Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Is this not a ban ? Kwanini umlazimishe ili niingie kwa soko shart nifanye manunuzi ya existing bank na sio nianzishe bank yangu ?
Why did you impose that ban kama hamkuwa mnakwepa competition?
Your lame excuses are that Kenya imposed a ban on new banks whereas all that while we saw new foreign banks enter Kenya..neither did your banks open subsidiaries in other neighboring countries.. is it also because of the ban? 😅
 
Wewe nadhani kabla huja comment ujifunze kwanza Africa. Seems you are very stupid.
 
Dodoma nje ya mji hakuna shughuli yoyote inayofanyika sababu ni pakavu balaa .
Mbeya mazingira yanaruhusu kilimo karibia msimu wote ndo maaana Kuna tofauti kubwa sana .
Ukiangalia mikoa mingi kama njombe ,songea,mtwara nyingi mapato yake ni mazao.
Ukiangalia mapato ya wilaya zote za mtwara 70% ni korosho+ ufuta+mbaazi+ karanga
Njombe miti
Songea mazao
Usisahau factor kuu ya watu wa Mbeya-Wapambanaji na watata kweli kweli.

Mawilayani kwenye hiyo Mikoa Kuna shughuli wanafanya but Hazina Tija saana kulinganisha na Mbeya labda Kutokana na Hali ya Hewa nk.

Mbeya inategemea zaidi shughuli za Kilimo especially Viazi,Mahindi,Tumbaku,Kakao,Pareto,ampunga, agro industries na Madini (Dhahabu ya Chunya).Yaani kila Wilaya Ina kitu chake inazalisha.

1.Chunya-Dhahabu & Tumbaku ,namba 1 & 2 Tanzania

2.Mbeya DC-Pareto & viazi ,namba 1&2 Tanzania

3.Kyela-Kakao na mpunga ,namba 1 Kwa Kakao Tanzania

4.Rungwe & Busokelo -Ni kati ya Wilaya top producers wa Chai,Parachichi na Ndizi Tanzania.

5.Mbarali-Top producers wa mchele/Mpunga wa Mbeya around 90% na ni full irrigation.

6.Mbeya Jiji-agro and food industries na Biashara ,ni economic centre ya mikoa ya Nyanda za Juu Kusini.

Mind you Mbeya ndio Mkoa unaongoza Tanzania nzima Kwa matumizi ya pembejeo ya Mbolea ikifuata Ruvuma.

Mkoa kama Mwanza siku wakianza irrigation ndio watabadilisha maisha Yao badala ya kujazana pale mjini Kila mtu mchuuzi badala ya kuwa producers,wiwanda vingi vinakimbilia Shinyanga.

Dodoma kulingana na massive investments za serikali miaka ya baadae hata huko Mawilayani kutakuwa poa maana wanawaletea irrigation schemes za kutosha so hao wote itawachukua mda kuwa na living standards za watu wa Mbeya..

Ieleweke vizuri,Kilimo na ufugaji ni Kati ya shughuli ambazo ni less taxed ni kama hakuna kodi so pesa nyingi inaingia Kwa mkulima Moja Kwa moja.
 
Dodoma nje ya mji hakuna shughuli yoyote inayofanyika sababu ni pakavu balaa .
Mbeya mazingira yanaruhusu kilimo karibia msimu wote ndo maaana Kuna tofauti kubwa sana .
Ukiangalia mikoa mingi kama njombe ,songea,mtwara nyingi mapato yake ni mazao.
Ukiangalia mapato ya wilaya zote za mtwara 70% ni korosho+ ufuta+mbaazi+ karanga
Njombe miti
Songea mazao
Zabibu, karanga, Alizeti wanalima wapi?
 
Dodoma nje ya mji hakuna shughuli yoyote inayofanyika sababu ni pakavu balaa .
Mbeya mazingira yanaruhusu kilimo karibia msimu wote ndo maaana Kuna tofauti kubwa sana .
Ukiangalia mikoa mingi kama njombe ,songea,mtwara nyingi mapato yake ni mazao.
Ukiangalia mapato ya wilaya zote za mtwara 70% ni korosho+ ufuta+mbaazi+ karanga
Njombe miti
Songea mazao
Umewahi kufika Mpwapwa au Chamwino?
Zabibu inatoka mkoa gani vile?
 
Seems construction boom umerudi Dar es Salaam. Blue haven kigamboni. Coming up View attachment 3349282View attachment 3349281
Ooh sisi hatuishi kwenye mabweni, mara sijui boxes. All this just to comfort yourselves for lack apartments in Dar unlike Nairobi where they are everywhere. When a few such mabweni projects come up, they are shared here and we are being reminded how the 'boom' is back! 🤣🤣🤣 Mnachekesha sana watanzania
 
Tupate mapumziko kidogo.
 
Attachments

  • 20250529_085541.jpg
    20250529_085541.jpg
    48.4 KB · Views: 7
Ooh sisi hatuishi kwenye mabweni, mara sijui boxes. All this just to comfort yourselves for lack apartments in Dar unlike Nairobi where they are everywhere. When a few such mabweni projects come up, they are shared here and we are being reminded how the 'boom' is back! 🤣🤣🤣 Mnachekesha sana watanzania
Kwani hayo ni mabweni we mapumbu machafu.? Nani kakwambia hizo ni affordable housing.? Au umeumia.?
 
Haya kuna other areas like insurance with no protectionism, mbona msikuje kenya? Tofauti na omba omba, what else represent Tanzania in Kenya?
mbona kichwa kigumu wewe. Hapo nyuma kulikuwa na sheria ya kuzuia uwekezaji nje ya nchi lakini sasa sheria imeshafutwa most companies are starting to invest outside the country uliza Mozambique, Malawi, Rwanda, Burundi, Botswana na RDC kampuni kibao za TZ zimewekeza huko infact Ndio tunaanza now. Exim bank Tz Djibout, CRDD bank RDC and Burundi, NMB wanaplan ya EA expansion
 
Excuses kibao. What stops your banks from investing in Kenya then Kama sharia ilishaondolewa na mkawekeza kwenye nchi zingine?
 
Back
Top Bottom