Umezoea kuokota vyakula barabarani hadi unadhani wote ni Kama wewe. Chokoraa hii.
Bus ni chache sana.
Hapo kinachohitajika ni kuongezwa idadi ya mabasi na kuimarisha uendeshaji baas.Bus ni chache sana.
Hizo bus zimekuwa zikifanya kazi kwa miaka 10 sasa.
Huyo hakuna Nairobi anajua au kufika.Si ulisema ushafika Nairobi? How do you fail to know such empty land?
Wanasema kuna bus 200 zinakuja, August.Hapo kinachohitajika ni kuongezwa idadi ya mabasi na kuimarisha uendeshaji baas.
Endeleeni kudhani CCM ni hizo vyama zenu mnazozianzisha ovyo ovyo. 😂😂😂
Niliwahi kuambiwa CCM ni lidude likubwa sikuamini hadi nilipofanya utafiti binafsi.
View: https://x.com/robertalai/status/1925102553718534583?s=46
Hamtambui wewe na nani!Ni lidude likubwa hapo kwenu bro. Huku sisi hapantambua.
Wakenya wote.Hamtambui wewe na nani!
Was closed.., am wondering what "Must go" is up to..,naona Mombasa footbridge! 😀😀
Hii kitu huwa inawauma wazee wa kifiro we acha tu 😅😅😅😅😅😅😅