Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenya wanakusanya pesa vibaya sana.

TZ unakuta mtu ana duka na hana leseni.

Au mtu ana duka, lina Pombe, Vifaa vya ujenzi, umeme, sukari, viberiti na leseni moja tu ya rejareja shilingi Tsh 40,000.

Kwa Kenya hizo ni biashara 5. Na kila moja inatakiwa malipo.

Walijichanganya na ujinga wao wa DEVOLUTION, kulipa Wanasiasa mabilioni kutaka kuwa kama Marekani wakati uchumi wa Lodwar.

Sasa Kenya Mbunge anakula Milioni Tsh 36,000,000 mshahara tu.

Akikaa miaka 10, anapata pension maisha yote.

TZ Mbunge analipwa Milioni 18.

Hakuna pension, ila kuna malipo ya mkupuo ya Tsh 250M.

===
TZ Diwani anapata Tsh 380,000 kwa mwezi.

Kenya Diwani (MCAs) anakula Tsh 2M kwa mwezi tena huwa wanacheka kwamba wanapata pesa kidogo.

Wakati TZ kwa 2M ndio mishahara ya Wakurugenzi, wakuu wa mikoa na Wilaya.

Kenya wana usenge wa Bunge la Senate, kama Marekani😅

Maseneta wanalipa Tsh 20M kwa mwezi.

Pesa yote ni KULA tu.

====
TZ tungekuwa tunakusanya pesa AGGRESSIVELY kama Kenya mpaka tunapata makusanyo kama yao.

Tungekuwa mbali vibaya sana.
Sidhani wako aggressive kwenye kukusanya mapato,bali hapo mwanzo waliwahi kuanzisha makampuni ya production huku sisi tukiwa kwenye subsistence.
Kwa sasa ni kama wamejanjaruka maana hata viongoz wengi wameingia kwenye zile shughuli na kugundua kwamba kukiwa sera nzuri ni utajiri tosha kuliko kuiba .
Mfano ukiangalia rate ya viongoz waliojiingiza kwa kilimo ndo utapata majibu kwani bashe alikuwa mkali kwa Malawi.
Ukienda mkoa wa mtwara Ile stakabadhighalani ilivyoiingizia hela serikali,halmashauri kwenye mazao, sasa hivi Kila halmashauri inahamadisha kilimo zipo baadhi zimeanza kufikiria mipaka kuanza kutoa mbegu Bure ili waje wafidie kwenye ushuru.
Mifumo ya makusanyo imeboreshwa sana imebaki kuongeza vyanzo vya mapato.
 
Kenya wanakusanya pesa vibaya sana.

TZ unakuta mtu ana duka na hana leseni.

Au mtu ana duka, lina Pombe, Vifaa vya ujenzi, umeme, sukari, viberiti na leseni moja tu ya rejareja shilingi Tsh 40,000.

Kwa Kenya hizo ni biashara 5. Na kila moja inatakiwa malipo.

Walijichanganya na ujinga wao wa DEVOLUTION, kulipa Wanasiasa mabilioni kutaka kuwa kama Marekani wakati uchumi wa Lodwar.

Sasa Kenya Mbunge anakula Milioni Tsh 36,000,000 mshahara tu.

Akikaa miaka 10, anapata pension maisha yote.

TZ Mbunge analipwa Milioni 18.

Hakuna pension, ila kuna malipo ya mkupuo ya Tsh 250M.

===
TZ Diwani anapata Tsh 380,000 kwa mwezi.

Kenya Diwani (MCAs) anakula Tsh 2M kwa mwezi tena huwa wanacheka kwamba wanapata pesa kidogo.

Wakati TZ kwa 2M ndio mishahara ya Wakurugenzi, wakuu wa mikoa na Wilaya.

Kenya wana usenge wa Bunge la Senate, kama Marekani😅

Maseneta wanalipa Tsh 20M kwa mwezi.

Pesa yote ni KULA tu.

====
TZ tungekuwa tunakusanya pesa AGGRESSIVELY kama Kenya mpaka tunapata makusanyo kama yao.

Tungekuwa mbali vibaya sana.
Wakurugenzi mshahara ni lsse 1 ni 3,400,000 per diem wakisafiri ni 220,000 , posho ya simu Kila mwezi 180,000 umeme Kila mwezi 200,000
Hela nyingi ni kwenye safar na vikao
 
Safari na vikao hata Kenya vipo.

Kenya wanasiasa hawana njaa kabisa.

Wanapiga vibaya sana
Nimejaribu kutoa huo mfano ili tulinganishe na Kenya , sasa kama sisi tunalalamika mkurugenzi kuvuta hiyo hela vipi Kenya, kwa hali ilivyo itakuwa mara tatu ya hii yetu

The salary of a County Executive Committee Member in Kenya in the financial year 2023/2024 and 2024/2025 is a gross monthly salary of KES 413,079, which consists of a basic salary of KES 247,847, additional allowances in the form of a house allowance of KES 80,000 and an official commuter allowance, and a salary market adjustment of KES 85,232.

Tzs 20*413,079=8,261,580/=
 
Hawa ndugu zetu muda mwingine ni WA kuwaonea huruma tu

View: https://x.com/moneyacademyKE/status/1931592025507525011?t=ZE8EvNOGA4inGAcii59V4g&s=19
Hivi kati bajeti ya 33usd bil , kiuhalisia wanatakiwa kutumia 23.1usd bil kulipa deni wanabaki na 9.9usd bil, ila wizara ya elimu wanabeba 701.1 bil ksh (5.4usd bil)
Counties zinaibeba 400bil usd( 3.1usd bil)
Mpaka hapo hela yote imekwisha 🤣🤣🤣🤣🤣

They are running a Frankenstein economy whose origin is from rift Valley 😁
 
Kenya siyo wamiliki wa vitu.

Hawajui ladha hiyo. Ndio maana hata leo wanajivunia Eistleigh iliyojengwa na Somalis.

Wanajivunia private estates kama Tatu City ambazo ni gated communities zenye taratibu zao.
Those somalis are Kenyans wewe mnyamwezi with Kenyan IDs and representation both in Parliament and the Executive. Wewe endelea kujiliwaza hapo Tandale
 
Hawa ndugu zetu muda mwingine ni WA kuwaonea huruma tu

View: https://x.com/moneyacademyKE/status/1931592025507525011?t=ZE8EvNOGA4inGAcii59V4g&s=19
Hivi kati bajeti ya 33usd bil , kiuhalisia wanatakiwa kutumia 23.1usd bil kulipa deni wanabaki na 9.9usd bil, ila wizara ya elimu wanabeba 701.1 bil ksh (5.4usd bil)
Counties zinaibeba 400bil usd( 3.1usd bil)
Mpaka hapo hela yote imekwisha 🤣🤣🤣🤣🤣

Si ajabu wapo bize kuishambulia tz alimradi wajifariji😎
 
The longest bridge in the region. 👇🏾
IMG_8503.jpeg
 
Radisson Hotel Group Adds 7 Africa Hotels, Including Debut Tanzania Properties

by Dori Saltzman June 25, 2024
Radisson Hotel Group Adds 7 Africa Hotels, Including Debut Tanzania Properties

View attachment 3360289
Radisson Hotel Mwanza. Photo: Radisson Hotel Group

Radisson Hotel Group has added seven hotels to its African portfolio, adding more than 1,200 hotel rooms including its debut properties in Tanzania. In total, the Group has grown to 100 hotels in operation or under development in 30 countries.

“The seven new hotels align with our expansion strategy, demonstrating significant growth in key African markets such as Morocco, Nigeria, Tunisia, and Ethiopia, as well as our highly anticipated debut in Tanzania,” said Ramsay Rankoussi, vice president, development, Africa and Turkey at Radisson Hotel Group. “These hotels also highlight our conversion strategy and our commitment to diversifying our portfolio by introducing new brands…”

In Tanzania, the brand is entering the market with two properties: the Radisson Blu Hotel & Apartments in Dar es Salaam and the Radisson Hotel Mwanza. Both open in 2025.

Radisson Blu Hotel & Apartments will be a 138-room hotel, featuring 94 guestrooms and 44 three-bedroom apartments. It will occupy the top 14 floors of a 33-floor tower and is within walking distance of the ferry terminal to Zanzibar Island.

Currently under construction, Radisson Hotel Mwanza will be a 196-room hotel, and is an ideal starting point for tours to Serengeti National Park. The only branded hotel in Mwanza, it will feature a lobby café and bar, all-day dining restaurant, sports bar, outdoor pool bar, executive lounge, and two specialty restaurants.

Other new properties that have been or will be added are in Morocco, Tunisia, Nigeria, and Ethiopia.

“With a strong first half of the year, we plan to continue the momentum in the second half by focusing on expanding our presence in key markets such as Morocco and South Africa, where we’ve recently announced our ambition to reach 25 hotels by 2030, doubling the portfolio in both countries,” added Rankoussi.

MY TAKE
Hivi Kisumu ina global branded hotel yeyote? Hata 4 star hotel? Au ni kelele tu humu ndani?

nairobae, NairobiWalker, IamLee, mwathadan Nicxie n Teargass
The first Radisson Hotel in Bongoslum. 🤣🤣 Yani ya kwanza na hutaki tupumue.
 
Back
Top Bottom