concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,991
- 15,437
Hapa hawafanyi hii project labda wauze bandarWhile SGR Naivasha-Malaba loading... by the time wanachukua mkopo it will be 110%
Hapa hawafanyi hii project labda wauze bandarWhile SGR Naivasha-Malaba loading... by the time wanachukua mkopo it will be 110%
| Factor | Kenya | Tanzania |
|---|---|---|
| Cost (residential) | ~$0.24/kWh | ~$0.085/kWh |
| Cost (business) | ~$0.18/kWh | ~$0.088/kWh |
| Price vs global average | ~167% | ~58% |
| Energy mix | Geothermal, Hydro, Thermal | Gas, Hydro, Thermal |
Sidhani kama kuna nchi inakopesha tena Kenya kujenga hicho kipande.While SGR Naivasha-Malaba loading... by the time wanachukua mkopo it will be 110%
Yaan mwigulu kama ananiona ebu tupunguze wharfage charges walau 40ft container iwe 60 kwa raia wa Malawi,Uganda,drc na cost nyingine halafu tupunguze import duty kwa raw materialsDetailed comparison of electricity costs between Kenya and Tanzania
Factor Kenya Tanzania Cost (residential) ~$0.24/kWh ~$0.085/kWh Cost (business) ~$0.18/kWh ~$0.088/kWh Price vs global average ~167% ~58% Energy mix Geothermal, Hydro, Thermal Gas, Hydro, Thermal
Hawa ndugu zetu muda mwingine ni WA kuwaonea huruma tu
View: https://x.com/moneyacademyKE/status/1931592025507525011?t=ZE8EvNOGA4inGAcii59V4g&s=19
Hivi kati bajeti ya 33usd bil , kiuhalisia wanatakiwa kutumia 23.1usd bil kulipa deni wanabaki na 9.9usd bil, ila wizara ya elimu wanabeba 701.1 bil ksh (5.4usd bil)
Counties zinaibeba 400bil usd( 3.1usd bil)
Mpaka hapo hela yote imekwisha 🤣🤣🤣🤣🤣
By far.Tanga is better than Mombasa
Yaan mwigulu kama ananiona ebu tupunguze wharfage charges walau 40ft container iwe 60 kwa raia wa Malawi,Uganda,drcDetailed comparison of electricity costs between Kenya and Tanzania
Factor Kenya Tanzania Cost (residential) ~$0.24/kWh ~$0.085/kWh Cost (business) ~$0.18/kWh ~$0.088/kWh Price vs global average ~167% ~58% Energy mix Geothermal, Hydro, Thermal Gas, Hydro, Thermal
Dawa watanunuaje sasa. Hivi unajua bado wanalilia msaada wa marekani kwa bajeti hii tunayoifungaElimu bure ni kama imeshakufa
Walikuwa wana bima inaitwa NHIF.Dawa watanunuaje sasa. Hivi unajua bado wanalilia msaada wa marekani kwa bajeti hii tunayoifunga
Sijaelewa kuchangia mwaka mzima ndio waanze kutoa huduma au vipWalikuwa wana bima inaitwa NHIF.
Ruto kaiua kaanzisha SHA, ambayo wanatakiwa kuchangia mwaka mzima.
Kioa siku makelele
Lodwar yenyewe sasa 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Aawapi Tanga the host of the longest n most modern heated pipeline in the World!
Aside thelargest crude oil terminal in East and central Africa! Aside the just launched LPG Terminal for ASAS!
Boy Tanga is not ur type Tanga should in the conversation in the league of Mombasa! Kule Lodwar najua wana-host njaa tu! Wana nn zaidi ya njaa?
Ile reli imekaaa kushoto kwa kutembea nchi Moja tu pili hakuna mzigo return. Then kuna issue ya sgr Tanzania inaenda kuharibu kule eastern congo.Sidhani kama kuna nchi inakopesha tena Kenya kujenga hicho kipande.
Wamepambana sana kupata pesa bila mafanikio.
Ruto mpaka ameenda China, ameanzisha mpaka beef uhusiano na Marekani, na kataja TZ na Uganda kama LDC lakini hajapata.
Na Ujue SGR ya Kenya ina miaka zaidi ya 10 sasa.
Wakopeshaji wanaona Kenya ina high risk ya ku-default.
Rwanda siku zote wamekuwa wanatumia Bandari za Tanzania hata kabla ya Magufuli! Pitia details uone! Propaganda hailipi mzee!Ile reli imekaaa kushoto kwa kutembea nchi Moja tu pili hakuna mzigo return. Then kuna issue ya sgr Tanzania inaenda kuharibu kule eastern congo.
Wabgefanikiwa kufikisha Rwanda Ile mwanzo ingelipa maana Rwanda mpaka sasa angekuwa bado anatumia bandar ya Mombasa kwa w wingi tofauti na sasa Ile kuchelewa kwao na Mzee magu akaanza Jenga Ile ya mwanza imewakata maini wanyarwanda hivyo macho yao yote yamegeukia tZ . Yule atayefanikisha kufikisha reli mpakani mwa drc kabla ya mwenzake ndo atawin wateja kitu ambacho Kenya sasa hivi hawawez Tena.
Walikuwa wanalipa bima kila mwezi. Kwasasa wanatakiwa walipe pesa ya mwaka mzima kwa pamoja.Sijaelewa kuchangia mwaka mzima ndio waanze kutoa huduma au vip
Mbona haiwezekani saaaWalikuwa wanalipa bima kila mwezi. Kwasasa wanatakiwa walipe pesa ya mwaka mzima kwa pamoja.
Kenya hali ni mbaya sana kwa walalahoi.Mbona haiwezekani saaa