President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,010
- 93,371
Naogopa nikiweka vitu vya TZ wakenya watakimbia
Mgikuyu mwenzako Boniface Mwangi ameamua kuvaa kanzu na baragashia na kujifanya hawezi kutembea huko Mombassa😁As a Gikuyu myself, I will save this for a near future use . Why do you guys underrate Kenyans ?…
He was tortured by ur intelligence goons . Payback is a biatch !…Mgikuyu mwenzako Boniface Mwangi ameamua kuvaa kanzu na baragashia na kujifanya hawezi kutembea huko Mombassa😁
Tunawakaribisha tena tarehe mbili mwezi ujao waje pamoja na Martha Karua "washuhudie" kesi pale Kisutu😁He was tortured by ur intelligence goons . Payback is a biatch !…
Wasomali wamejenga Maghorofa. Wawajengee basi hata barabara za mitaa na mitaro, wasomali wakae kwa rahaEastleigh ina.madhari hayo.kabisa yaani mavi yanapita hivyo.
Vijamaa humu vimekomaa na juu tu
Atafungua kesi kwenye koti za nje assets zenu zianze kuwa seized tena kama zile ndege zenu ju hamna akili. Nchi nzima hamna mtu ana akili kuanzia rais. Sasa kesi kama hii mnashindaje?Tunamkaribisha tena tarehe mbili mwezi ujao aje "ashuhudie" kesi pale Kisutu😁
City without BRT kwikwikwikwikwi
TZ are cowards . Kenyan government needs to flex muscles on this issue. There is a reason why Mama would not dare treat an American citizen same way ( there would be repercussions). Ruto must address this issue promptly.Atafungua kesi kwenye koti za nje assets zenu zianze kuwa seized tena kama zile ndege zenu ju hamna akili. Nchi nzima hamna mtu ana akili kuanzia rais. Sasa kesi kama hii mnashindaje?
Hapo ardhi empty ni nini??
Hapa siyo sisi ni wazungu wanasema 🤣 🤣 🤣 🤣 👇 👇 👇 👇 👇
View: https://x.com/AFRICANDEMOC/status/1924933018969342424
Ni chumba kimoja tu na choo. Wajinga sana hawa. Sisi huku nyumba yenye vyumba vichache ni viwili kimoja kikiwa master bedroom, choo cha public, jiko, stoo na balcony. Wao ni upumbavu tu na vitu vya jua kali.Hii hapa ni Samia housing scheme phase 2. 👇🏾 hizi hapa ni gorofa 8 zenye floors kati ya 10, 12 na 14, mradi wote ni 460 units👇🏾View attachment 3342906while ths is Samia housing scheme phase 1. Mradi wote una gorofa 10 with 10 floors each👇🏾 na ni units 500View attachment 3342918total ya hii project ni 960 units, na ni gorofa 18. Zote ni 10+ floors while zile za mukuru ni gorofa 15 za 8 floors lakini tunaambiwa ni 12k units 🤣🤣🤣🤣 Nicxie hebu tueleze mzee, mlihesabu idadi ya matofari.?