Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hoyo wanaita Affordable housing ni uhuni tu.
Wanajiita wasomali ila wanaibiwa kizembe
Kwanza pesa zinakatwa kwenye mishahara ya wakenya hao hao.
chrome_screenshot_Jun 8, 2025 9_03_43 AM GMT+03_00.png

Na sasa hivi serikali imejosa pesa, na imeona kuna hizo pesa za affordable zipo, wanataka kuzobadilishia matumizi.

yaani imeshakuwa kodi mpya, tena siyo ya kujenga nyumba.

pia hizo nyumba wengi hawamudu kulipa.

Shida ya Kenya siyo kulima tu. Hata hiyo ardhi ya kilimo, ni ndogo sana.
Ardhi yoyote inaweza badilishwa ikwa ya kilimo hata jangwa linaweza badilishwa likawa poli ni stratejia tu, misri ni zaid ya Kenya ila ndo wanaongoza kwa mchele Africa.
Kusingizia kuwa hawana ardhi ya kilimo ni uvivu, sababu karibia robo tatu ya wananchi wamekaa centra Kenya na coastal tu yaan kiambu,Mombasa,Nairobi ,Kisumu,machakos na kadhalika huku maeneo kama tana river na wajir population Yake inazidiwa na ka wilaya kama masasi ila ukubwa sawa na mkoa wa mtwara mzima
chrome_screenshot_Jun 8, 2025 9_03_43 AM GMT+03_00.png

Inahitaji mtaji mkubwa na serikali iache kutoza makodi kwenye kilimo.
 
Tunajenga nyumba kwa gharama kubwa ili kuja kuwauzia watu wasio na kipato wakati hiyo hela ungeweza kwenda iwekeza kwenye irrigation schemes na mabwawa kwenye maeneo yenye ukame na kuhamasisha kilimo cha umwagiliaji kwa msimu mzima, baada ya hapo wananchi wenyewe watapata mitaji na wataanza kujenga nyumba Bora wengine waataanzisha miradi mwingine ambayo italeta multiplier effect kwenye zoezi Zima la ajira
Ndo maana ukiangalia utofauti wa tajiri na maskini ni ndogo sana ukilinganisha na Kenya
Ukienda sehemu kama njombe,songea ,singida iringa unapata ushahidi jinsi kilimo kilivyobadilisha maisha ya watu hasa cha umwagiliaji.
Singida Kuna ukame sana ila ndo sehemu inayoongoza kwa kuzalisha vitunguu kwa central tanzania
Nyangau priorities zake ziko misplaced since independence. They are so fond of artificial prosperity wanasahau hawana solid base.
 
I thought 80% of Nairobi is slums ( according to Uswazi sources)…🤣🤣…
Nairobi is so world class and modern, just some touches on horizontal infrastructure and some landscaping here and there , otherwise it has no equal between Cairo and Jozi ..
..............and proper implementation of laws and regulations. Maneno ya watu kudrive kwenye walkways time ya jam imalizwe.
 
Tunajenga nyumba kwa gharama kubwa ili kuja kuwauzia watu wasio na kipato wakati hiyo hela ungeweza kwenda iwekeza kwenye irrigation schemes na mabwawa kwenye maeneo yenye ukame na kuhamasisha kilimo cha umwagiliaji kwa msimu mzima, baada ya hapo wananchi wenyewe watapata mitaji na wataanza kujenga nyumba Bora wengine waataanzisha miradi mwingine ambayo italeta multiplier effect kwenye zoezi Zima la ajira
Ndo maana ukiangalia utofauti wa tajiri na maskini ni ndogo sana ukilinganisha na Kenya
Ukienda sehemu kama njombe,songea ,singida iringa unapata ushahidi jinsi kilimo kilivyobadilisha maisha ya watu hasa cha umwagiliaji.
Singida Kuna ukame sana ila ndo sehemu inayoongoza kwa kuzalisha vitunguu kwa central tanzania
Hivi unaona wale Waarabu akina Bakhresa na Rostam na Mo Dewji tofauti yao na wewe mkaa kijiweni Tandale ni ndogo? Huwa mnapenda kujitekenya mkicheka wenyewe.
 
Nyangau priorities zake ziko misplaced since independence. They are so fond of artificial prosperity wanasahau hawana solid base.
Tukianza panda miti iringa miaka na miaka ila Leo ndo wauzaji wa kubwa wa mbao na wao wangeweza badilisha Yale majangwa kwa kuanza kupanda miti kutokeza central Kenya kwenye mvua za kutosha kupelekea kwenye majangwa , sasa hivi eneo lote la turkana lingekuwa na mvua
 
Radisson Hotel Group Adds 7 Africa Hotels, Including Debut Tanzania Properties

by Dori Saltzman June 25, 2024
Radisson Hotel Group Adds 7 Africa Hotels, Including Debut Tanzania Properties

View attachment 3360289
Radisson Hotel Mwanza. Photo: Radisson Hotel Group

Radisson Hotel Group has added seven hotels to its African portfolio, adding more than 1,200 hotel rooms including its debut properties in Tanzania. In total, the Group has grown to 100 hotels in operation or under development in 30 countries.

“The seven new hotels align with our expansion strategy, demonstrating significant growth in key African markets such as Morocco, Nigeria, Tunisia, and Ethiopia, as well as our highly anticipated debut in Tanzania,” said Ramsay Rankoussi, vice president, development, Africa and Turkey at Radisson Hotel Group. “These hotels also highlight our conversion strategy and our commitment to diversifying our portfolio by introducing new brands…”

In Tanzania, the brand is entering the market with two properties: the Radisson Blu Hotel & Apartments in Dar es Salaam and the Radisson Hotel Mwanza. Both open in 2025.

Radisson Blu Hotel & Apartments will be a 138-room hotel, featuring 94 guestrooms and 44 three-bedroom apartments. It will occupy the top 14 floors of a 33-floor tower and is within walking distance of the ferry terminal to Zanzibar Island.

Currently under construction, Radisson Hotel Mwanza will be a 196-room hotel, and is an ideal starting point for tours to Serengeti National Park. The only branded hotel in Mwanza, it will feature a lobby café and bar, all-day dining restaurant, sports bar, outdoor pool bar, executive lounge, and two specialty restaurants.

Other new properties that have been or will be added are in Morocco, Tunisia, Nigeria, and Ethiopia.

“With a strong first half of the year, we plan to continue the momentum in the second half by focusing on expanding our presence in key markets such as Morocco and South Africa, where we’ve recently announced our ambition to reach 25 hotels by 2030, doubling the portfolio in both countries,” added Rankoussi.

MY TAKE
Hivi Kisumu ina global branded hotel yeyote? Hata 4 star hotel? Au ni kelele tu humu ndani?

nairobae, NairobiWalker, IamLee, mwathadan Nicxie n Teargass
Geza is it interesting vile huwa mnasema uchumi wa Kenya umeshikiliwa na Wazungu yet hao hao Wazungu wakiwekeza Vumbistan mnacelebrate?
 
Back
Top Bottom