Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yet Radisson ndio wanataka kufunguka hoteli yao ya kwanza hii mwaka. 😄
World Travel Awards

Gran Meliá Arusha,

has been awarded this title for the past several years.

Dar Es Salaam Serena Hotel

has received this recognition, along with other nominees like
  • Four Points by Sheraton Arusha,
  • Four Points by Sheraton Dar es Salaam - - - New Africa,
  • Gran Meliá Arusha, and
  • Hyatt Regency Dar
Es Salaam, The Kilimanjaro.

Other Notable Awards:

World Luxury Hotel Awards:
- Anantya Serengeti is a nominee for this award, recognizing their commitment to luxury and adventure in the Serengeti.

  • Singita.
  • Bawe

Tukiweza Worldclass hotels humu za Zanzibar, Serengeti na Arusha thread itajaa bure

 
Hiki kitu kinawaumba sana wakenya

1749398084681.png
 

Attachments

  • IMG_8504.jpeg
    IMG_8504.jpeg
    203.8 KB · Views: 52
Hiyo Barabara Iko busy sana. Nadhani kwa Tanzania hakuna Barabara yenye gari nyingi za mizigo kama hiyo. Pale Mbeya Hadi Tunduma naona kuna mpango wa kujenga njia nne kwa PPP.. ..sijajua wamefika wapi..

Ila hata Tazara wakiifanyia ukarabati mzuri na kuweka mabehewa ya kutosha itasaidia sana kupunguza foleni hiyo njia... Kama Sasa hivi kuna mzigo wa Copper mwingi sana kutoka Zambia na DRC... Ngoja tuone kama DP atatoa figure kamili ya mzigo wanao handle pale Port tuna weza kuwa double hao kenge wa North.
Tungejichanga changa hata kwa mwaka walau KM 100. Miaka miwili tuko Morogoro tayárí
Miaka mitano tuko Iringa huko. 2033 tunateleza tu Dar Tunduma. Hizo nchi zote za Zambia, zimbabwe, malawi, mozambique, zimbabwe hadi botswana watakimbilia Dar maana port za SA ni expensive sana.
Sisi wabongo tunakuwa middle men tu na mawinga. Yaan matransitors and hence kukuza hata uchumi wa mtu mmoja mmoja.
 
BTW serikali ya CCM ilileta figisu maana katika pilot project Tanzania ilikuwapo pia!
Bado wanafanya mpaka leo. Lipa kwa Mpesa haikupaswa kuwa na makato hivyo. Tungekuwa tunalipa kwa simu kila mahali. Juzi nilibook bus nikalipa kwa simu walichukua 2000 kabisa kama makato. Yaan wanadiscourage kabisa lipa kwa mpesa. Mtu akiangalia hiyo 2000 si bora abook kituoni na apate hata supu ya book jero

Kusingekuwa na makato hata Daladala zote tungelipa kwa simu kama fuliza, pochi nk kama baadhi ya route za Matatu kule Nairobi .

Hapa akina NairobiWalker nawapongeza, matatu zao nyingi hasa za thika road unaweza lipa kwa simu. Japo Bado tunawapita kwa kuwa na City Mobile application ya Mwendokasi na Dar city NCARD ambazo nazo ni cashless
 
Huo ndo utofauti , ulitembelea miji mingi ya Kenya Ina umaskini wa hali ya juu.
Mfano unaonekana hata kwenye namna tunavyosafiri. Ukienda kupata magari yanayoelekea kwenye towns za tana river,wajir,turkana na kadhaa huchelewi kupanda na mbuzi ama kuku kwenye basi, sasa imagine magari hayo ndo yanatokea mji mkuu Tena mji wa kibiashara.
Hivi Leo hii utapata gari linaloanzia dar kwenda mji wowote libebe mbuzi kweli
Usisahau probox na vipanya
 
Bado wanafanya mpaka leo. Lipa kwa Mpesa haikupaswa kuwa na makato hivyo. Tungekuwa tunalipa kwa simu kila mahali. Juzi nilibook bus nikalipa kwa simu walichukua 2000 kabisa kama makato. Yaan wanadiscourage kabisa lipa kwa mpesa. Mtu akiangalia hiyo 2000 si bora abook kituoni na apate hata supu ya book jero

Kusingekuwa na makato hata Daladala zote tungelipa kwa simu kama fuliza, pochi nk kama baadhi ya route za Matatu kule Nairobi .

Hapa akina NairobiWalker nawapongeza, matatu zao nyingi hasa za thika road unaweza lipa kwa simu. Japo Bado tunawapita kwa kuwa na City Mobile application ya Mwendokasi na Dar city NCARD ambazo nazo ni cashless
Mimi natumia NMB Mkononi App.

Nalipa bure
GePEG bure
Airtime bure

Hata kadi ya Bank sitembei nayo siku hizi.
 
Kitu unachofaa kujua kwasasa ni kwamba, There is 33 floors building coming up in Dar CBD. 🤣🤣 👇🏾kwahiyo Kama utaamua kulia wewe lia tu
img_8504-jpeg.3361103
The hotel will occupy only 14 floors na maybe hata ni an existing building ju hizo ghorofa zenu hua empty for years. Pole sana kama unadhani itakua a whole hotel tower kama JW Marriott, the tallest 5 star hotel in Africa.
 
Back
Top Bottom