babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 12,905
- 34,907
Na kelele zote hizo kumbe wewe ni mtu ya ushago?Nairobi leo hii ., ata kama siwezi kupigia huyu governor wa Nairobi kura, anaboresha barabara za mitaani.., sio vumbi city kama Dar.🤣🤣
Before n after..,
Tumerudi kule kule, "sisi hatuwezi, sijui sisi ni masikini".Tumefeli sio kidogo yani kama mwendokasi tunampa mwekezaji kutoka nje siku sio nyingi sgr itatushinda na vile tunasuasua kuifikisha mwanza
Shida ya kukua primary school dropouts. 🤣 🤣 🤣 Elimu muhimu walai.
View: https://youtu.be/gfzOMAbW1DU?si=RpCxry5Lewff6V69
MY TAKE
Kuna mtu ana clips ama fotos za portlink imefikia wapi?
Kariakoo Redevelopment. Majengo yanayojengwa hapa kariakoo tuu yanafunika construction yote ya Nairobi.
View: https://youtu.be/j5BR9HaSUF4?si=x6bVaoaLpSSgKOPA
Amakweli ukistaajabu Musa utayaona ya Firauni. 🤣🤣🤣Bro.....I'm telling you the truth. It's not even close. Not even close. Eastleigh alone has more than 3 times the amount of construction at Kariakoo. I looked at this place and honestly, it would be considered a sleepy area in terms of construction if placed in Nairobi.
Washenzi, wajinga na waroho wa madaraka wasiwahi tufikisha kwenye ukabila kama huu.
View: https://x.com/classic105kenya/status/1929760184118976609?s=46
Nchi yao imejengwa kwa misingi ya kikabila.Kwanini wanajitabanaisha kwa makabila?
Lahaulaaah!!!!!!!!!!!!!!!View attachment 3354085View attachment 3354087View attachment 3354088
Hapo wanaishi binadamu au nguruwe?