IamLee
JF-Expert Member
- Apr 23, 2017
- 7,275
- 9,411
😂😂After listening to their MPs nimegundia wengine ni hawa mikwara mnabishana nao hapa, I guess they are using pseudo accounts, yaani same mindset, kumbe ndio Watanzania wote walivyo., hizo akili ndio hizi za jamii forums 🤣🤣🤣🤣., walai ndio hawa humu tunajibizana nao, very pedestrian, clueless, ignorant, ushabiki, childish and idiots in parliament 🤣🤣🤣🤣🤣.., no facts just yapping kiholela 🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣 hapo vipi.. huu uwanja hauna hata hadhi ya CHAN 👇🏾Kasarani inaendelea kupikwa, lengo ni kuandaa semi finals za AFCON 27.
View attachment 3347797View attachment 3347799View attachment 3347800
Mbona umekasirika kwani wewe ni punda?😂😂We mpaukarama maisha magumu, unajikuta nani we mbwa.? 🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣 hapo vipi.. huu uwanja hauna hata hadhi ya CHAN 👇🏾
View: https://www.instagram.com/p/DKHO8iDIAKe/?igsh=MW5sbngwbGluMjA3MA==.
Sasa mimi ndio niliyopost taarifa.? 🤣🤣🤣 do you think you know better kuliko chombo cha habari.?Inspections haijafanyika lakini wewe na ubaboon in you are already celebrating fake news.
🤣🤣🤣🤣 hapo vipi.. huu uwanja hauna hata hadhi ya CHAN 👇🏾
View: https://www.instagram.com/p/DKHO8iDIAKe/?igsh=MW5sbngwbGluMjA3MA==.
Jua kali standards. 🤣🤣🤣 CHAN imeshakaribia halafu uwanja bado haupo ready, watanyang’anywa nafasi ya ku host.Huo uwanja una gundu kinyama. 😂😂😂
Wewe ndio una uelewa mdogo my fool brother🤣🤣🤣 siwezi kukulaumu, na najua huwezi kukubali humu kwamba wewe njuka, kwasababu ya upumbavu ulionao. Huyu mchizi amejitahid kuelezea aina tatu za wakenya. Wewe ni kundi la tatu kati ya makubdi aliyo mention. Msikilize. Dakika ya 4:6 👇🏾
View: https://youtu.be/HwLGmRANUeA?si=ctuITAMGS5UJOlqy. Wewe ni zezeta kaka 🤣🤣🤣
Mjadala ulivyo anzishwa na kumalizwa kwenye bunge la kenya
View attachment 3347956
TAFSIRI
"Mheshimiwa Spika, Tanzania ni nchi maskini kiasi cha kupewa heshima ya kujadiliwa kwenye baraza letu la Seneti au Bunge la kitaifa?. Ina rasilimali nyingi, lakini ina viongozi wasioweza kutumia rasilimali hizo kusaidia wananchi.
Hivyo, hatupaswi kupoteza muda kujibu ukosefu wa adabu wa wabunge wao. Wabunge ambao sifa yao ni kujua kusoma na kuandika, unategemea watasema nini zaidi ya kutukana?
Wabunge wengi wa Tanzania hawaelewi chochote kuhusu mkataba (treaty) wala itifaki (protocal) ya Jumuiya ya Afrika Mashariki. Ni Wabunge ambao, badala ya kuisimamia serikali, wanajipendekeza kwa serikali. Taarifa ya CAG ikionesha ufisadi serikalini, badala ya kuhoji, wanaitetea serikali na kumuita CAG bungeni ajieleze. Hivi unadhani wanajielewa kweli hao?
Mimi nadhani kwa sababu wananchi wa Tanzania na Kenya hawana ugomvi na wanaelewana, hilo linatosha. Hii jumuiya ni ya wananchi sio ya viongozi.
Lakini wabunge wasiojielewa hatuna muda wa kubishana nao. Kubishana na watu ambao sifa yao ni kusoma na kuandika ni kujikosea heshima. Labda Mabaraza yetu ya Kaunti ndio yanaweza kuwajibu, sio sisi." Eddy Gicheru Oketch, Seneta wa Migori.!
Katika yale makundi matatu yaliyotahwa na jamaa wa YouTube .. wewe upo kundi la tatu. 🤣🤣🤣🤣
Usilie sasa. 🤣🤣🤣Uko sahihi, pumzika..,
Wamedharauliwa🤣🤣🤣🤣🤣Mjadala ulivyo anzishwa na kumalizwa kwenye bunge la kenya
View attachment 3347956
TAFSIRI
"Mheshimiwa Spika, Tanzania ni nchi maskini kiasi cha kupewa heshima ya kujadiliwa kwenye baraza letu la Seneti au Bunge la kitaifa?. Ina rasilimali nyingi, lakini ina viongozi wasioweza kutumia rasilimali hizo kusaidia wananchi.
Hivyo, hatupaswi kupoteza muda kujibu ukosefu wa adabu wa wabunge wao. Wabunge ambao sifa yao ni kujua kusoma na kuandika, unategemea watasema nini zaidi ya kutukana?
Wabunge wengi wa Tanzania hawaelewi chochote kuhusu mkataba (treaty) wala itifaki (protocal) ya Jumuiya ya Afrika Mashariki. Ni Wabunge ambao, badala ya kuisimamia serikali, wanajipendekeza kwa serikali. Taarifa ya CAG ikionesha ufisadi serikalini, badala ya kuhoji, wanaitetea serikali na kumuita CAG bungeni ajieleze. Hivi unadhani wanajielewa kweli hao?
Mimi nadhani kwa sababu wananchi wa Tanzania na Kenya hawana ugomvi na wanaelewana, hilo linatosha. Hii jumuiya ni ya wananchi sio ya viongozi.
Lakini wabunge wasiojielewa hatuna muda wa kubishana nao. Kubishana na watu ambao sifa yao ni kusoma na kuandika ni kujikosea heshima. Labda Mabaraza yetu ya Kaunti ndio yanaweza kuwajibu, sio sisi." Eddy Gicheru Oketch, Seneta wa Migori.!
Uliwahi kuskia msemo wa waswahili.? “Kichaa akikimbia na nguo zako, usimfukuze”.? 🤣🤣🤣Wamedharauliwa🤣🤣🤣🤣🤣