Hiki ni nini budaa.? 🤣🤣🤣🤣This is what’s coming up in Bomas, hiyo ya Arusha is not even a quarter of it.
View attachment 3343543
Mzee wa ma-oversize, hata kama umeenda dukani ukakuta brand ya nguo unayoipenda kama kubwa achana nayo hiyo nguo sio size yako Mwai bora ukampa Kevoo tu, you look like sick person.😀Yule kunyan kachezea kifiro ila anaogopa kuweka hadharani,marinda hamna pale kama kwa mvaa mitumba oversize mwaiofhawaii
Studio nileteeni picha ya Mwai 😂😂😂Mzee wa ma-oversize, hata kama umeenda dukani ukakuta brand ya nguo unayoipenda kama kubwa achana nayo hiyo nguo sio size yako Mwai bora ukampa Kevoo tu, you look like sick person.😀
Those are open sewers bongolalaMfereji wa maji vs Mfereji wa mavi!
Mimi nitoroke kilaza kama wewe, tangu lini! 😂😂😂
Slums zinakuuma sana.
Naungana na wewe rather expand Mwanza and expand seronera air strip kuweza kuchukua a bit larger planes kuliko kuwa na new airportIngekuwa mawazo yangu.
Futa project ya kujenga uwanja wa kimataifa Kagera, maana hata uwanja wa kimataifa Chato ni tembo mweupe.
Boresha uwanja mpya wa Mwanza uwe wa kimataifa.
Jenga njia 4, barabara za Mwanza Mjini to Gate la Serengeti - 4LANES, Mwanza CBD - Nyanguge, Musoma Road.
Watalii wanaoshukia Mwanza wanaingia serengeti kupitia Mwanza International Airport.
Na watakaoingia kupitia KIA wanaingia Serengeti, kupitia Arusha.
Watalii wavivu, tayari tuna Seronera Airstrip ambayo inapokea ndege ndogo.
Kujenga Uwanja mkubwa mbugani, hata kama wanasema sijui ni Green. Mwisho wa siku Ndege zina kelele sana plus Mataa.
Wanyama watahama watakuwa wanahama kila siku.
Kama tunasema Maasai wanavuruga ecosytem ya Ngorongoro, vipi kuhusu Ndege kubwa na taa za uwanja wa ndege??
To fly to those top 4 destinations you need 787 8 / A330900 neo. At least 3 hadi 4 mpyaKwa hizi takwimu, Air Tanzania is supposed to have direct flights to all top four countries. They can have two to three flights per week with good load factor!! Sijui kwa nini hawachangamkii hii fursa.
Kwahiyo lazima niulizie watu hapo ni kitu gani?Huyo hakuna Nairobi anajua au kufika.
View: https://x.com/patsPato17/status/1925910980736815426?t=DjO5sDW4I3AI_Q0ftQDOcw&s=19 hapa mkenya kwa mkenya wanajibishana,yan jamaa kuiongelea vizuri TZ wanamuona kama si mwenzao,kuna jambo kuhusu siasa za kenya,inapokuja kitu kuhusu taifa lao basi,ukabila,udini na upinzani wa kisiasa uwa wanaweka kando wanapambania taifa lao,mimi hata sio ccm ila naamini iwapo pale kenya ungepatikana upinzani wa kuuchafua kenya nje ya kenya,percent ndogo sana ya wakenya ingeuunga mkono upinzani wa aina hiyo,kwa hili wakenya wametuacha mbali mno,contrary siasa za TZ tena ndani ya miaka 20 ya mbowe pale cdm,katengeneza upinzani wa mtu ukiwa mpinzani basi upinge kila kitu hata kama ni kizuri,wakenya wanakuambia kabisa rais wao acha wamtukane wenyewe kama si mkenya usithubutu kumtukana rais,mazwazwa wa TZ sie ni tofauti,sad aisee
200 metters behind of Kilimani 🤣🤣. 👇🏾
View: https://www.instagram.com/reel/DJ_QML0o85g/?igsh=ZnM1M2ltMGh6ZnBj.
Meh nothing much, just the only national park on earth within a cityHapo ardhi empty ni nini??
View attachment 3343046