Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

This is one of the Tanzanian MPs who was insulting us Kenyans saying sisi ni washenzi! Huyu akiletwa huku Kenya anarudishwa PP2 Term two apate elimu kidogo
Screenshot_20250527-205633.jpg
 
Huyo mbunge Msukuma can feed you and your clan for 10 good yeare non-stop,
Wewe na kingereza chako kibovu na ufukara Kila pahala,
You can avail yourself 24 good hours trolling on social Media platforms, you are not sure of anything including your future.

Though not his fan, Msukuma has great contribution to the people he leads, and you lead nothing.


View: https://x.com/millardayo/status/1897697988698407352?t=fLLMGG-b2TMuaQL-67_E6g&s=19

Magari za 1993 kaka ambulance,
Mko na jokes sana.
Yaani iyo probox pekee ndio atleast si ya zamani!
Na mtu amefika primary pekee anaruhusiwa aje kuwa MP?
Ama hapo kwenu bado mnaruhusu kila takataka wasimame viti vya kisiasa?
Mp anafaa kuwa na DEGREE.
 
Magari za 1993 kaka ambulance,
Mko na jokes sana.
Yaani iyo probox pekee ndio atleast si ya zamani!
Na mtu amefika primary pekee anaruhusiwa aje kuwa MP?
Ama hapo kwenu bado mnaruhusu kila takataka wasimame viti vya kisiasa?
Mp anafaa kuwa na DEGREE.
Ambulance zenyewe ni donations from China😂🤣
 
Back
Top Bottom