Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


PhotoGrid_1605162481588.jpg
 
Hayo makazi uliyoleta Yana majengo mchanganyiko,ukitaka naweza kukuletea picha za ground.
Kuna hadi nyumba za kisasa hakuna nyumba za mabati kama kibera.
Kilichokosekana hapo ni mpangilio wa mji tu. Ngojea nikuletee picha za ground.
Hatubishi Dar es salaam kwenye kupangilia mji tulifeli ila hatukufeli kwenye kujenga nyumba bora.
Hamkufeli kujenga nyumba bora indeed
images-9.jpg
images - 2025-04-12T083800.116.jpeg
images (3).jpg
images - 2025-04-12T083655.807.jpeg
 
Back
Top Bottom