Hata china kwenye Sheria ngumu watu wakaiba.
Ili uibe hela iliyoingizwa benki Tanzania kwa sasa ni either kwenye procurement , forgery ya activity au kama wewe mkusanyaji mapato letsay tra au county revenue collector ule cash ambayo ni ngumu sana, na ndo maana miradi kama barabara, shule na kadhalika vinajengwa ila Kenya hela ya mradi mzima inaweza potea na hakuna cha kufanyika.
Tanzania wanaiba ila sio kwa extent ya Kenya kwa sababu ya automazition na ili nikuoneshe kuwa Kuna wizi ukiangalia economic activity na kra collection ya Nairobi inaonekana ni kubwa sana kuliko dar, ikiwa na maana tulitarajia vilevile jiji na Nairobi county liwe na osr kubwa au thrice ya dar sababu ya kuwa na vyanzo vingi vya mapato kama billboards ,car parking ila ukija ukilinganisha na dar osr ya dar inaizid Nairobi
Kenya wanakusanya pesa vibaya sana.
TZ unakuta mtu ana duka na hana leseni.
Au mtu ana duka, lina Pombe, Vifaa vya ujenzi, umeme, sukari, viberiti na leseni moja tu ya rejareja shilingi Tsh 40,000.
Kwa Kenya hizo ni biashara 5. Na kila moja inatakiwa malipo.
Walijichanganya na ujinga wao wa DEVOLUTION, kulipa Wanasiasa mabilioni kutaka kuwa kama Marekani wakati uchumi wa Lodwar.
Sasa Kenya Mbunge anakula Milioni Tsh 36,000,000 mshahara tu.
Akikaa miaka 10, anapata pension maisha yote.
TZ Mbunge analipwa Milioni 18.
Hakuna pension, ila kuna malipo ya mkupuo ya Tsh 250M.
===
TZ Diwani anapata Tsh 380,000 kwa mwezi.
Kenya Diwani (MCAs) anakula Tsh 2M kwa mwezi tena huwa wanacheka kwamba wanapata pesa kidogo.
Wakati TZ kwa 2M ndio mishahara ya Wakurugenzi, wakuu wa mikoa na Wilaya.
Kenya wana usenge wa Bunge la Senate, kama Marekani😅
Maseneta wanalipa Tsh 20M kwa mwezi.
Pesa yote ni KULA tu.
====
TZ tungekuwa tunakusanya pesa AGGRESSIVELY kama Kenya mpaka tunapata makusanyo kama yao.
Tungekuwa mbali vibaya sana.