Chamoto
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 9,883
- 22,305
Mpango wa mwanzo ulikuwa reli inagawanyika Keza, moja inakwenda Rwanda nyingine Burundi.Ikikufa baada ya sisi kuanza kufikiria ujenzi wa Burundi
Inaonekana baadae Kagame na Magu wakazinguana, maana zile bashasha na Kagame ziliisha ghafla. Kukawa na viugomvi fulani kama Rwanda kunyanyasa madereva wetu, na ugomvi na Nkurunzinza ukazidi. Ndiyo baadae tukaanza kuona hii ya kwenda Msongati ikianza kuongelewa.