Tumefeli sio kidogo yani kama mwendokasi tunampa mwekezaji kutoka nje siku sio nyingi sgr itatushinda na vile tunasuasua kuifikisha mwanza
Issue ya DART, ATCL, na TRC ni mambo mengi
About DART, maana BRT na Dart ni vitu viwili tofauti , UDART ni ubia kati ya mmbongo na serikali sasa inaonesha kabisa ubia huo umeshindikana mimi naona serikali ingeendesha tu yenyewe via DART kwa kutafuta manager tu na top executive wazuri hata kama itawatoa nje ila yenyewe inunue mabasi na management team ya DART iongozwe na good managers hata kama watatoka nje na sio kumpa mtu miaka 12 awekeze etc
Atleast ATCL over last 10years ina maintain vifaa vyake vizuri thanks to strict regulations za aviation industry by this namanisha kuna ndege mfano 5H TCB ina miaka 9 ila bado inapiga kazi fresh
Kuhusu kutengeza faida they should be given more time , plus walipata shida na engine za A220 (of course dunia nzima ilipatana bado inaendelea), but they need to have good CEO and managment team that will use the equipments and plan routes well. Emirates Airlines CEO ni m britain Tim Clark
TRC is still well runned but lets give it time and see if they can repair and maintain well their equipments wataenda mbali , cause issue kubwa ni maintaince bora wa outsource maintance hata nje kama hamna wabongo walioneda kusomea au kuwa competent kwenye maintance , muda wa service kubwa ukifika utasikia issues zimeanza na vichwa vitaanza kulala.
Ninaona issue kubwa kwa sisi wabongo huwa ni maintance ya equipments , ndo maana hata wa africa wengi over 70% hawezi kudumu na magari yao over like 10-20years
DART needs a competent manager and team hata kama ni wa zungu, wa japan etc , na sio investor , serikali kuleta investor means inaonesha wana uwezo mdogo wa kununua mabus
Lakini tukumbuke people need service and kama umepanda mwendo kasi hutojali kama ni mwarabu au nani as long as service is good, mbona shabiby is a well managed company , tukimpa shabiby a. Run mwendo kasi probably it will do good , but issue za sisi wabongo tunataka tuipige Goverment na sio win win sitauion