Sijaelewa hii comment inahusianaje na mada
Anyway alielewa ani tag
Ameshachanganyikiwa huyu, discussion imekua hot, ameamua kuvuruga huu mjadala kwa kushindwa kubaki katika mada kuu, endeleeni kumpuuza hadi atakaporudi katika mada kuu.
Kutakua na sababu maana mbona makabila mengne fresh tuu hawa wawili tatzo lilianzia wapi ????
 
😀😀😀😀😀😀 pole sana endelea kutuonesha minara
LICHA ya kutokiri moja kwa moja juu ya taarifa zinazosambaa mitandaoni kuhusu kumkamata Askofu Zakaria Kakobe wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGFC) lililoko Mwenge jijini Dar es Salaam, Jeshi la Polisi limesema ni lazima litamhoji kiongozi huyo wa kiroho.
Kuhojiwa huko kumetokana na kauli yake dhidi ya serikali aliyoitoa wakati wa ibada ya Krismasi.
Jana, kulienea taarifa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii kueleza kwamba askofu huyo alitiwa mbaroni jana asubuhi na askari wa Jeshi la Polisi huku sababu za kukamatwa zikielezwa kuwa ni ujumbe alioutoa wakati wa mahubiri yake ya ibada ya Krismasi.
Akizungumza na Nipashe jana kuhusiana na ukweli wa taarifa za kutiwa mbaroni kwa Askofu Kakobe, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa, alisema kuwa ni kweli walishakuwa katika harakati za kumkamata.
"Ametoa maneno ya kashfa katika mahubiri yake, lakini sina taarifa kama amekamatwa," Kamanda Mambosasa alisema na kuongeza:
"Taarifa za kumkamata zipo, lazima tumkamate. Tutamhoji…tutamhoji alikuwa na maana gani.“Mtu akitenda kosa la jinai ni lazima akamatwe…kwa sasa niko msibani, sijapokea taarifa kama amekamatwa au kuhojiwa. Nitawaarifu kama kutakuwa na taarifa zaidi.”
Hata hivyo, hadi Nipashe ikienda mitamboni hakukuwa na taarifa zozote rasmi kuhusiana na kukamatwa kwa Kakobe.
Awali, Nipashe ilimuuliza Kamanda wa Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Jumanne Muliro, ambaye pia alidai hakuwa na taarifa za kukamatwa kwa askofu huyo.
Askofu Kakobe (62), anadaiwa kuyatumia mahubiri yake siku hiyo kuzungumzia mwenendo wa serikali na masuala mbalimbali ya kisiasa nchini.
Mojawapo ya sauti inayodaiwa kuwa ya Askofu Kakobe na kusambaa kwenye mitandao ya kijamii ilidai kwamba hivi sasa Tanzania si nchi ya chama kimoja kama viongozi wanavyotaka.
Jana jioni, Nipashe ilifika katika kanisa la Kakobe, Mwenge na kukuta shughuli za kila siku kanisani hapo zikiendelea kama kawaida huku baadhi ya waumini waliokuwapo wakisema hawakuwa na taarifa za kutiwa mbaroni kwa kiongozi wao huyo.
Chanzo: Nipashe
 
hvi huu jamaa munamuelewa???😀😀😀😀😀😀😀😀 au ndo tarehe imesoma
 
Back
Top Bottom