concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,991
- 15,437
Unakuwa na budget kubwa ya usd 30 bil usd ila unakuwa dev. Expenditure 4.5 bil usdGround inaeleza, sio budget kuubwa halafu hakuna kitu mnafanya.
Unakuwa na budget kubwa ya usd 30 bil usd ila unakuwa dev. Expenditure 4.5 bil usdGround inaeleza, sio budget kuubwa halafu hakuna kitu mnafanya.
No wonder tumewaacha mbali kimaendeleo.Unakuwa na budget kubwa ya usd 30 bil usd ila unakuwa dev. Expenditure 4.5 bil usd
Ground gani? Na hata Namanga hujawai kufika.Ground inaeleza, sio budget kuubwa halafu hakuna kitu mnafanya.
Bado wizara ya Kilimo wanajenga Miundombinu ya Umwagiliaji na Hifadhi za ChakulaBudget yenu ya kulipa madeni haiwezi kushindana na ya Tanzania!
MZee tunaongelea budget. Acha kuhamisha mada. Kwikwikwikwikwi. Kubali yaishe tuendelee na mengineGround gani? Na hata Namanga hujawai kufika.
Ebu tuone bajeti wa wizara ya kilimo ya mwaka 2024/2025 Kuna kitu nataka nicheke.No wonder tumewaacha mbali kimaendeleo.
Yaani hii nchi tungejenga barabara ya Dar Tunduma kuwa njia nne kama wanavyofanya south. Hawa wangeenjoy sana na maroli yao.
Yaani wakati huohuo deni wanatenga $11bln!Unakuwa na budget kubwa ya usd 30 bil usd ila unakuwa dev. Expenditure 4.5 bil usd
Yaani wakati huohuo deni wanatenga $11bln!
Pale muhimu ni reli hata tukiweka njia nne bado mzigo ni mkubwa sana .Hiyo Barabara Iko busy sana. Nadhani kwa Tanzania hakuna Barabara yenye gari nyingi za mizigo kama hiyo. Pale Mbeya Hadi Tunduma naona kuna mpango wa kujenga njia nne kwa PPP.. ..sijajua wamefika wapi..
Ila hata Tazara wakiifanyia ukarabati mzuri na kuweka mabehewa ya kutosha itasaidia sana kupunguza foleni hiyo njia... Kama Sasa hivi kuna mzigo wa Copper mwingi sana kutoka Zambia na DRC... Ngoja tuone kama DP atatoa figure kamili ya mzigo wanao handle pale Port tuna weza kuwa double hao kenge wa North.
Huwa wanqjisifia kuwa mikopo ya ndani ni nafuu ona sasa mabenki yanakimbilia kuikopesha serikali na kuacha private
TAZRA Mchina ameshaingia PPP. ataboresha na kuiendesha kwa miaka 27.Pale muhimu ni reli hata tukiweka njia nne bado mzigo ni mkubwa sana .
Kulikuwa na umuhimu kwa sasa kabla ya hatujapata fedha za tazara, tungekuwa tunauvuta mzigo kwa treni songwe hata mbeya ,
Tungeweza punguza jam.
Hizi copper Kuna umuhimu zikawa zinakuja mwagwa dodoma tu then zinasombwa kwa sgr mpaka dar kwa gharama ndogo kuliko mabehewa kurudi kapu.
Mbona hizi mabasi zinakaa old model????watu wanamwaga D14, juzi shabiby kamwaga D14 30 buses, abood naskia zinaingia 50buses, ratco 5buses D14
View attachment 3358257
Kundudweller kaja. kwikwikwikwiMbona hizi mabasi zinakaa old model????
Sasa kama umezowea kupanda mabasi yenye mixture ya mbuzi na binadamu utazijua model mpya za mabasiMbona hizi mabasi zinakaa old model????
Give me examples of malls with logistics centers hapa tuoneNext generation malls include logistics kama hujui