Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,695
- 107,133
Hawakujifunza walichotaraji kuona, ndio mana wamekuja TZ kujifunza. Kama wangetosheka na walichoona huko upumbavuni wangerudi kwao.They were in Kenya last week, so what’s your point?
Ni fukara outside City premises ila hapo Mjini kati sio fukara.Naomba kuhifadhi hii data, inaangazia ufukara wa Tanzania kiukweli., wale wa vipicha wakae pembeni..., Mwanza chakavu kumbe ni Kijiji cha mafukara., pia Dodoma, capital city eti., ni mnyonge kiuchumi., numbers zimedhibitisha kauli yangu.,
Kibosho Kilimanjaro TZ. 👇🏾
View: https://www.instagram.com/reel/DKJXs2cMd4z/?igsh=c3duMTUxZTBlY3l6. Njoo ujifunze Tanzania wewe mwaiofhawaii jifunze bongo mdogo etu. 🤣🤣🤣
Indeed it is. ✅Inapendeza!
Nenda uangalie the meaning of “if” in an apology alafu urudi. Utagundua hakuna apology hata moja hapo Ruto amefanya, what Kasongo does was just to add oil to an already burning firewood. Wewe hujui ukora wa Ruto😂😂🤣
Wengine wamekulwa na hawasemi 😂Hii Tanzania kweli sio ya mchezo mchezo, watu wamekuja wamefurushwa wengine wamepigiwa nusu kuuwawa na bado msamaha juu, Tanzania ni Habari nyingine
Unaweza kutuletea total revenue collection ya wajir for a year ( own source (osr)) hazifikii hata nusu ya province ya Tanzania inayokusanya kiasi kidogo kuliko zote?Naomba kuhifadhi hii data, inaangazia ufukara wa Tanzania kiukweli., wale wa vipicha wakae pembeni..., Mwanza chakavu kumbe ni Kijiji cha mafukara., pia Dodoma, capital city eti., ni mnyonge kiuchumi., numbers zimedhibitisha kauli yangu.,
Ni fukara outside City premises ila hapo Mjini kati sio fukara.
As opposed to Mbeya in terms of income Iko fairly distributed ,in short maendeleo hayako concentrated mjini pekee unlike Mwanza,Dom and Arusha.
Nina takwimu zingine zingine za kwenye sensa utashangaa 😁😁
Hizi data za local government authorities from Mbeya zinaongea ukweysana 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DKNMn2UixIc/?igsh=MW1weXNnOXJvOHgzOQ==
Mara ya mwisho umeenda lini Dodoma kaka.?Dodoma nje ya mji hakuna shughuli yoyote inayofanyika sababu ni pakavu balaa .
Mbeya mazingira yanaruhusu kilimo karibia msimu wote ndo maaana Kuna tofauti kubwa sana .
Ukiangalia mikoa mingi kama njombe ,songea,mtwara nyingi mapato yake ni mazao.
Ukiangalia mapato ya wilaya zote za mtwara 70% ni korosho+ ufuta+mbaazi+ karanga
Njombe miti
Songea mazao
Your lame excuses are that Kenya imposed a ban on new banks whereas all that while we saw new foreign banks enter Kenya..neither did your banks open subsidiaries in other neighboring countries.. is it also because of the ban? 😅Is this not a ban ? Kwanini umlazimishe ili niingie kwa soko shart nifanye manunuzi ya existing bank na sio nianzishe bank yangu ?
Why did you impose that ban kama hamkuwa mnakwepa competition?
![]()
The Central Bank of Kenya lifts the ban on new bank licences
The Central Bank of Kenya grants new banking licences again starting July 2025, after it lifted the decade-old ban.thepaypers.com