Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Vijamaa vioga kinoma, vinapigananasi while vimefunga nchi yao, halafu vinaulizia uwekezaji wetu huko kwao. 🤣🤣🤣 ujue hawa wakenya wa humu ndani ni mazuzu Sana.mbona kichwa kigumu wewe. Hapo nyuma kulikuwa na sheria ya kuzuia uwekezaji nje ya nchi lakini sasa sheria imeshafutwa most companies are starting to invest outside the country uliza Mozambique, Malawi, Rwanda, Burundi, Botswana na RDC kampuni kibao za TZ zimewekeza huko infact Ndio tunaanza now. Exim bank Tz Djibout, CRDD bank RDC and Burundi, NMB wanaplan ya EA expansion