President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,052
- 93,442
2023. Kwikwikwikwikwikwi
Satco na Ratco ni tofauti mzee!watu wanamwaga D14, juzi shabiby kamwaga D14 30 buses, abood naskia zinaingia 50buses, ratco 5buses D14
View attachment 3358257
Hizi ndio source zako,mbona mimi source zangu ziko open mno,acha kuleta maneno mzee lete picha maneno hata kwenye khanga yapoHis point was to show the vast difference between development in Kenya na Tanzania, including aesthetics (muonekano) kando na mengi, aliona mko nyuma karibia 30 years akilinganisha, sio mbali na yale baba Levo kawaambia, na hawajuani, na pia kuna mzungu aliye julikana kama Sabbatical, Katia maoni baada ya kuzuru jiji zote, so Baba Levo ni shoga kwa kutoa ushuhuda wake? na yeye aliona kiukweli mnahitaji 25 years kufikia level ya Nairobi, 🤣🤣🤣, sio tu BRT na SGR.., ama Kenya ikiwa honga., yaani lazima mtafute kisingizio kukwepa ukweli🤣🤣🤣🤣
View attachment 3358250
The rich uses loans to catapult their enterprises, the poor hawakopesheki, ndio maana mara mnasanehewa, sijui ndege zinashikwa sijui na mkulima kisa deni n.k., boss jiangalie sana🤣🤣🤣🤣., Wacha tungoje budget reading., niwaumbue na hiyo taifa yenu ya propagandaKwikwikwikwikwi. Kenya inaendeshwa kwa madeni
Zaid ya Mombasa port Kuna kingine mnachoweza kusema mmeizid tZ ? Maisha mazuri yanaanzia kwa kuangalia local governments yaan counties kwenu , inakuwaje mkawa mna uchumi nzuri wakati Kuna county total local revenue collection Iko below usd 713,000. Hakuna province Tanzania ambayo Iko below tzs 10bl sawa 3.6milHis point was to show the vast difference between development in Kenya na Tanzania, including aesthetics (muonekano) kando na mengi, aliona mko nyuma karibia 30 years akilinganisha, sio mbali na yale baba Levo kawaambia, na hawajuani, na pia kuna mzungu aliye julikana kama Sabbatical, Katia maoni baada ya kuzuru jiji zote, so Baba Levo ni shoga kwa kutoa ushuhuda wake? na yeye aliona kiukweli mnahitaji 25 years kufikia level ya Nairobi, 🤣🤣🤣, sio tu BRT na SGR.., ama Kenya ikiwa honga., yaani lazima mtafute kisingizio kukwepa ukweli🤣🤣🤣🤣
View attachment 3358250
Kwanza abood akawanyooshe wajue ukubwa wa bongowatu wanamwaga D14, juzi shabiby kamwaga D14 30 buses, abood naskia zinaingia 50buses, ratco 5buses D14
View attachment 3358257
Tajiri hashindwi kulipa mishaharaThe rich uses loans to catapult their enterprises, the poor hawakopesheki, ndio maana mara mnasanehewa, sijui ndege zinashikwa sijui na mkulima kisa deni n.k., boss jiangalie sana🤣🤣🤣🤣., Wacha tungoje budget reading., niwaumbue na hiyo taifa yenu ya propaganda
Zilete hapa estimates , nusu ya bajet Iko kwenye kulipa madeni wakat tZ ni robo ila tuna projects kibao kuliko nyinyiSawa tutaona., and that's your model, I will help you understand everything even from your own budget. Naona wengi hamna uelewa hadi mnajiaibisha humu.,
Watuletee athi river ya mwaka 2023🤣🤣🤣🤣2023. Kwikwikwikwikwikwi
Wacha nikusaidie ndio ujue wewe ni kilaza., kwa hiyo list get into google earth(link hiyo: Google Earth )sasa hivi, zoom the following Kisha uniambie kama uswazi zenu zinakaribia hizo eneo, usiogope, tazama aerial views from google earth uzunguke Nairobi yoote, iko wazi sana, tazama hayo maeneo yametajwa kila Kona Kisha uje na wewe utoe ushuhuda kama Baba levo.,Hizi ndio source zako,mbona mimi source zangu ziko open mno,acha kuleta maneno mzee lete picha maneno hata kwenye khanga yapoView attachment 3358258
Hakuna rich analala njaa KwikwikwikwikwiThe rich uses loans to catapult their enterprises, the poor hawakopesheki, ndio maana mara mnasanehewa, sijui ndege zinashikwa sijui na mkulima kisa deni n.k., boss jiangalie sana🤣🤣🤣🤣., Wacha tungoje budget reading., niwaumbue na hiyo taifa yenu ya propaganda
Haijalishi tungoje budget reading, then we talk , msijifananishe na Kenya, Tanzania ni Tz na Kenya ni Kenya.Zilete hapa estimates , nusu ya bajet Iko kwenye kulipa madeni wakat tZ ni robo ila tuna projects kibao kuliko nyinyi
Hahaaaa , anyway tuambieni mpaka sasa hivi mna deficit ya kiasi gani tunataka tuwaongezeee matajiri wa Dunia🤣🤣🤣🤣Haijalishi tungoje budget reading, then we talk , msijifananishe na Kenya, Tanzania ni Tz na Kenya ni Kenya.
Je, kuna rich mwenye hunger? kwikwikwikwikwikwi?Haijalishi tungoje budget reading, then we talk , msijifananishe na Kenya, Tanzania ni Tz na Kenya ni Kenya.
Sgr imegotea Dodoma hapo huko mbele hamna chochote kinachoendelea by now phase 5 inabidi iwe imekamilika 100% awamu 3 na 4 zinafaa ziwe zaidi ya 60% ila serikali na trc wapo kimya ili jambo tunalikwepa kwepa umu ila ndio uhalisia wenyewe ila kila mwaka tunaskia budget imeongezekaIn Kenya's Fiscal Year (FY) 2025/26, recurrent expenditure is allocated a total of KSh 3.1 trillion (16.2% of GDP). This figure represents the government's spending on day-to-day operations and essential services.
Key Points:
Total Budget:
The FY 2025/26 budget is a significant increase from the previous year, with a total allocation of KSh 4.23 trillion
Sasa ujenzi wa reli itakuwaje maana mpaka hapo tu imebaki 1.1 trillion.
VERSUS
.
The Tanzania budget for 2025/2026 allocates TZS 2.75 trillion for the Ministry of Transport, with a focus on major infrastructure projects like the SGR, Air Tanzania, ports, airports, and maritime safety. This allocation includes recurrent expenditure for TZS 125.44 billion, with TZS 96.65 billion for staff salaries and TZS 28.78 billion for other operational costs. Additionally, TZS 2.62 trillion is allocated for development projects, with TZS 2.45 trillion from domestic sources and TZS 168.53 billion from external sources.
Here's a more detailed breakdown:
Read more at: Tanzania’s Ministry of Energy Proposes TZS 2.2 Trillion Budget for 2025/2026 Focused on Power Generation, Rural Electrification, and Clean Cooking Energy and follow us on Twitter: https://twitter.com/TanzaniaInvest Facebook: TanzaniaInvest LinkedIn: TanzaniaInvest | LinkedIn Instagram: Login • Instagram
- Recurrent Expenditure:
TZS 125,438,950,000
- Salaries: TZS 96,654,340,000
- Other Operational Costs: TZS 28,784,610,000
- Development Expenditure:
TZS 2,621,046,068,000Tunachukua wizara mbili tu
- Domestic Sources: TZS 2,452,512,444,000
- External Sources: TZS 168,533,624,000
- Tanzania’s Ministry of Energy Proposes TZS 2.2 Trillion Budget for 2025/2026 Focused on Power Generation, Rural Electrification, and Clean Cooking Energy The Ministry of Energy has proposed a TZS 2.2 trillion budget for the fiscal year 2025/2026, focusing on power generation, rural electrification, and clean cooking energy projects. The budget also prioritizes the development of oil and gas infrastructure, ensuring reliable energy access for economic growth. APRIL 29, 2025 2 MINUTE READ On April 28, 2025, Deputy Prime Minister and Minister of Energy, Dr. Doto Biteko, presented the Ministry of Energy’s 2025/2026 budget to the Parliament of Tanzania. The budget is set at TZS 2.2 trillion, with 96.5% allocated for development projects and 3.5% for recurrent expenditure.
Wizara ya fedha KAZI yake ni kulipa na kupanga sio kufanya miradi ya maendeleo
Aah ok hapo sawaAliyetuma kaeleza ni ofisi inajengwa! Wakiweka cargo balozi zitafunga ofisi zao!
Conties zenye makusanyo zaid ya 2bil ksh hazifiki 10 ila mikoa yenye makusanyo 1.2 bil ksh Iko zaid ya 15
Upo USA lakini you still a random fool roming in the streets of Ohio. 🤣🤣🤣. Nikikwambia viongozi wetu ni better kuliko wenu although you fool kunyans bragging of having many degree holders in your Legislature, this is what I mean 👇🏾ground says it allDude, didnt you see those resumes posted online … unless you Want to say the educated ones missed the Memo to post their qualifations on portifolios …😄
Bimkumbwa wenu angekuwa magu sasa hivi ingekuwa tunaserereka tuSgr imegotea Dodoma hapo huko mbele hamna chochote kinachoendelea by now phase 5 inabidi iwe imekamilika 100% awamu 3 na 4 zinafaa ziwe zaidi ya 60% ila serikali na trc wapo kimya ili jambo tunalikwepa kwepa umu ila ndio uhalisia wenyewe ila kila mwaka tunaskia budget imeongezeka