Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ila sisi wabongo ni wahuni sana🤣🤣
View attachment 3342748
Kwasasa tunachofanya ni kuwakata marinda tu, awe mwanaume au mwanamke. Serikali zao zinawalea lea sn hawa wajinga, sasa wameingia namba mbaya. Huwa wanasema Tz ni North Korea, mm nawaambia Tz ni zaidi ya North Korea, tutawatia adabu kama serikali zao zimeshindwa,vwatuachie sisi hao wanaojiita activists wa mchongo.
 
If you are Keen enough following up these recent developments in the region, you'll know that CCM Kuna watu wao hapo kunya that they do respect the Most,
One of them is that Madam Martha Karua. I believe they have lots of common dealings in their political life.
Ni kama CCM wanaheshimu Martha Karua kuliko hata William loot all.
few weeks ago William Loot all, (the most corrupt president in the universe) while on his begging mission aliropoka maneno huko China kuhusu Tanzania and no one in CCM bothered.

Ila Leo na Jana naona top CCM leaders mentioning the name of Martha Karua mara kadhaa kwenye podiums. CCM hawawezi kukutaja kwenye mikutano Yao kirahisi tu.

Nimeona pia Martha na jeuri yake she's responding to CCM senior leaders with such great respect..
It's good thing to see we respect each other In that way, that clown Boniface was just a Victim.

Labda niwakumbushe wakenya, you may have issues with mama Samia, and you can mess up with her, but be informed you can't afford to to mess up with CCM. CCM ni kubwa sana kuliko mama.
View attachment 3342492
What would CCM do to Kenya? You people are really clowns aren't you? 🤣 🤣
 
Huyu jamaa leo niliona kule x akielezea wajihi wa askari aliyemtesa eti,ni vile vile alivyokua anaeleza sativa,muda kidogo bibi martha karuka na mafwele,hawa wapumbavu wamejipanga waichafue nchi ila awatoweza,hapo aseme walimtoa marinda ila kusema amepigwa hajapigwaView attachment 3343115
Alitakiwa avunjwe miguu Ili washike adabu.
 
Kama nilivyofwatilia huo mjadala, mwenzangu alisema Tatu citi ina viwanda vingi kuliko Tanzania nje ya Dar. Wewe ndo ukasema kwahivyo sio city ila ni EPZ. Kuna mahali nimepotea hapo?

View attachment 3342838


Anyway, kwa kifupi Tatu city ni mji na pia ni EPZ. Ni mji kwasababu ukikamilika utakua na wakaazi 250,000, na ni EPZ(SEZ) kwasababu serekali ya Kibaki ikitengeneza Vision 2030 iliamua ku experiment na mji unaojengwa ndani ya SEZ ili kuona kama inaweza kua chombo maalum cha kukuza viwanda Kenya, na ikifanyikiwa basi mfano huo utaigwa kando ya miji mikuu ya Kenya. ie Mombasa, Nakuru, Naivasha, Kisumu etc
Nimependa ulivyomjibu. Wanapenda kugeuzageuza maneno sana.
 
Kimakazi Arusha ni kama tu dodoma, tofauti ni greenery. Hii hapa moshono Arusha.
IMG_7825.jpeg
IMG_7820.jpeg
IMG_7827.jpeg
IMG_7821.jpeg
@Nicxie. Ukiskia middle class ya Bongo ndio hii sasa.
 
What would CCM do to Kenya? You people are really clowns aren't you? 🤣 🤣
Watu wenu tumewafurusha, na mmoja tumefira tukamtupa maporini huko, serikali yenu ilitufanya nini.? Ndio ujue kwamba ikiwa serikali yenu haina chochote cha kuiambia CCM, sasa fala kama wewe ndio utaimbia nini.? I dare you to come and try us then utaona, utafirwa na hakuna atakaekutetea neither your gvt nor westeners.
 
Back
Top Bottom