The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Mwambie athibitishe kama ni fake news.Sasa mimi ndio niliyopost taarifa.? 🤣🤣🤣 do you think you know better kuliko chombo cha habari.?
Mwambie athibitishe kama ni fake news.Sasa mimi ndio niliyopost taarifa.? 🤣🤣🤣 do you think you know better kuliko chombo cha habari.?
Then what are you doing in their forums?After listening to their MPs nimegundia wengine ni hawa mikwara mnabishana nao hapa, I guess they are using pseudo accounts, yaani same mindset, kumbe ndio Watanzania wote walivyo., hizo akili ndio hizi za jamii forums 🤣🤣🤣🤣., walai ndio hawa humu tunajibizana nao, very pedestrian, clueless, ignorant, ushabiki, childish and idiots in parliament 🤣🤣🤣🤣🤣.., no facts just yapping kiholela 🤣🤣🤣
Sio gundu bali ni uwanja wa hovyo sn, wanapaka lipstick wanapost, CAF wakienda wanaona uhalisia wanaukataa, design yake waliikosea, nadhani ulijengwa specific kwa ajili ya kunyongea watu ila wao wakabadili matumizi.Huo uwanja una gundu kinyama. 😂😂😂
Watapewa Rwanda, hawa wanusa gundi ni majokers sn.Jua kali standards. 🤣🤣🤣 CHAN imeshakaribia halafu uwanja bado haupo ready, watanyang’anywa nafasi ya ku host.
I hear the pathetic drab unattractive Jurassic structure has again been disapproved by CAF 😂😂😂Kasarani inaendelea kupikwa, lengo ni kuandaa semi finals za AFCON 27.
View attachment 3347797View attachment 3347799View attachment 3347800
Keep hearingI hear the pathetic drab unattractive Jurassic structure has again been disapproved by CAF 😂😂😂
You wanted it to be approved while unfinished?I hear the pathetic drab unattractive Jurassic structure has again been disapproved by CAF 😂😂😂
Wakenya wameamua kuvua watanzania nguo kwa ulazima.
View: https://x.com/DanChepta/status/1927263468442288141Q
We both know that to be certain mate. 😂😂😂Keep hearing
wenzetu wanataka shortcut hayo ndio madhara ya shortcut wao wanataka kila kitu kiwe rahisi ili wanasiasa wapige pesa na kweli wamepiga pesa 😂😂😂😂
Stress, hawana kazi za kufanya, idle , ugumu wa maishaHawa watu ni wajinga kiasi gn? Yn wananchi wanaandamana nchi nzima eti "Samia must go" hv ni ufinyu wa elimu au ukosefu wa ajira. Alafu utasikia magovinda ya humu yanakuambia hayatu discuss, ushawahi kusikia watz wanaandamana kuhusu Kenya?
Hopeless kabisa.
![]()
Wale mliokuwa mnaiponda Mbeya mpo? Mwaka huu inapita Mwanza ,tuko hapa 👇 👇
View: https://www.instagram.com/p/DJjlg1PiHIx/?igsh=dmx4Z3cxNTFsNWQy
Nawakumbusha tuu Chunya-Mbeya ndio inaongoza Kwa Kuzalisha Dhahabu Tanzania nzima,hakuna Cha GGM Wala Kahama .
Mbali sana wapi na Kwa lipi? 😂😂mwanza iko mbali sana kwa mbeya tena mbali sana vitu vingine acha kujiaibisha
Mbona wanakusanya mapato madogo sasa?mwanza iko mbali sana kwa mbeya tena mbali sana vitu vingine acha kujiaibisha
mwanza iko mbali kwenye kila kitu kuanzia development, economy etcMbali sana wapi na Kwa lipi? 😂😂
Mwanza GDP 12T less Mbeya GDP 10.5T,namba 2 &3 respectively
Hiyo mbali sana Iko wapi?
kwa sasa hvi unaulizia mapato wakat watu wanajipigia pesa ovyo, pesa zinapigwa ipasavyo alaf unaulizia mapato serious?Mbona wanakusanya mapato madogo sasa?