Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Shida sio wateja wengi, shida ni huduma mbovu.
Wewe uwache wivu na upumbavu. 🤣🤣🤣 huu ndio mradi wa BRT uliofanikiwa zaidi Africa, 👇🏾Dar es Salaam’s new rapid bus system won international acclaim – but it excludes the poor. and guess what.? This is the largest BRT network in the whole of Africa. Unapotuambia mradi umefeli while uko na demand kubwa, ni sawa na unatuambia kuwa wewe ni zuzu. 🤣🤣🤣. Miradi yote ya public transport duniani inazidiwa during rush hours, same way na brt Tz inavyozidiwa and that’s because of the high demand.
 
Ground breaking for Dar metro rail set for December 2025. 160km of urban rail underground and elevated design.
 
Wow 🤩 battle itawshinda hii. Mbona moto unawaka sana.? 🤣
 
Watu wako na laundry machines kwa nyumba lakini wewe bado unaongea kuhusu mambo ya mtu kuomba kufua nguo, ushaiona laundry machine? Let alone kuitumia ama kuimiliki.
Mtu asiyeweza kuafford a decent meal a day, hela ya kununua mashine anatoa wapi? na kwa taarifa tu fupi, mashine za kufulia nguo hazisafishi nguo vizuri only kama nguo umevaa mara moja.
 
Obviously hujaiona laundry machine, let alone owning and using one. Mbona Mimi natumia laundry machine kuosha nguo na zinatoka tu safi? Ama uliskia watu wakipiga story na hiyo line ndio ulielewa hapo unataka nayo?
 
Wewe uwache wivu na upumbavu. 🤣🤣🤣 huu ndio mradi wa BRT uliofanikiwa zaidi Africa, 👇🏾Dar es Salaam’s new rapid bus system won international acclaim – but it excludes the poor. and guess what.? This is the largest BRT network in the whole of Africa. Unapotuambia mradi umefeli while uko na demand kubwa, ni sawa na unatuambia kuwa wewe ni zuzu. 🤣🤣🤣. Miradi yote ya public transport duniani inazidiwa during rush hours, same way na brt Tz inavyozidiwa and that’s because of the high demand.
The best BRT watu wanawacha boarding platform wanaenda kupandia kwa madirisha. Hio nimeona tu kwa nchi ya primary school dropouts.
 
Back
Top Bottom