Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kina Ridhwani ndio walinunua UDA kwa kupitia Simon Group company kama front. UDA ikapewa uendeshaji wa mradi ndio ikapatikana kampuni inayoitwa UDART. Lakini wahusika walio nyuma ya Ridhwani wanajulikana na hoja ya kulazimisha kuendesha BRT kinyume na mapendekezo ya WB ikalazimishwa kwa nguvu na Pinda Bungeni wakati huo akiwa kama PM.
Ushahidi wa Wakina Ridhiwan ningependa kuuuona mkuu.
 
Hakuna ndio maana tunaitaji mabadiliko ya uongozi la sivyo hizi ngonjera hazitaishaa, hamna shirika ata moja la serikali lina afadhali anyway tuendelee kurusha ngumi hewani tukitegemea jambo jipya.
Private sector ndio jibu ila dhqn ya private ihame kutoka kudhani ni Wazungu Bali ilenge kuwatumia watu wetu zaidi.
 
Imeizidi Dar uswazi city upande wa makazi by far, and many other sectors!!!
Mbali sana. Naona mwingine alijifariji eti anataka kulinganisha Mombasa na sijui Tanga. Aende akatangetange hukooo mbali
 
🤣 🤣 🤣
Image
Bi ara tii🤣🤣🤣🤣
 
Eh? Hebu tupostie YouTube tuone ulipopita Kariakoo.

Au kutembea kwako Lumumba ukadhani umeiona kariakoo. Na I think ndo maana ulisema Dar is less Busy compared to Nairobi. Mtu aliyefika congo, msimbazi, sikukuu nk hawezi kusema Dar is less busy compared to Nairobi

Kariakoo is under construction. Every street there something being constructed

Lakin wew ni mbishi mbishi tu
I didn't record and and post everything I saw bro. Anyway, if you genuinely believe what is under construction in Kariakoo alone is more than what is under construction in Nairobi you're either delusional or completely clueless and I don't see why I should continue this argument with you.
 
Ushahidi wa Wakina Ridhiwan ningependa kuuuona mkuu.
Ushahidi unatoa wapi kwani wale ni wajinga waanike kilakitu hadharani? Simon Group hana hela ya kununua UDA kama alivyo Lugumi hana hela ya kufanya yale anayofanya likewise GSM hana hela ni muuza vifungo vya nguo kisutu.
 
Back
Top Bottom