Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

What's that 90% you said!?? Hueleweki kwa kweli, Dar iko unplanned lakini hakuna the residents called SLUMS.... hata uhangaike vipi Google huko utaishia kung'ang'aa sharubu tuu... Ila nenda Google search *Slums in the world" Nairobi imoo nenda "Slums in Africa" Nairobi imoo maliza kazi "Slums in Nairobi" ndo utaletewa Essay kabisaaaa

Halaf ndo nashindwa kuelewa hvii hawa wazungu wamekosa kabisa Data za "Dar's Slums" ama??

Uzuri ours unplanned areas ziko very guaranteed and so specific hakuna blah blah kiasi kwamba zikajumuishwa as Slums


Unless the word slum has acquired a different meaning! Below are the unplanned shanty and slum settlements of Dar es Salaam-Tanzania

Dar es Salaam: the “informal” city
TZslum-1024x581.jpg


dar_es_salaam_skyline.jpg



tumblr_niqvyznlfi1r215nyo1_500-jpg.525195


daressalaam.jpg


Stock Photo - Residents of Temeke, a slum in Dar es Salaam, Tanzania, East Africa, collect water from a community tap
residents-of-temeke-a-slum-in-dar-es-salaam-tanzania-east-africa-collect-C94T2T.jpg


m-iliffe-flooding-front.jpg


tan_dar_market2.jpg


1-img_22711.jpg
 
We buy all. Tz anayesikilizwa ni Ali K na Diamond pekeyake. Naijo kwa sasa wave yao imeingia Kenya jinsi kuna Lingala ilishika Kenya sana. Soon watu watachoka
Et diamond na ali k hahahaha umemsahau darasa wa acha maneno weka mziki????? Hakuna mkenya hajui ngoma hiyo ka vp bishaa
 
Niliangalia kwa channel ya KBC.
Kcb hahahahahaha walitoa wapi matangazo ya huo mpira ????usiwe mjinga ukachekwa...kwan hao kcb wanauwezo wa kurusha live mechi za cecafa au walionewa huruma wawarushie feed walopewa na azam nyookoo weee
 
Kcb hahahahahaha walitoa wapi matangazo ya huo mpira ????usiwe mjinga ukachekwa...kwan hao kcb wanauwezo wa kurusha live mechi za cecafa au walionewa huruma wawarushie feed walopewa na azam nyookoo weee
KCB Bank hawafanyj mambo hayo
 
Back
Top Bottom