Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

White elephant kwa sense ya kwamba , intention yao ya mwanzo ilikuwa kuondoa slums , watakaonunua SI wale maskini bali matajiri ambao baadae ili wapate return nzuri watazipangisha kwa bei kubwa ambayo maskini wa kibera hataweza mudu , kwa hiyo kutaendelea kuwepo kwa slums tu nyingine zinaweza anzishwa.
100%

Lengo ni kuondoa slums.

Kitakachotokea, lengo lao ni KUFUKUZA masikini mjini.

Au zitaanza Homeless slums kama za Marekani, watu kuishi kwenye HEMA.
 
White elephant kwa sense ya kwamba , intention yao ya mwanzo ilikuwa kuondoa slums , watakaonunua SI wale maskini bali matajiri ambao baadae ili wapate return nzuri watazipangisha kwa bei kubwa ambayo maskini wa kibera hataweza mudu , kwa hiyo kutaendelea kuwepo kwa slums tu nyingine zinaweza anzishwa.
Na anayepigia chapuo na kuweka nguvu kubwa ni Ruto ambaye kampuni zake ni kandarasi!
 
AI Overview
Check important info. Learn more



Several shopping malls have incorporated logistics facilities to capitalize on the growing e-commerce market and offer a more comprehensive shopping experience. These malls have adapted their spaces to include fulfillment centers, warehouses, and even delivery hubs.
Examples of Malls Incorporating Logistics:
Malls repurposed as fulfillment centers:
Some companies, like Amazon, have converted existing shopping malls into fulfillment centers to handle online orders.
Hybrid facilities:
Malls can create hybrid facilities that combine logistics and fulfillment activities with in-person shopping experiences.
Dedicated delivery hubs:
Mall operators, like Vicinity, have partnered with postal carriers to consolidate deliveries and streamline the delivery process.
Direct partnerships with delivery platforms:
Mall operators are exploring collaborations with e-commerce shipping platforms to manage outbound deliveries, such as online orders fulfilled from a store.
In-mall warehouses:
Some malls are incorporating small warehouses within their buildings to store inventory for online orders.
Dedicated logistics spaces:
Malls are also setting up dedicated loading docks and consolidation areas for deliveries, allowing delivery companies to handle multiple deliveries in one go.
Malls with integral cold stores:
Some malls have integrated cold storage facilities for food distribution, like the one at Tritax Big Box's Didcot facility.
But these are not logistics centers. Kuwa na delivery and a warehouse doesn’t make a mall to be a logistic center.
 
Mombasa inashinda Tanga, labda rich neighbourhood kama Nyeri.

Maana Tanga hakuna Afghanstan.
Tanga imepangika vzr haipo hovyo hovyo kama mombasa, hakuna mji Africa mashariki una nyumba nyingi za udongo kama Mombasa, na ndiyo mana hawa wanuka mavi huwa wanaweka picha za mjini tu hawathubutu kuweka residential areas mana ni mavi kabisa.
 
Screenshot_20250608_112849_X.jpg


The remaining 30% is paid to politicians as SALARIES.
 

Kenya VS Yanzania PAYE​

  • Kenya: 5 brackets (10%, 25%, 30%, 32.5%, 35%).
  • Tanzania: 5 brackets (0%, 8%, 20%, 25%, 30%).
Hata hizo asilimia haziko applicable ni mpaka mshahara wako umezidi .
Mfano kama mshahara wako umezidi 540,000 ila hauzidi 720,000 unakatwa tsh 680,000 ila pale utapozid 720,000 ila hauzidi 1000,000 , unachukua 68,000+ kile kilichozidi * 30% .
Kenya inapigwa kwa asilimia ambayo ni gharama sana
 
Back
Top Bottom