Mwanzoni ilitakiwa iwe hivyo lakini sasa anybody can operate sababu hii concept ya BRT imeshazoeleka huku kwetu na changamoto tumeshazijua na zimefanyiwa utatuzi hususan kwenye eneo la ticketing na display ya muda wa mabasi kuwasili vituoni hii kazi walipewa kampuni toka Spain kama sikosei.Kama hiyo ndio sababu, mbona hata sasa kuna kampuni local imepewa sehemunya mradi??
View attachment 3354580