Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Kaka mkubwa kasahau 😄
Nimependa venye Genz wana deal na serikali ya TZ, huku serikali ya kenya imetulia... 😁 😁 ..
View: https://x.com/Real_igna/status/1927280009414160418
Wakenya mmelowa, Tanzania imejua kuwawork overtime aisee 😂😂😂what’s the difference between a primary school dropout and a senior council 😂😂
Aaaah mimi nataka anisaidie tu kusoma sababu nina matatizo ya macho 😂😂😂🤓Kaka mkubwa kasahau 😄
Mzee umefikia kiwango cha kuniita mpumbavu. Ama kweli ninakuumiza.Because you don't hate them the way you hate us. You have no proof hate speech imeanzia kwetu but I have proof your MPs uttered hate speech against Kenya in parliament. Huwezi linganisha uzito wa banter tunazopigana humu JF na wabunge kuongea hate speech kwa parliament. Yani ni kama Mbunge wa Kenya aje humu apate mpumbavu kama Venus Star akipost hizo vitu zake za utoto alafu aende bungeni aanze kuisema Tanzania eti nchi ya ovyo. What kind of inferiority complex and hatred is that?
Baada ya Kagame kupotezea sio?Kaka mkubwa kasahau 😄
Soma nilicho kiandika urudi tena.Isn't it supposed to be encrypted?
Mafala wakundustan wakibypass regular personal accounts na kutengeneza cartoons za AI tayari wanajiita maIT gurus 😂😂😂 huku zinapotumika akili huwaoni
View: https://x.com/udomtheofficial/status/1927234263931302011?t=qfVO6lYuRh_r23eWbVN0nA&s=19
Wewe na hiyo bunge yenu ni viazi tuSoma nilicho kiandika urudi tena.
Hawa wendawazimu wapo shallow kichizi 😂😂😂 ushamba mbaya kweliKuingia tu kwenye website ya bunge na kuchukua namba za simu za wabunge ambazo zipo open kwa kila mtu tayari wanaita hacking. 😂😂😂
Ni wakumbafu hakuna mfano.Hawa wendawazimu wapo shallow kichizi 😂😂😂 ushamba mbaya kweli
Abroad yao ikiwa hostility wanaanza kutoa milio sasa 😂😂😂
View: https://x.com/Vickyjr/status/1927296667981639915?t=aHQVxS_nbD2yS3x0NXMh7A&s=19
After listening to their MPs nimegundia wengine ni hawa mikwara mnabishana nao hapa, I guess they are using pseudo accounts, yaani same mindset, kumbe ndio Watanzania wote walivyo., hizo akili ndio hizi za jamii forums 🤣🤣🤣🤣., walai ndio hawa humu tunajibizana nao, very pedestrian, clueless, ignorant, ushabiki, childish and idiots in parliament 🤣🤣🤣🤣🤣.., no facts just yapping kiholela 🤣🤣🤣Because you don't hate them the way you hate us. You have no proof hate speech imeanzia kwetu but I have proof your MPs uttered hate speech against Kenya in parliament. Huwezi linganisha uzito wa banter tunazopigana humu JF na wabunge kuongea hate speech kwa parliament. Yani ni kama Mbunge wa Kenya aje humu apate mpumbavu kama Venus Star akipost hizo vitu zake za utoto alafu aende bungeni aanze kuisema Tanzania eti nchi ya ovyo. What kind of inferiority complex and hatred is that?