Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Teargass NairobiWalker nairobae Budget ya wizara ya Nishati, pesa ya maendeleo TSh 2,167,513,219,000 = $815.30 million USD

1749364445763.png
 
Geza is it interesting vile huwa mnasema uchumi wa Kenya umeshikiliwa na Wazungu yet hao hao Wazungu wakiwekeza Vumbistan mnacelebrate?
Kuna utofauti sana. investor akija wekeza hatujitambii kwamba n kampuni ya tanzania na kuanza kufanya showoff kwa wengine , sisi tunabaki nalo moyoni kama fursa ya ajira, ila huyo investor akiingia Kenya Huwa mnataka mpaka kuanzisha bullying kwa wengine .
Mfano origin ya mpesa haikuwa Kenya na aliyeanzisha idea iliyopelekea kuanzishwa kwa mpesa (nick Hughes) hakuwa mkenya na wala initial developer ( sagentia) SI ya kikenya bali Kenya ilikuwa kama pilot study tu ila sasa mnavyojifisiaga
 
Lodwar is better than Tanga.
Aawapi Tanga the host of the longest n most modern heated pipeline in the World!

Aside the host of largest crude oil terminal in East and central Africa! Not to forget the site of the just launched largest LPG Terminal for ASAS in the whole east and central Africa!

Boy Tanga is not ur type! Tanga should in the conversation in the league of Mombasa! Kule Lodwar najua wana-host njaa tu! Wana nn zaidi ya njaa?
 
Kuna utofauti sana. investor akija wekeza hatujitambii kwamba n kampuni ya tanzania na kuanza kufanya showoff kwa wengine , sisi tunabaki nalo moyoni kama fursa ya ajira, ila huyo investor akiingia Kenya Huwa mnataka mpaka kuanzisha bullying kwa wengine .
Mfano origin ya mpesa haikuwa Kenya na aliyeanzisha idea iliyopelekea kuanzishwa kwa mpesa (nick Hughes) hakuwa mkenya na wala initial developer ( sagentia) SI ya kikenya bali Kenya ilikuwa kama pilot study tu ila sasa mnavyojifisiaga
But MPesa is 100% owned by Safaricom. So what’s your point?
 
Aawapi Tanga the host of the largest crude oil terminal in East and central Africa! Aside the just launched LPG Terminal for ASAS! Kule Lodwar najua wana-host njaa tu!
Does that make Tanga any better? Lodwar is also home to Oil fields. Do you such in Tanga?
 
Kuna utofauti sana. investor akija wekeza hatujitambii kwamba n kampuni ya tanzania na kuanza kufanya showoff kwa wengine , sisi tunabaki nalo moyoni kama fursa ya ajira, ila huyo investor akiingia Kenya Huwa mnataka mpaka kuanzisha bullying kwa wengine .
Mfano origin ya mpesa haikuwa Kenya na aliyeanzisha idea iliyopelekea kuanzishwa kwa mpesa (nick Hughes) hakuwa mkenya na wala initial developer ( sagentia) SI ya kikenya bali Kenya ilikuwa kama pilot study tu ila sasa mnavyojifisiaga
BTW serikali ya CCM ilileta figisu maana katika pilot project Tanzania ilikuwapo pia!
 
Kuna utofauti sana. investor akija wekeza hatujitambii kwamba n kampuni ya tanzania na kuanza kufanya showoff kwa wengine , sisi tunabaki nalo moyoni kama fursa ya ajira, ila huyo investor akiingia Kenya Huwa mnataka mpaka kuanzisha bullying kwa wengine .
Mfano origin ya mpesa haikuwa Kenya na aliyeanzisha idea iliyopelekea kuanzishwa kwa mpesa (nick Hughes) hakuwa mkenya na wala initial developer ( sagentia) SI ya kikenya bali Kenya ilikuwa kama pilot study tu ila sasa mnavyojifisiaga
Kenya siyo wamiliki wa vitu.

Hawajui ladha hiyo. Ndio maana hata leo wanajivunia Eistleigh iliyojengwa na Somalis.

Wanajivunia private estates kama Tatu City ambazo ni gated communities zenye taratibu zao.
 
Back
Top Bottom