Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

wacha upumbavu wewe JPM hakuwa na mpango wa kuipeleka reli Kigoma kuna clip ya Zitto Kabwe akiliongelea hilo!


View: https://youtu.be/CKuzdhz7n94?si=Iz7w0MjVNBus99n0

Acha matusi we kilaza, unajiaibisha.

Zitto alikuwa anampinga Magu mpaka kupeleka makala the economist, sasa mtu kama huyo atasema nini zaidi ya kuponda.

TRC publication 2019.png

Hii hapa publication ya TRC (2019) ikielezea yale niliyoyasema kwenye page 90

 
Back
Top Bottom