Ndio uwezo wao wa kufkiri ulipoishia and frankly speaking most kunyans are myopic.Kwanini wanajitabanaisha kwa makabila?
Ndio uwezo wao wa kufkiri ulipoishia and frankly speaking most kunyans are myopic.Kwanini wanajitabanaisha kwa makabila?
Shida ilianza walipopewa UDART kuendesha na nyuma ya UDART wako wahusika waliokataa mapendekezo ya WB ya kumpa foreign contractor aendeshe mradi kwa mwaka mmoja ili aweke benchmarks for local contractor lakini sote tunajua Pinda alizumngumza nini kuhusu hayo mapendekezo ya WB bungeni.Kweli kabisa kaka. Yaani Director na Waziri wa uchukuzi Bure kabisa. Yaani mradi mkubwa kama huu ambao ulikua unawapa mapato ya kutosha ni wakuuchezea hivi???! Afu mtu yupo hapa na ukunguni wake kutetea uozo!!?
Wewe kweli bwege na akili huna? Kwani tuyaongeaga humu huwa Kuna Viongozi mbona tukisifia ubwati. Fara wewe ku.a kibuyuPeleka matako mbele, tafuta Uzi za siasa ukaongelee huko kama unajiona una akili. Unakuja kuongea humu kuna mkuu wa mkoa humu.? Kuna mkurugenzi humu.? Huu ni Uzi wa malalamiko.? Jinga kweli hili punga
Kwanini wanajitabanaisha kwa makabila?
Kumbe it's deep rooted!! Haya sasa wewe Sama boy 255 umeona wenye akili sasa? Sio wewe kunguni sijui chawa.Shida ilianza walipopewa UDART kuendesha na nyuma ya UDART wako wahusika waliokataa mapendekezo ya WB ya kumpa foreign contractor aendeshe mradi kwa mwaka mmoja ili aweke benchmarks for local contractor lakini sote tunajua Pinda alizumngumza nini kuhusu hayo mapendekezo ya WB bungeni.
Shida ilianza walipopewa UDART kuendesha na nyuma ya UDART wako wahusika waliokataa mapendekezo ya WB ya kumpa foreign contractor aendeshe mradi kwa mwaka mmoja ili aweke benchmarks for local contractor lakini sote tunajua Pinda alizumngumza nini kuhusu hayo mapendekezo ya WB bungeni.
Kiongozi kumpa muendeshaji wa nje sio kosa huu ni uchumi huria. Mfano wewe hujawahi ku run mwendokasi ila unalazimisha kuendesha mwendo kasi wakati concept ya mwendokasi huijui ndio maana vitu vingi havikukamilika kwa wakati kama ticketing system, route tracker time display, na mambo mengi ya ufanisi wa uendeshaji. UDART kaendesha mwendokasi wapi pengine duniani au mmeshasahau mwenye UDART ni nani?Tumefeli sio kidogo yani kama mwendokasi tunampa mwekezaji kutoka nje siku sio nyingi sgr itatushinda na vile tunasuasua kuifikisha mwanza
Tumefeli sio kidogo yani kama mwendokasi tunampa mwekezaji kutoka nje siku sio nyingi sgr itatushinda na vile tunasuasua kuifikisha mwanza
Ni Nani kaka?Kiongozi kumpa muendeshaji wa nje sio kosa huu ni uchumi huria. Mfano wewe hujawahi ku run mwendokasi ila unalazimisha kuendesha mwendo kasi wakati concept ya mwendokasi huijui ndio maana vitu vingi havikukamilika kwa wakati kama ticketing system, route tracker time display, na mambo mengi ya ufanisi wa uendeshaji. UDART kaendesha mwendokasi wapi pengine duniani au mmeshasahau mwenye UDART ni nani?
Kiongozi DART haifanyi biashara ya uendeshaji, DART ni mmiliki wa njia, waendeshaji wanaweza wakawa wengi au zaidi ya mmoa kwenye route moja DART kazi yake ni kupokea tozo toka kwa wanaowekeza buses zao kwenye infrastructure ya DART na pia DART ndio atakuwa mkusanyaj mkuu wa mapato yote na kudistribute kwa wawekezaji based on seat capacity ya kila contractor au travel card use on each bus.Issue ya DART, ATCL, na TRC ni mambo mengi
About DART, maana BRT na Dart ni vitu viwili tofauti , UDART ni ubia kati ya mmbongo na serikali sasa inaonesha kabisa ubia huo umeshindikana mimi naona serikali ingeendesha tu yenyewe via DART kwa kutafuta manager tu na top executive wazuri hata kama itawatoa nje ila yenyewe inunue mabasi na management team ya DART iongozwe na good managers hata kama watatoka nje na sio kumpa mtu miaka 12 awekeze etc
Atleast ATCL over last 10years ina maintain vifaa vyake vizuri thanks to strict regulations za aviation industry by this namanisha kuna ndege mfano 5H TCB ina miaka 9 ila bado inapiga kazi fresh
Kuhusu kutengeza faida they should be given more time , plus walipata shida na engine za A220 (of course dunia nzima ilipatana bado inaendelea), but they need to have good CEO and managment team that will use the equipments and plan routes well. Emirates Airlines CEO ni m britain Tim Clark
TRC is still well runned but lets give it time and see if they can repair and maintain well their equipments wataenda mbali , cause issue kubwa ni maintaince bora wa outsource maintance hata nje kama hamna wabongo walioneda kusomea au kuwa competent kwenye maintance , muda wa service kubwa ukifika utasikia issues zimeanza na vichwa vitaanza kulala.
Ninaona issue kubwa kwa sisi wabongo huwa ni maintance ya equipments , ndo maana hata wa africa wengi over 70% hawezi kudumu na magari yao over like 10-20years
DART needs a competent manager and team hata kama ni wa zungu, wa japan etc , na sio investor , serikali kuleta investor means inaonesha wana uwezo mdogo wa kununua mabus
Lakini tukumbuke people need service and kama umepanda mwendo kasi hutojali kama ni mwarabu au nani as long as service is good, mbona shabiby is a well managed company , tukimpa shabiby a. Run mwendo kasi probably it will do good , but issue za sisi wabongo tunataka tuipige Goverment na sio win win sitauion
Wewe kweli bwege na akili huna? Kwani tuyaongeaga humu huwa Kuna Viongozi mbona tukisifia ubwati. Fara wewe ku.a kibuyu
Naona watanzania karibu wote humu ni watu wazima na wanajiweza sana tu financially, huenda wengine hawajawahi kupanda kabisa BRTs. They are only proud becoz ni wazalendo na wangependa kuona mambo mazuri kwa taifa lao. Unapodanganya usidhani kama nitakuacha wewe.Kumbe it's deep rooted!! Haya sasa wewe Sama boy 255 umeona wenye akili sasa? Sio wewe kunguni sijui chawa.
Naongea kwa uchungu sana!! Yaani Mimi ni Mtanzania wakawaida daladala, bolt na mwendokasi ndio maisha yangu. Yaani mwendokasi ni kero, kanga kubwaa huwezi sema eti ngoja niwahi sehemu nikapande mwendokasi Bora ubolt au upande daladala. Kwanza Waziri wetu wa Uchukuzi kapoa sana. Pale kivukoni mpaka Leo mwaka unaenda wa tatu MV. Magogoni haijarudi
Sasa utaniweza kwa facts we kumbafu.? 🤣🤣🤣 mgeni humu halafu unaleta ujuaji.. Chadomo nyie.Hivi wewe fara, mmbwa usie na akili Sama boy 255 unaleta mdomo wako mchafu hapa. Watu tumestaarabika Ila sio wazembe!! Leta mdomo wako Leo tutapambana K weww
Hizo nyumba ni utapeli mtupu.na bado wanamtukana Ruto!
Kina Ridhwani ndio walinunua UDA kwa kupitia Simon Group company kama front. UDA ikapewa uendeshaji wa mradi ndio ikapatikana kampuni inayoitwa UDART. Lakini wahusika walio nyuma ya Ridhwani wanajulikana na hoja ya kulazimisha kuendesha BRT kinyume na mapendekezo ya WB ikalazimishwa kwa nguvu na Pinda Bungeni wakati huo akiwa kama PM.Ni Nani kaka?
That is a fraction of Kariakoo my friend the video captured only some selected streets.Bro.....I'm telling you the truth. It's not even close. Not even close. Eastleigh alone has more than 3 times the amount of construction at Kariakoo. I looked at this place and honestly, it would be considered a sleepy area in terms of construction if placed in Nairobi.
Mapendekezo ya WB yalikuwa nini?Kina Ridhwani ndio walinunua UDA kwa kupitia Simon Group company kama front. UDA ikapewa uendeshaji wa mradi ndio ikapatikana kampuni inayoitwa UDART. Lakini wahusika walio nyuma ya Ridhwani wanajulikana na hoja ya kulazimisha kuendesha BRT kinyume na mapendekezo ya WB ikalazimishwa kwa nguvu na Pinda Bungeni wakati huo akiwa kama PM.
My comment is not based on the video.That is a fraction of Kariakoo my friend the video captured only some selected streets.
Africa kuna ombwe kubwa la uongozi na uwajibikaji. Huku kuna watawala na sio viongozi.Shida ni pale viongozi na wasaidizi wa Raisi na watendaji wanapogeuka machawa nani afanye kazi mwisho wa siku wananchi ndiyo tunaumia Raisi anabaki kulalamika kana kwamba hana maamuzi
iitishwe international tender apatikane mwekezaji mwenye experiance ya kuendesha BRT buses kwa muda maalumu halafu baada ya hapo local companies ziachiwe kuendeleza uendeshaji hii ilikuwa inalenga transfer of knowledge and skills kwa watanzania na tender ya mabasi alikuwa anapewa Mercedes Benz ila wajanja wakajimilikisha mradi WB akakaa pembeni memo ikapelekwa NMB mzigo ukatoka Golden Dragon za mwanzo zikaingia. Mzigo wa pili ulipokuja wakawa wamechelewa Magu kashakalia kiti anataka kodi yake gari zimekaa port zaidi ya mwaka na ushehe mpaka zilipotoka.Mapendekezo ya WB yalikuwa nini?