Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa kama mnashindwa hata kujaza hiki kitreni chenu Tena weekend kama hii mtaweza Kweli hata ku-breakeven kwenye ununuzi hata hayo mabehewa yenyeweView attachment 3359315
Punguza moto.. you are literally just from testing and you’re on your first few months of operating…in the first year, Madaraka express tickets weren’t available weeks in advance! Of course people like you are still excited about it, there has to be a higher traffic..
 
Shopping Mall and Logistics center ni tofauti ewe kundudweller.
This is what I have been telling your brothers here the whole week! Now tell them this uwatoe ujinga kidogo. Tell them that a mall and a logistics center aren't the same thing
 
Hiyo Barabara Iko busy sana. Nadhani kwa Tanzania hakuna Barabara yenye gari nyingi za mizigo kama hiyo. Pale Mbeya Hadi Tunduma naona kuna mpango wa kujenga njia nne kwa PPP.. ..sijajua wamefika wapi..

Ila hata Tazara wakiifanyia ukarabati mzuri na kuweka mabehewa ya kutosha itasaidia sana kupunguza foleni hiyo njia... Kama Sasa hivi kuna mzigo wa Copper mwingi sana kutoka Zambia na DRC... Ngoja tuone kama DP atatoa figure kamili ya mzigo wanao handle pale Port tuna weza kuwa double hao kenge wa North.
20250607_192428.jpg

Tazara na TRC, kama wengekuwa wajanja wangenunua truck on flatcar (mabehewa ya flatbet), ili kubeba tela za malori.

Hapo kila mtu ana win, (malori na reli)
 
Back
Top Bottom