Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,226
- 107,847
Mzee tunahitaji wagon ferries Mv Umoja kama nne zaidi hivi ndipo tupige kelele! Hizo chache sio kitu hata SGR ikifika Mwanza!Kwa future yes.
Maana hata SGR haijafika Mwanza.
Ikifika, ndio mizigo ya Mombasa kwenda Iganda inaanza kuhamia Dar.