Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mikocheni Dasilinga.
IMG_8055.jpeg
 
iitishwe international tender apatikane mwekezaji mwenye experiance ya kuendesha BRT buses kwa muda maalumu halafu baada ya hapo local companies ziachiwe kuendeleza uendeshaji hii ilikuwa inalenga transfer of knowledge and skills kwa watanzania na tender ya mabasi alikuwa anapewa Mercedes Benz ila wajanja wakajimilikisha mradi WB akakaa pemeni memo ikapelekwa NMB mzigo ukatoka Golden Dragon za mwanzo zikaingia. Mzigo wa pili ulipokuja wakawa wamechelewa Magu kashakalia kiti anataka kodi yake gari zimekaa port zaidi ya mwaka na ushehe mpaka zilipotoka.
Kama hiyo ndio sababu, mbona hata sasa kuna kampuni local imepewa sehemunya mradi??

Screenshot_20250603_134442_X.jpg
 
Naona watanzania karibu wote humu ni watu wazima na wanajiweza sana tu financially, huenda wengine hawajawahi kupanda kabisa BRTs. They are only proud becoz ni wazalendo na wangependa kuona mambo mazuri kwa taifa lao. Unapodanganya usidhani kama nitakuacha wewe.

BRT ndio inazo changamoto, ila wewe unavyoelezea ni uongo mkubwa. Kwanza muda ambao utapata kukutana na changamoto it is during peak hours asubuhi sana na jioni muda wa kurudi kazini, and that’s normal thing, dunia nzima inaishi hivyo, na ni kweli kwa muda huo huwa mabasi yanazidiwa na kuonekana kuwa hayatishi

Tofauti na hapo BRT ni usafiri mzuri sana kutumia na ni usafiri wa haraka, tofauti ni huu upumbavu unaotueleza hapa 👇🏾

Pili unalalamikia suala la kivukoni kutokua na usafiri wa uhakika. 🤣🤣🤣 huu si ndio upumbavu kabisa. Kwani ni lazima wewe upande ferries za serikali za zamani.? Azam si kila siku anazindua sea tax mpya hapo.? Au ndio nyinyie vilaza wa chadomo, serikali ikiwekeza mnakuja mnalalamika “ooh serikali iwaachie sector binafsi” serikali hiyo hiyo ikiwaachia sector binafsi unakuja tena kulilia “Ooh vivuko vya serikali havipo” 🤣🤣🤣 chadomo mapumbavu kweli.

Sea tax hizi hapa zimezinduliwa juzi kati tu hapo.? 👇🏾View attachment 3354486View attachment 3354487

Nakwambia tena, usilete upumbavu humu sio mahala pa propaganda za siasa humu. Behave.
Kwanza get your facts right. Mimi sio mgeni humu jamii forams tena sio mgeni wa huu Uzi waulize wenzio huu. Mimi na wewe nani mgeni? Nimekua humu since 2019 if not 2018 na wewe umeanza lini? 2021?.
Na mara nyingi huwa nasoma na kupitia michango ya watu hata kama siandiki mara kwa mara haikupi validation ya kuniuta mgeni. View my profile first. Idiot🚮
 
So it is based on your personal opinion sio?
Is yours based on statistics? I was there and I know Eastleigh. You just threw words around. Can you even tell how tall the tallest building under construction in Kariakoo is?
 
Sasa utaniweza kwa facts we kumbafu.? 🤣🤣🤣 mgeni humu halafu unaleta ujuaji.. Chadomo nyie.

Skiliza bwana Nsato, umeonahapa town.? Mimi nishapanda kila aina ya usafiri unayoijua inapatikana hapa mjini, nazijua faida na changamoto zake, huwezi kudanganya wewe.
Umuoma hizi 👇🏾
Treni (commuter rail)
Daladala
BRT buses
Ferries
Sea taxes
Bolt
Bajajis
Bodabodas

Zote hizi mimi nimetumia, usielezee vitu kwa uongo bhana, usipende kutia chumvi kwenye hakuna. BRT buses zina changamoto ila sio hivyo unavyotuelezea wewe. Ukipata brt bus mida kama hii unateleza tu, hakuna upungufu wa buses wala nini.
Kaka kwanza naomba upitie michango ya nyuma, siku zote huwa naisifia serikali na kuipongeza to let you. Know Mimi ni mwana CCM tena og Ila penye changamoto na kasoro lazima nipaze sauti inapobidi. Mwendokasi ni mwiba brother ni kero. Yaani ni changamoto kwakweli juzi Mimi nilikua kwenye kituo almost lisaa na dakika zake. Kwanini nidanganye? Natafuta nini? Najaribu kuelezea changamoto ambayo kiukweli imenikera sana. Kama ni siasa mangapi nayaendelea kwani nimekuja kuyasema humu? I think hii ni plartform nzuri ya sisi kujua nayayojili huku njee. Wengi wenu humu naona mnauwezo na mgari Ila sisi watu wa kawaida ni changamoto. Sasa kama unataka tuendelee kuumia? Kweli? Huu ndio utanzania?
Anyways let's dead this issue. Asante
 
Kwanza get your facts right. Mimi sio mgeni humu jamii forams tena sio mgeni wa huu Uzi waulize wenzio huu. Mimi na wewe nani mgeni? Nimekua humu since 2019 if not 2018 na wewe umeanza lini? 2021?.
Na mara nyingi huwa nasoma na kupitia michango ya watu hata kama siandiki mara kwa mara haikupi validation ya kuniuta mgeni. View my profile first. Idiot🚮
Mimi mwenyewe nipo humu since 2019 ninazo id mbili humu.

Kwanini unapenda kutia chumvi vitu .? Nini lengo lako.? Wewe ni Chadomo.?
 
Naona watanzania karibu wote humu ni watu wazima na wanajiweza sana tu financially, huenda wengine hawajawahi kupanda kabisa BRTs. They are only proud becoz ni wazalendo na wangependa kuona mambo mazuri kwa taifa lao. Unapodanganya usidhani kama nitakuacha wewe.

BRT ndio inazo changamoto, ila wewe unavyoelezea ni uongo mkubwa. Kwanza muda ambao utapata kukutana na changamoto it is during peak hours asubuhi sana na jioni muda wa kurudi kazini, and that’s normal thing, dunia nzima inaishi hivyo, na ni kweli kwa muda huo huwa mabasi yanazidiwa na kuonekana kuwa hayatishi

Tofauti na hapo BRT ni usafiri mzuri sana kutumia na ni usafiri wa haraka, tofauti ni huu upumbavu unaotueleza hapa 👇🏾

Pili unalalamikia suala la kivukoni kutokua na usafiri wa uhakika. 🤣🤣🤣 huu si ndio upumbavu kabisa. Kwani ni lazima wewe upande ferries za serikali za zamani.? Azam si kila siku anazindua sea tax mpya hapo.? Au ndio nyinyie vilaza wa chadomo, serikali ikiwekeza mnakuja mnalalamika “ooh serikali iwaachie sector binafsi” serikali hiyo hiyo ikiwaachia sector binafsi unakuja tena kulilia “Ooh vivuko vya serikali havipo” 🤣🤣🤣 chadomo mapumbavu kweli.

Sea tax hizi hapa zimezinduliwa juzi kati tu hapo.? 👇🏾View attachment 3354486View attachment 3354487

Nakwambia tena, usilete upumbavu humu sio mahala pa propaganda za siasa humu. Behave.
Nimelalamika kuhusu kivukoni kukosa Usafiri wa uhakika hapa? Kaka embu soma kwa utulivu nilichosena don't rush. Usikurupuke na kuibua mada Ili nitoke kwenye reli soma vizuri nilichoandika
 
Mimi mwenyewe nipo humu since 2019 ninazo id mbili humu.

Kwanini unapenda kutia chumvi vitu .? Nini lengo lako.? Wewe ni Chadomo.?
Shida haipo kwako tuu wajinga wengi kama wewe hawaupendi ukweli. Nikuulize wewe k kibuyu unauhakika Gani kuwa naongeza chumvi? Mara ya mwisho umepanda mwendokasi ni lini?
 
Kaka kwanza naomba upitie michango ya nyuma, siku zote huwa naisifia serikali na kuipongeza to let you. Know Mimi ni mwana CCM tena of Ila penye changamoto na kasoro lazima nipaze sauti inabidi. Mwendokasi ni mwiba brother ni kero. Yaani ni changamoto kwakweli juzi Mimi nilikua kwenye kituo almost Lisa's na dakika zake. Kwanini nidanganye? Natafuta nini? Najaribu kuelezea changamoto ambayo kiukweli imenikera sana. Kama ni siasa mangapi nayaendekea kwani nimekuja kuyasema humu? I think hii ni plartform nzuri ya sisi kujua nayayojili huku njee. Wengi wenu humu naona mnauwezo na mgari Ila sisi watu wa kawaida ni changamoto. Sasa kama unataka tuendelee kuumia? Kweli? Huu ndio utanzania?
Anyways let's dead this issue. Asante
Hapa kwenye kukawia buses kufika kwasababu ya uchache wake siwezi kukupinga, pia inategemeana na route. Kwa mfano, umeona pale kimara mwisho.? Pale changamoto ya kukaa ndio unaweza kui experience zaidi kwasababu buses ni chache na routes zimeongezwa, sahii buses zinaenda hadi kibaha (sidhani kama wakati wananunua buses kwa awamu ya kwanza walinunua zinazotoshakufika huko) zingine zinaenda muhimbili, zingine zinapita sinza (barabara ya bamaga-Shekilango) zingine zinapita bagamoyo road, pia inatakiwa tukubaliane na ukweli kwamba watumiaji wa huduma wameendelea kuongezeka siku hadi siku, na ndio sababu demand imekua kubwa while supply ni ilele ya hitaji letu la awali.. sasa lazima kasoro zitokee.

Hapa nitakuunga mkono kuipigia kelele serikali inunue buses za kuzudi ili kukidhi mahitaji ya watumiaji. Na kimsingi tumeshuhudia jamaa wamenunua buses mingi labda tupige kelele waongeze ziwe walau buses 5000 hivi kwaajili ya phases zote 6 zikikamilika. Walau kila phase iwe na at least buses 700+.
 
Nayo Serikali imealika private sector.Bongo hapa Mali ya Umma Huwa ni shamba la Bibi so Bora waendeshe private sector kuliko zife na tuwe tunaziendesha Kwa ruzuku ni upuuzi
Uwajibikaji ndio tatizo wala sekta binafsi Tanzania hazijashindwa kuendesha huo mradi na hii yote ni kwa sababu ya kulindana na uchawa, yani tushindwe kuendesha brt ndio tutaweza Atcl na sgr
 
Issue ya DART, ATCL, na TRC ni mambo mengi

About DART, maana BRT na Dart ni vitu viwili tofauti , UDART ni ubia kati ya mmbongo na serikali sasa inaonesha kabisa ubia huo umeshindikana mimi naona serikali ingeendesha tu yenyewe via DART kwa kutafuta manager tu na top executive wazuri hata kama itawatoa nje ila yenyewe inunue mabasi na management team ya DART iongozwe na good managers hata kama watatoka nje na sio kumpa mtu miaka 12 awekeze etc

Atleast ATCL over last 10years ina maintain vifaa vyake vizuri thanks to strict regulations za aviation industry by this namanisha kuna ndege mfano 5H TCB ina miaka 9 ila bado inapiga kazi fresh

Kuhusu kutengeza faida they should be given more time , plus walipata shida na engine za A220 (of course dunia nzima ilipatana bado inaendelea), but they need to have good CEO and managment team that will use the equipments and plan routes well. Emirates Airlines CEO ni m britain Tim Clark

TRC is still well runned but lets give it time and see if they can repair and maintain well their equipments wataenda mbali , cause issue kubwa ni maintaince bora wa outsource maintance hata nje kama hamna wabongo walioneda kusomea au kuwa competent kwenye maintance , muda wa service kubwa ukifika utasikia issues zimeanza na vichwa vitaanza kulala.

Ninaona issue kubwa kwa sisi wabongo huwa ni maintance ya equipments , ndo maana hata wa africa wengi over 70% hawezi kudumu na magari yao over like 10-20years

DART needs a competent manager and team hata kama ni wa zungu, wa japan etc , na sio investor , serikali kuleta investor means inaonesha wana uwezo mdogo wa kununua mabus

Lakini tukumbuke people need service and kama umepanda mwendo kasi hutojali kama ni mwarabu au nani as long as service is good, mbona shabiby is a well managed company , tukimpa shabiby a. Run mwendo kasi probably it will do good , but issue za sisi wabongo tunataka tuipige Goverment na sio win win sitauion
Umeeleza vizuri ila mwishoni tunarudi pale pale kwenye uwajibikaji ili suala halipo kabisa kwenye mashirika yetu ya serikali japo usafiri wa umma ufai kuendshwa kwa faida kwa sababu utakua gharama sana ila inabidi kuwepo na uwajibikaji kwa kiwango cha juu kwenye matengenezo na customer care , trc wanajitahidi kwenye upande wa sgr mpaka sasa ila bado mapema sana kusema wana afadhali
 
Uwajibikaji ndio tatizo wala sekta binafsi Tanzania hazijashindwa kuendesha huo mradi na hii yote ni kwa sababu ya kulindana na uchawa, yani tushindwe kuendesha brt ndio tutaweza Atcl na sgr

Kwa namna mchakato wa kupata fedha unavyokuwa mrefu serikalini ni ngumu sana kuendesha huu mradi kwa ufanisi. Ni Bora serikali iendelee na ujenzi wa miundombinu ila upande wa waendeshaji wa mabasi waweke kampuni tofauti tofauti.

Serikalini Hela kuingia ni rahisi ila kutoka ni ngumu, pili watu wa kupiga kwa pet cash... Kwa biashara ya usafirishaji unatakiwa uwe na balance cash muda wowote kwa ajili ya dharura... Huwezi kuandika pet cash kila siku sijui bolts, oils, rangi, break pads,fluids etc... utachoka..

Halafu bado upigaji upo sana maana uwajibikaji ni zero....wahasibu wanadhani wakitoa Hela ni kama wanakupa ya kutumia,sio ya kufanyia kazi... Zile gari zingekuwa zinajichanganya mtaani wangekuwa wananyonya mafuta kila siku...ila wanaiba sana engine oils na lubricant... Wananunua ila hawaweki kwenye magari...yanakufa tu yenyewe hakuna anaejali...

Kampuni binafsi wanakuwa na uchungu na gari zao, service watazingatia, uendeshaji wa tahadhari watazingatia na mambo mengine.... Ile maintenance team pale ukienda kuwakagua sidhani kama wanajua kazi yao...kila siku wana outsource mafundi nje na bado wako na kitengo Cha Ufundi... Ni upigaji tu wa kifala...

Gari ni matunzo na service kulingana na ratiba, hizo za kwao hawatunzi kabisa na ni kwa sababu usimamizi hakuna... management Haina wataalam wa mambo ya magari na usafirishaji... Kiburi na fair of insubordination inapelekea kuua mradi..
Wabinafsishe tu...wanakie kutoza Hela ya njia.
 
Tumerudi kule kule, "sisi hatuwezi, sijui sisi ni masikini".

Yaani tufanye upembuzi yakinifu, tutafute pesa wenyewe, halafu eti tushindwe kuendesha, akili za wapi hizi? Haya ndo matatizo ya kubebana na kuchekeana.
Na hatuwezi kupiga hatua hata kidogo tukiendelea hvi na mawazo yale yale eti mtu akikosea unamwamisha kitengo badala ya kumwajibishaa , kutegemea wawekezaji wa njee waje watukomboe kutoka kwenye umaskini wetu.
 
Back
Top Bottom