President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,013
- 93,379
Ngoja tu. Dawa tunaipika taratibu. Dawa yetu huwa inachemka taratibu. Na itawakolea kisawa sawa.
Tanzania ni dhahabu mzee. Inajadiliwa mpaka bunge la ulaya. Kenya njaa mtaweza kuongea tuwafirimbe wabunge wenu.Nionyeshe Tanzania ikijadiliwa bungeni Kenya.
Gated communities build no nation.Maybe you can tell us what's wrong with Estates and mini cities first before I answer you.
Why are you so concerned with how we choose to build our homes?Gated communities build no nation.
Kwale Stadium has seats
Uganda aichukulie Isaka ?SGR inapita Isaka. Kama Uganda anataka, atachukulia hapo.
View attachment 3346245
Namaanisha Uganda anaweza kuchukulia mizigo yake kupitia bandari kavu ya Fela au kwa MV Mwanza kupitia ziwa Victoria.Uganda aichukulie Isaka ?
Au sisi tujenge kupitia kagera to border
I am so concerned because, I don't want TZ to be like you.Why are you so concerned with how we choose to build our homes?
Hasira zako kaa nazo huko. KwikwikwikwiRipoti.
Unadhani BAN ni uhai humu ndani.
Hii ni mitandao tu.
Niko humu tangu 2013. Waambie wafute kabisa hata hii ID, sipotezi hata usingizi
Malawi is your fellow LDC.Malawi anawalisha lakini
Sio ngumu kama tutajenga Branch ya Mwanza to Bukoba au tukawa tuna meli za mizigo za container hata 4 ,maana mv mwanza haitoshi na sio container ship , iko mv umoja ila plan ilikuwa kuwa na dedicated container shipsNamaanisha Uganda anaweza kuchukulia mizigo yake kupitia bandari kavu ya Fela au kwa MV Mwanza kupitia ziwa Victoria.
Ni ngumu SGR kwenda Uganda.
Ndio maana Uganda wanajenga ya kwao kwenda Malaba mpakani na Kenya.
Wanasema tunawadiscuss kumbe wao ndio wanatudiscuss Hadi bungeni Kenya ndio habari.
View: https://vm.tiktok.com/ZMSjhP3q8/
Wanasema tunawadiscuss kumbe wao ndio wanatudiscuss Hadi bungeni Kenya ndio habari.
View: https://vm.tiktok.com/ZMSjhP3q8/
Siaya and Kwale Stadiums are better than Gombani StadiumTakataka ipi iko Dar?
Kuna uwanja Kunyalanda unaufikia GOMBANI stadium wa Pemba!??
Kalio kweli wewe.
Kata govi wewe kiumbe.Ugly and smaller than Bomas International Convention Center.
Kwikwikwikwi. Mtoto wangu alipoisoma comment yako kacheka sana.Siaya and Kwale Stadiums are better than Gombani Stadium
Labda mizigo ya Uganda iwe ikitokea Moja kwa Moja imepelekwa mwanza then ndo taratibu nyingine zifuatweSio ngumu kama tutajenga Branch ya Mwanza to Bukoba au tukawa tuna meli za mizigo za container hata 4 ,maana mv mwanza haitoshi na sio container ship , iko mv umoja ila plan ilikuwa kuwa na dedicated container ships
Hizo container ships ziwe ziwa victoria na tanganyika hapo tutashika logistics